MGOMBEA urais wa CCM, Jakaya Kikwete jana alihamishia kampeni zake jijini Dar es salaam ambako aliahidi kuwajengea wafanyabiashara ndogondogo majengo ya kufanyia shughuli zao kwenye wilaya zote...
nimekuwa nikifutilia ziara za kikwete za kampeni,amekuwa na akina yohana wabatizaji wake(wasafisha njia na washeheshaji kabla hajahutubia),dokii,flora mbasha,hafsa kavinja,na wanakati haswa kwa...
Nilipojua Kampeni za Mbowe na comany yake ya Chama kumuandaa Mh Slaa kuwa ndio Mgombea wa urais, nilishtushwa sana. Kwa vile sikuwa na uwezo wa kutengua uchaguzi wao (kwa ukilitimba wao ndani ya...
Najua haki zangu za msingi na katika hizo haki kupiga kura sio haki ya msingi katika KATIBA, ibara ya 12-24 ya katiba ya jamuhuri wa muungano wa tanzania. aahaa kumbee hii ni haki ya kuwa raia wa...
mwaka huu ndo mwaka niliokua nausubili kwa hamu hapa kwetu tanzania,maana heshima haitakuja bila kumwaga damu japo kidogo,ukiangalia nchi nyingi dunian zenye maendeleo chimbuko lake ni...
Niko kwenye kochi nimetulia nawaangalia wagombea ubunge wa jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya CHADEMA Philip Mogendi na Juliuus Mtatiro wa CUF na mgombea jimbo la Ubungo wakijadili mada ya keki ya...
Wiki mbili zinakutosha JK. Bwaga manyanga. Achana na urais
Acha unafiki. Kazi ulishashindwa. Watanzania hawakutaki.
Hao wapambe wachache wanaopewa shuka, fulana, kofia na usafiri wa bure...
Ah! Chadema noma! Nimeona kupitia ITV hiyo nyomi ya hapo shy town. Nimeona hadh upeo wa macho yangu tu huo umati. Ee Mungu mapenzi yako yatimie katika mageuzi haya. Ccm bye. So sad
Leo ktk taarifa ya habari ya saa mbili usiku ITV kuna mgombea udiwani wa CCM huko Masama ameonyeshwa akiwa analia lia kisa ati wanachama wa CHADEMA walimuwowa mbele ya kamanda mbowe!... ghafla...
:A S angry:NALIA:nono:
NIKIWA KAMA MWANA JF HALISI NAPENDA KUWAFIKISHIA TAARIFA HIZI KWANI HAPA MAISHA YETU SI JUI KAMA YATAKUWA SALAMA MAANA CCM WAMEPANIA HASA KUCHKUA MADARAKA KWA KILA NJIA...
Napenda kuuliza,waraka wa kufungua vyuo novemba baada ya uchaguzi ulitolewa na nani kwenda vyuoni vyote?ki kawaida kila chuo huwa na programme zake na kawaida tz vyuo huanza muhula wa kwanza...
Wana JF,
Naamini chaguzi hi sehemu ya maisha. kwa hiyo napendekeza wale jamaa wanaosoma masters, .... . wachangamkie tenda. Naamini hiyo topic tosha kwa kufanya utafiti. Ila siyo wa kuchakachua...
Jamani, nimepitiwa au ndo hali halisi. Mbona sijasikia kama Tume ya Uchaguzi wako tayari kuruhusu uwepo wa vyombo vya habari kwenye chumba cha kujumlishia na kutangazia matokeo ya uchaguzi mkuu...
Jk akitegemea historia kujirudia yenyewe alitarajia awamu ya pili itakuwa mteremko lakini siasa huwa hazitabiriki kabisa.
Kinyume na matarajio yake amekutana na ghadhabu ya wapigakura wenye kiu...
Katika hali inayoonyesha "La kuvunda halikosi ubani" wana-CCM Arusha wameparanganyika katika makundi matatu makubwa kutokana na kuchukizwa na asiyekuwa mwanajimbo la Arusha mjini, Mheshimiwa...
hili limekaa vizuri,kufuatana na serikali kuendelea kujishebedua na kusuasua juu ya hatma ya wanvyuo kushiriki uchaguzi mkuu,wanaharakati hao wameamua kuipa masaa 72 kinyumme na hapo ni kuwepo...
Wanachama wote wa CCM ambao ni wapenzi wa dhati kweli kweli - wa chama cha wakulima na wafanyakazi, cha misingi ya Azimio la Arusha, basi October 31, ni kuchagua Chadema ili tupate nafasi ya...
Wanajamvi,
Tuache uwongo hali ya CCM uchaguzi huu sio nzuri kabisa -mtu yoyote mwenye akili anaweza kuuona. Sual ni kwamba CCM inakabiliwa na upinzani wa aina mbili; yaani toka nje ya chama na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.