Jamani hivi hawa wanaongea nini hasa...! mimi binafsi sijawaelewa...Kama watanzania watachagua chama hiki basi Tanzania tuna tatizo kubwa kuliko ninavyofikiri....!
<p>Naomba kikwete ujibu swali linaloulizwa na mwanafunzi ktk tangazo la polisi forum, mwanafunzi anamuuliza mwalimu baada ya uhodari wa mwalimu wa kutaka kuonyesha jinsi nchi yetu Tanzania...
Mgombea urais wa Chadema dr Wilbroad Slaa amepokewa na umati mkubwa sana wa wananchi wa Urambo leo hii, kampeni imekwenda vizuri sana, watu wamehamasika sana, hakuna aliyebebwa kwenye malori...
Hali ya JK na CCM kisiasa kwa ujumla wake si nzuri na dalili zote zinaonyesha anguko kuu la CCM, silaha ya mwisho atakayotumia JK na CCM ni ya kuhahirisha Uchaguzi mpaka mwakani, miongoni mwa...
Historia ya familia yetu: Baba na Mama > 65 Years
Last Born: 30 years
Dini: Mixture of Christian and Moslem
Makabila: Mchanganyiko wa Makabila mawili. In fact manne kama ukienda generation...
Houston mnachekesha sana!
Kisa gani cha kuanzisha tawi lenu then mliite tawi la CCM Marekani? Kuna 50 states hapa US na kila state ina sheria zake, watu wake wenye tabia tofauti na mambo yake...
jamani hii habari sijaielewa huyu anasema kweli au just ndio fitna zenyewe?
iweje donge wakatae kufanyika mikutano ya siasa hule kwao?
source Michuzi
ZENGWE LA KAMPENI JIMBO LA DONGE...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) in Mpanda District, Katavi Region, has suspended indefinitely five of its members from the party for allegedly campaigning for an opposition aspirant.
The suspended...
Jamani wana JF. Leo majira ya asubuhi nimeona kitu cha ajabu.
CCM wamethubutu kutundika bendera za chama chao kwenye yadi ya makaburi ya wafu pale maeneo ya Buguruni.
What is the meaning of this?
UCHAGUZI WA MWAKA 2005 WACHUNGAJI WALIMWITA JK KAMA NI CHAGUO LA MUNGU MWAKA HUU INAONEKANA WACHUNGAJI WAMETOFAUTIANA KAMA VILE KURA ZA MAONI ZINAVYOTOFAUTIANA HABARI ZAIDI GONGA HAPA: HabariLeo |...
16th October 10
Utafiti mpya wajibu Redet na Synovate
Elizabeth Zaya
Baada ya Taasisi ya Utafiti na Demokrasia (Redet) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Kampuni ya...
Sasa mambo yameiva, asiye na mwana aeleke jiwe!
Mwaka 2005 katika kampeni za uchaguzi CCM walishangazwa na CHADEMA kutumia Helkopta kufanya kampeni katika nchi masikini kama Tanzania. Katika...
Ichi kipindi leo kuanzia 21hrs mpaka 22hrs TBC kilihudhuliwa na JAHAZI ASILIA,CHADEMA(MWAIPAJA),TLP (MLUGE) ,CUF etc
Wagombea wote walijiandaa vya kutosha kwa jinsi walivyokuwa wakiongea.
Kati...
Chadema naomba saana sasa mkae mbale na fujo nk wanataka kusababisha machafuko ili wawe pake matope au kuharisha/kuhahirisha uchaguzi, na pia muwaulize wateja wenu wanataka kuuzwa na kuibiwa basi...
ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku,leo akiwa mlandizi jk mbele ya kipaza sauti chake kiliwekwa kibao kilichoandikwa maneno hayo:for a fair future for all,vote for ccm,akaendelea kuhutubia akisema...
‘Uchafu' wa mgombea Sumbawanga watua kwa Makamba
* Apelekewa barua, picha za Mhindi akifanyiwa unyama
* AFORD, asasi za kiraia zataka CCM ichukue hatua
Na Waandishi Wetu, Dar na...
By The guardian reporter
Two Kiswahili tabloids, Rai and Tanzania Daima, have been identified as the most notorious in negative publicity to political parties participating in the ongoing...
Ni jambo la kawaida kabisa hususani kwa nchi zilizoendelea kidemokrasia wakati mkiwa kwenye kampeni na ushindi mnono unanukia kuanza maandalizi ya kukamata dola na kushika hatamu za uongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.