Hebu tuwe walufikiria jamani. kwani naona hawa jamaa wanakoelekea ni kwenye MLANDIZI na siyo MTUPA MAGANDA, vichwa panzi na wema wa kinafiki.
juzi juzi wametoka kutukanwa " MTU MZIMA HAFUNDISHWI...
...Presidential material inaonekana dhahiri shahir kwa mh dk Slaa... Huyu ndiye rais tuliekuwa tunamtarajia atufikishe kwenye mafuriko ya maendeleo kwa kuwa ana vision na mission ya kutufikisha...
Da! kweli mwaka huu kitimtim.
niwape nyepesi? ( kabla sija wapa hebu ngoja niwaulize swali je inaruhusiwa kwa wagombea kuzunguka mashuleni na mahospitalini kuomba kura? nijibuni tafadhali)...
NImesoma bango hili la wanaNzega nimepata tafsiri kubwa moja ! Watanzania wamechoka na Tamthilia za Hekaya za Jakaya Kikwete.
Haya hili libango la Kitanzania lenye wimbi la umasikini lakini...
Kuna watu humu ndani wanaona kwamba mawazo yao yanaumuhimu kuliko ya wengine au kwamba hatuitajiki kutoa mawazo yetu mmoja wapo akiwa moderetor wa hii website, i dont know u people bt the way...
35,000,000/= zimechotwa kutoka kila mkoa kwa kisingizio cha pesa ya kusimamia mitihani ya form 4..
Kawaida fedha zinazopelekwa kwenye taasisi cheki zake hufungwa (closed cheques) yaani lazima...
wakuu, hii ya chagua mtu badala ya chama umekaaje?
mwanzoni ilianza kama jambo lisilo serious sana, lakini mpaka sasa tunaambiwa (mwananchi) hata viongozi wa dini wanasisitiza sana kwa mtu...
katika hali inayoonesha kuwepo kwa machungu ya kushindwa katika kura za maoni ndani ya chama chetu, malecela anadaiwa kung'oa mashine aliyokifadhili kijiji cha mtera kwa kisingizio cha yeye...
Slaa: Nitajinyima watoto wasome Send to a friend Tuesday, 19 October 2010 07:47 0diggsdigg
Mussa Mkama, Shinyanga
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema, Dk Willibrod Slaa jana alibadili hali ya...
Mgombea wa Urais ambaye yuko madarakani kwa sasa hapaswi kutoa ahadi kwakuwa yeye bado ni Rais hivo yeye aanze kutekeleza kwa vitendo kuwafanyia wananchi. Aanze kununua meli, aanze kujenga...
"It is a fact that the late Mwalimu Nyerere appointed Ali Hassan Mwinyi and Ben Mkapa to lead Tanzania. Now the big question is, who really planted the fourth phase President Hon. Jakaya Kikwete?"...
Je, ni mgombea gani wa Urais mwaka huu 2010 ambaye anaendana vizuri sana na statement hii "There is often a dichotomy between what politicians say and what they do"?
Source: Cambridge...
Ni katika hali ambayo wananchi wa Nshamba Wilaya ya Muleba bado wanajiuliza na kushangaa hadi hivi sasa ambapo baada ya Mgombea kwa tiketi ya CHADEMA , Dr. Slaa kufunika Bukoba kwa wale...
Wana JF sasa hivi kuna mdahalo unaendelea Bukoba katika hotel maarufu ya Kolping. Sijajua ni nani ame organise mdahalo huu lakini wagombea wengine wa CCM na CUF hawajahudhulia kwenye mdahalo huo...
CCM ni chama cha ''mapinduzi." Hivi ni mapinduzi gani walikuwa wanamaanisha mwaka 1977? Could CCM be literally meaning REVOLUTIONARY PARTY ?
Walitarajia kufanya mapinduzi gani?
Mwenye kufahamu...
....kuwa siku ya tarehe 31 mwezi huu ambayo ndio siku ya uchaguzi mkuu wa Tanzania, idadi wa watumiaji wa tovuti hii wataongezeka sana kupita kiasi. Mpaka sasa rekodi iliyokwa ya watumizi wengi ni...
NDUGU ZANGU WA-TZ, SITOCHOKA KUTOA DUKU DUKU LANGU JUU YA KIONGOZI HUYU MUMTAKAE NYINYI.
NAJUA WENGI MTACHUKIZWA, LAKINI HII NI HAKI YANGU YA MSINGI YA KIKATIBA, HIVI KIONGOZI MWENYE VISASI KAMA...
WATU watatu wamefariki dunia na wengine 50 kujeruhi vibaya baada ya lori walilokuwa wamepanda wakati wakitokea kwenye kampeni za mgombea urais wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein, kupinduka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.