Je wajua kuwa Uchaguzu mwaka huu umepangwa katika mwezi usio wa kawaida?
Katika mwezi huu wa OKTOBA una IJUMAA 5, JUMAMOSI 5 NA JUMAPILI 5, zote zipo katika mwezi mmoja. Hii hutokea mara moja...
WATU watano wanashikiliwa na jeshi la Polisi mjini hapa kwa tuhuma za kuhusika katika tukio lililotokea jana(juzi) ambapo watu wanaosadakiwa kuwa ni wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi CCM na...
Wana JF naomba kuelimishwa katika hili. Watu mbalimbali wanadai kuwa watu ambao wako mbali na sehemu walizojiandikisha kupiga kura, hawawezi hata kumchagua rais, wengine wanasema wanaweza...
Namshukuru sana Maringo na wenzake kuona kiini kikuu cha umwagaji damu na uminyaji wa demokrasia kwenye uchaguzi mkuu wa 31 Okt 2010 kwa kufungua kesi ya kikatiba.
Source: Kesi ya kuhoji matokeo...
Macmillan George ? JAKAYA MRISHO KIKWETE FOR 2010: Bila kutumia akili wameanza kuwavisha wafuasi wao njano na kijani na kuwaambia waanzishe fujo ili tuonekane ni sisi. Nawaombeni wana CCM watu...
Mwelekeo wa hali ya uchaguzi unasikitisha kidogo. Matukio ya vurugu za hapa na pale unanifanya nitamani kuwa wagombea wa Urais wa kianzia na Kikwete wakutane ili kulipa taifa picha ya umoja...
HABARI ZAIDI
Slaa kukutana na mume wa Josephine
Vurugu zatia dosari kampeni
KIkwete: CCM imeshashinda
Ngeleja: Haiwezekani kutoa elimu bure
Mengi: Wahojiwe niliowatuhumu
HabariLeo | Gwiji...
Uliberali ni nini
Serikali Ya Umoja wa Kitaifa
Asilimia 19 ya bajeti kuhudumu Elimu Bure kwa wote 2010 na kupanda mpaka asilimia 25 mwaka 2015
Kipaumbele ni Elimu bora ya bure.
Katiba ya Jamhuri...
By Jerry Okungu
THREE different newspapers published in Dar-es-Salaam cannot be wrong especially if one of them, the oldest, belongs to the CCM. They are all saying more-or-less the same...
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete, amesema serikali haina uwezo wa kutoa huduma za jamii bure na amewashangaa wanasiasa wanaopita wakiwadanganya wananchi kuwa iwapo wakichaguliwa...
Nimeangalia chanel 10 muda si mrefu, sijui kipindi walikiitaje. Ila nimeona wakazi wa moshi vijijini wakijitokeza kwa wingi sana wakati jk akihutubia. Pale uwanja wa mashujaa hadi mwenyewe...
Viongozi kitaifa wakacha kumbukumbu Butiama
na Sitta Tumma, Butiama
MAADHIMISHO ya miaka 11 ya kifo cha hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jana yaliingia doa baada ya...
Takwimu mbalimbali machoni pa uongozi wa juu wa CCM zimedhihirisha uchaguzi huu watadondoka vibaya katika Uraisi na Ubunge lakini watapeta katika udiwani.
Mwaka 1995, CCM walipoona viti vyote...
Nimekuwa nikitumiwa haya matext meseji na na hawa mafisadi. Kama kuna mtu anaweza kustop hii kitu anisaidie.
ETI...
Tanzania ni kisiwa cha amani.Tunaamini KIKWETE kwa kushirikiana na wananchi...
"TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) IMEVITAKA VYAMA VYA SIASA KUTOA WATAALAM WAO WA WA KOMPYUTA KUJIRIDHISHA NA MFUMO UTAKAOTUMIKA KUJUMLISHA MATOKEO"
Nimeziona tetesi hizo facebook,kama ni kweli...
Je kuna mtu ambaye anatumia mtandao mwingine zaidi ya Voda ambaye amepata ile msg ya kumkashifu Slaa inayotoka kwenye namba ya kughushi, yenye code fake ya Finland, moja kwa moja?
Imeonekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.