Uchaguzi Unaofanyika Tanzania sio wa kwanza. Pia uchaguzi wa Tanzania ni sehemu ya chaguzi nyingi zilizofanyika duniani.
Mtu wa kawaida anaweza kuchunguza mambo machache yafuatayo na akajua...
CHADEMA wachoma khanga za rushwa
Zilitolewa na Mama Kilango kwa wananchi
na Grace Macha, Same
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimechoma khanga zinazodaiwa kutolewa bure kwa...
Leo asubuhi kuna kundi la askari wengi wa kutuliza ghasia wakiwa wamevalia mavazi rasmi tayari kwa mapambano,pia wameongozana na gari la upupu
Askari wametawanyika kila sehemu,haijulikani kuna...
Tukiwa tumesaliwa na siku chache kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika, wanafunzi wanao soma jimbo la KAWE wajitokeza kwenye mdahalo wa jimbo la kawe uliyo andaliwa 'FEMA' kwa kauli yao moja wsema...
Jana Tar.18/10/2010 mama Salma Kikwete alionja joto ya jiwe kutoka kwa wenyeji wa Tunduma wkt akirejea kwenye kampeni Sumbawanga wananchi hao walitaka kuponda gari la mama Salma alikuwa kapita...
Nilihisi kuna fungu la bahasha kama wanahabari wangu mnavyojua tukitoka shugulini zile bahasha zetu..loh kusogelea nkakuta mh mmoja akisubiri kusafiri kafungua box mara nikaanza kusikia na mimi...
[/B][/SIZE]Kama mwananchi wametishia kulifungia je habari hii hapa?
KILE kinachoitwa umaarufu wa Jakaya Kikwete, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeelezwa kuwa "taarifa za kupanga"...
Ukihitaji kupata habari na picha za mikutano ya Dr. Slaa tembelea blog ya Friends of Dr. Slaa
Friends of Slaa | FOS |: Habari
Endeleeni kubarikiwa.
Isaiah 54:17
no weapon forged against...
jamani wana jf hivi inawezekana mgombea tena ngazi ya urais hajui sinza ipo jimbo gani ndani ya majimbo ya dsm?kikwete makazi yak yaani ikulu ipo dsm sasa inapotokea kwenye mkutano wa kampeni...
Zikiwa zimebakia siku chache kufikia uchaguzi mkuu ningewaomba viongozi wote wanaogombea URAIS kuacha siasa za majitaka na badala yake kuzungumzia vision yao ktk Tanzania ya kesho ktk maswala...
Nimejitafiti na kugundua sijawahi kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu Tanzania. Hivi naweza kutumia kalamu yangu kupiga kura? Je, kama naweza inatakiwa kuwa ya rangi gani? Au ilimradi niweke...
.......ila matendo yanaweza.
Baada ya mbwembwe zote za kampenzi zimebaki siku 12 tu kabla ya uchaguzi!
Wanajamvi tusiishie kwenye kusema,kushauri, kukosoa na kulalamika tu, tar 31 tukapige kura...
Nimejaribu kufuatilia kwa undani kwa viongozi wastaafu na viongozi wale wa dini wakiwaamasisha wananchi kutochagua chama bali tuchague kiongozi mwenye sifa safi kama vile tusichague Mafisadi na...
Ni kwamba jamaa wameshaanza kuandaa kadi za mialiko kwa ajili ya viongozi watakaoudhuria uapishwaji wa presidaa wa tz ajae...ambapo inaelezwa itakuwa kati ya tarehe 3 au 4..ni kwamba ushindi...
Hebu tuwe wakufikiria jamani. kwani naona hawa jamaa wanakoelekea ni kwenye MLANDIZI na siyo MTUPA MAGANDA, vichwa panzi na wema wa kinafiki.
juzi juzi wametoka kutukanwa " MTU MZIMA HAFUNDISHWI...
Michuzi anapenda sana hivi vikatuni vya huyu jamaa lakini safari hii Gado stepped on Michuzi's toe !!
Source:The East African: - Understanding The Region - Comment
Dk. Slaa atatufaa Ikulu
M. M. Mwanakijiji
KINYANG'ANYIRO cha uchaguzi mkuu kwenye nafasi ya urais utakuwa ni baina ya Dr. Kikwete na Dr. Slaa. Katika mazingira fulani fulani mwamuzi wa...
Katika utafiti uliofanywa kwa muda mrefu na vyombo vya habari vya kimataifa, inaonesha kwamba CUF itapata ushindi mkubwa Zanzibar. Vyombo hivyo vya kimataifa bado vinajiuliza je CCM, wataachia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.