Wapendwa, Naomba kusaidiwa! Kuna fulani ya campaign yaliyo na picha za wagombea lakini yapo pia yale ambayo yana picha za JK akiwa na watu (yani yanaonesha kuwa amekalia kiti cha uraisi na yuko na...
Wadau;
Habari nilizopata kutoka rafiki yangu aliye Kahama anasema Dr mkombozi wetu amepata mapokezi makubwa mjini humo jana (Jumapili) ambayo hayapata kutokea hapo.
Anasema ingawa...
Wandugu mnaweza sasa hivi kumpata Geeque hewani unaweza kupiga simu +1 312 957 6014 au kama una skype unaweza kumpata kupitia skype:bongo radio
Bongo Radio--Tanzania Best Radio for Bongo Flava...
Kwenye gazeti la Nipashe , 27 Aug. 2010 first lady, Mama Salma Kikwete, amewaomba wanawake wafanye kampeni ya kuwashawishi watu waipigie kura CCM nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba na ikibidi...
Hv JK umewahi kujiuliza kwa nini nyota yako imezimika ghafla? Kama jibu ni siyo, basi huna akili. Je washauri wako wakaribu wanajua jibu? Kama wanajua kwa nini hawajakushauri ili ujirekebishe...
Nawaomba taarifa hii muifikishe kwa wote wapenda mabadiliko kwa haraka
Jana nilipata taarifa kuwa baada ya mpango wa kumpatia Askofu Mokiwa Tshs.11milioni ili asaidie chama Fulani kuwashawishi...
Watetezi wa haki za watoto wa shule tunzeni hii picha. Katika kesi kibao zitakazofunguliwa dhidi ya mafisadi wa ccm, hii ya kulazimisha watoto wa shule kwenda kwenye mikutano ya kampeni ya ccm...
TUMEKUWA TUKISEMA KUWA WENGI WA WANAOVAA MAVAZI YA CCM NI KWA HOFU YA KUPOTEZA KITU FULANI LAKINI KWENYE SANDUKU LA KURA WAO NAO SIO RAHISI WAISUTE DHAMIRI YAO JUU NI NANI ANAFAA KUWA KIONGOZI...
Kwa wale wanaoujua mji wa Moshi wataweza kufuatilia kirahisi sana namna ambavyo uamuzi huu uluvyofanyika bila kufuata ukweli wa kisheria wala kimazingira.
Kwa mujibu wa ratiba ya uchaguzi...
Jana nilikuw ambezi beach nikawa napita nikawaona ccm wacheche wamekusanyika mahali nikajua nimambo ya uchaghuzi kumbe Kikwete alikuwepo nikauliza ninitena barabarani wakati kuna viwanja...
Shubiri ya kukwepa midahalo kwenye chaguzi za ubunge zimeishtua CCM - Chama Cha Mafisadi - baada ya kuona TBC1 imewajenga mno wagombea mbalimbali wa upinzani hususani Chadema...
Kwa muda wa siku mbili hawa jamaa wa Tanzania Daima hawaleoshi gazeti katika mtandao. Je kuna mtu anaweza kufuatilia kuona kasoro kubwa inarekebishwa ili tuweze kupata habari zao kuhusu uchaguzi.
Kwanza kabisa, niweke wazi kuwa mimi na Zitto tumekuwa na tofauti zetu kisera for a while hapa JF. For a while there was some kinda of ....(...) going on between us. Kikao cha kamati kuu cha...
Wana Chadema wanajifanya wako pure sana. Pretending to be the ushers of new dawn of transparency and utawala bora (Although they can't even balance budget ya chama).
Sasa muulizeni dada yenu...
Kwa utafiti wangu nimebaini Marekani inazo taarifa ya kuwa JK yu hoi na huenda akatafuta namna za kubaki madarakani isivyo halali na kinyume na sheria lakini Obama tayari amejiandaa kumshinikiza...
WADAU WA JF, KUMEKUWA NA MALALAMIKO JUU YA SMS ZINAZOTUMWA BILA RIDHAA YA MTU.
SMS HIZO ZIMELALAMIKIWA SANA NA WADAU WA CHADEMA ZIKIDAI CCM INATUMIA KAMPUNI ZA SIMU KUFANYA KAMPENI ZA KIAINA...
Ndugu zangu wa-tz, sitochoka kutoa duku duku langu juu ya kiongozi huyu mumtakae nyinyi.
Najua wengi mtachukizwa, lakini hii ni haki yangu ya msingi ya kikatiba, hivi kiongozi mwenye visasi kama...
Inashangaza.
Kaka mtu nina miaka 8 ninamiliki simu ya mkononi. Sijawahi kutumiwa hiyo meseji ya Kiwete inayosema Dr. Slaa anataka kuingia ikulu kwa kumwaga damu. Naiona kwenye simu za watu tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.