Pamoja na mbinu zote za CCM na Tume ya uchaguzi ya Taifa za kuiba kura, kama wakala wa chama wa upigaji kura ni makini, mhadilifu, mwaminifu, hana tamaa, anaona mbali basi ushindi kwa wapinzani ni...
Dr. Slaa awaahidi wastaafu wa iliyokuwa jumuiya ya Afrika Mashariki kulipwa ndani ya siku mia moja ya utawala wake mpya...........
Hii dhuluma dhidi ya wastaafu hao ambao wameitumikia nchi hii...
Tulikuwa kwenye ndege ya Precission nikiwa na rafiki yangu. Tukawa tumekaa jirani na waziri mmoja mwadilifu wa serikali ya JK. Tukaamua kuanzisha mazungumzo ya ufisadi na kumweleza waziri kwa...
naamini wazi katika majimbo ambayo upinzani unaota ndoto za mchana kuyanyakua ni pamoja na geita ambapo kuna roggers hapa geita mjini na tanganyika kule nyang'wale tukimuacha na yule wa busanda...
Na Maggid Mjengwa,
MBIO za Urais zimeshika kasi. Media imekazana kuandika habari za JK na Slaa. Habari za CCM na CHADEMA. Kuna aliye kwenye mbio wanamsahau, kwa bahati mbaya au kwa...
nipo huku vijijin kutoa elimu ya uraia kwa wapiga kura,nimekutana na watu wa aina mbalimbali na khojiana nao juu ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu,moja ya maswali niliyowauliza ni kwamba:MNASADIKI...
Nini maoni yako ,ikiwa Chadema itashindwa uchaguzi mkuu katika ngazi ya Uraisi ila imepata viti vingi vya ubunge ,uchaguzi ambao unaotarajiwa kufanyika mwisho wa mwezi huu ? :rip:
Wadau;kama dakika ishirini zilizopita nilikuwa napita maeneo ya mabibo nikakuta mkutano wa cuf ambapo ndugu mtatiro anahutubia pale na kilichonifanya nimpe dakika chache kwenye ratiba yangu ni...
Moja ya mambo yaliyokuwa yakiwaumiza vichwa wafuasi wa Barack Obama wakati wa kinyang'anyiro kati yake na Hillary Clinton kupata mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democrats mwaka...
Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA Dr Willibrod Peter Slaa yupo leo Bukoba. Amekuwa na mkutano maeneo ya Kibengwe Bukoba vijijini na anategemea kuwa Kanyigo baadaye.
Sasa hivi anategemewa muda...
Hii ndiyo selo ambayo mafisadi wakibadili matokeo halali ya uchaguzi wa Tanzania hapo 31 Oktoba 2010 watakapokuwa wakisubiri mashitaka ya kusababisha maafa. Mafisadi ni pamoja na wale wote...
Dalili kubwa zinaonyesha ushindi mkubwa wa zaidi ya ule wa kura za maoni za mwanahalisi, kwani kila siku watu wenye roho za kutafuta maslahi zaidi wamekuwa wakijisogeza taratibu kwenye chama...
Guinea poll chief guilty of fraud
Head of electoral commission sentenced to one year in prison for electoral fraud, ten days ahead of presidential vote. In June, more than three million...
Wakati Bw. Edward Lowasa akiwa Waziri Mkuu aliwahi kuulizwa swali na mwanafunzi wa shule ya msingi huko Mwanza vijijini na hakulijibu bali aliomba muda zaidi wa kulifanyia kazi. Bw. Lowasa baada...
Ole wenu wazee wa CCM.
Ole wenu Mmemchunia Jamaa ana-fight peke yake na Mkewe na Wanawe,
Ole wenu akishinda Kiti cha Enzi.
Ole wenu na yeye atakavyowachunia kwa staili ya "Si Mlinichunia? Sasa...
MAKAMO Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi CUF Bw. Machano Khamis Ali, amesema kuwa ameshangazwa na kauli ya Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya ya Mrisho Kikwete ya...
Kikwete kuanza kuzungumzia maneno ya uchochezi ya kumwaga damu siku moja baada ya kusambazwa inaashiria kitu gani? Lini kafanya uchunguzi na kujiridhisha kuwa si maneno ya kubuni. Je tukisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.