Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Nimesikia NEC wanataka wapiga kura kutambua vituo vyao kwa kutumia simu za mkononi ambapo watatuma namba yao ya kadi ya kupigia kura na wata julishwa kila kitu!! Critically,tujiulize! Watu wengi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndungu mwana JF naomba kama kweli unataka mabadiliko yatokee kupitia sanduku la kura mwaka huu, nakuomba ufanye juu chini angalau kufikia tarehe 31 October 2010 uwe umewabadirisha wapiga kura...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
When president Jakaya Kikwete of Tanzania became the first African president to meet with his US counterpart Barrack Obama, it became a big hit for Tanzania. Embattled Kikwete’s luck has given...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sadick Mtulya MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utouh amesema ofisi yake imejipanga kukagua mapato na matumizi ya fedha zilizotolewa kwa vyama vya siasa na wagombea kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana saa sita usiku kwenye baa ya Mzumbe Garden hapa Mbeya mjini,kulikuwa na kikao kati ya viongozi wa juu wa CCM Mkoa akiwamo Mwenyekiti wao na viongozi wa CUF wakipanga mkakati wa kuibwaga...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Tume inasema kuwa kwa utaratibu wa mwaka huu, kila kituo kitakuwa na wapiga kura wasiozidi 500! Ina maana kama kuna mtu anataka kuiba kura katika ngazi ya kituo, ataiba kura 500 tu katika kituo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ile Ripoti ya kura za maoni zilizofanywa na Tanzania Citizen's Information Bureau inayoongozwa na Deus Kibamba hii hapa mjionee wenyewe!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Moja ya vituo vichache vilivyo kuwa vina aminika kwa kutokuwa na upendeleo na kuwa na uwazi basi ilikuwa startv na RFA, Lakini weeks hizi za mwisho imekuwa ni kinyume kwani wamekuwa wakitangaza...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Tuliwa tumebaki na siku 13 tu kuingia kituoni ni wazi kwamba pressure ya kulinda kura inaongezeka kila kukicha. Maoni yangu ni kwamba kila chama kina wakala wake kusimamia uchaguzi. Baada ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jana nilikuwa maeneo ya shinyanga, nilibahatika kuhudhuria mkutano wa kampeni wa Dr Slaa! Pembeni yangu kuna jamaa flani tunabadilishana mawazo kuhusu hali ya siasa huku tukisubir Dr kuanza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa wale mlio Tanzania mnafahamu kuwa kwa miezi miwili sasa,wafanyakazi wa serikali wamekuwa wanakatwa mishahara yao,na fedha zinadaiwa kupelekwa kwenye kampeni.majibu ya serikali ni kuwa kuna...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Miaka mingi wasimamizi wa vituo kutoka NEC huwa wanakuwa waalimu. Na miaka ya 1995, 2000,2005 tunalia CCM inatuibia kura zetu. CCM inatumia waalimu hawa kuwafanya waiingize ikulu kwa kuwaghilibu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HALI NI TETE IOKOE NCHI YAKO KUTOKA KWENYE UTAWALA BANDIA Habari za uhakika tulizozipata masaa machache yaliyopita ni kwamba JK ameingia mkataba na nchi moja kubwa ili shirika la ujasusi la nchi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
kitendo cha jaji lewis makame jana kutangaza kwenye mkutano wa wadau wa uchaguzi kule arusha kuwa hata wakala asipotia saini form za uchaguzi hakutabadili lolote kinanitia shaka. Najiuliza kuna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jf mi nawapa tu ushauri kama mtu huna kadi ya kupigia kura ni bora tu,ukae kimya kuliko kuchangia ishu kibao kuhusu uchaguzi halafu we mwenyewe si mshirika,nia
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu hebu nisaidieni maana kila nikijaribu kuchambua sera na ahadi za CCM, na wagombea wake nayakuta yana sifa kuu tatu ambazo zinanipelekea kujiuliza maswali yasiyo na majibu...! Ahadi nyingi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanaosema Dkt. Slaa vijijjini hajulikani mara wasukuma hawajui kutamka Slaa lakini safari hii kwa yaliotokea Ndala na Nzega. Tusubiri October 31st. Nawashauri CCM propaganda kwa sasa hazina...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hizi ni habari mbaya kwa wanavyuo na wanaharakati.mimi ni mwanachuo,ukweli ni kwamba wakati jambo la kubadili muda linaanza niliwaambia wanachuo bila mafanikio kuandamana kupinga jambo hilo kwani...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Breaking News Kuna tetesi kuwa basi lililokuwa limebaba wananchi waliopelekwa kwenye mkutano wa kampeni limepinduka usiku huu likiwa linawarudisha majumbani kwao na watu watatu wamefariki dunia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hongera ITV kujiondoa CCM Ni wengi wetu walioona uzi nilioweka hapa JF uliokuwa na kichwa cha “tangu lini ITV ikawa CCM” ambapo ITV walikuwa wanarusha taarifa za habari za CCM pekee. Baada ya uzi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom