Kila mpenda MABADILIKO afanye kwa sehemu yake, wale tutakao weza tuhakikishe tunasimama kama mawakala wa CHADEMA, na wale tuliopata nafasi ya usimamizi naomba tukalinde kura za Slaa, Ushindi ni...
Mbinu chafu za serikali zashindikana Mwanza, idadi kubwa ya wananchi wa jiji la Mwanza jana walienda uwanjani kusikiliza sera za CHADEMA baada ya jeshi la polisi kuwarushia raia mabomu 8...
Ndugu Watanzania wenzangu mnaoipenda nchi yetu, naomba wote kwa pamoja tufunge mikanda kuelimisha watu fulani ambao inaonekana mawazo yao ni ya zamani sana na inaonekana elimu waliyoipata...
By JENERALI ULIMWENGU
October 10, 2010
Murphys law states that anything that can go wrong will go wrong.
All of a sudden, it seems there are now just too many things that can go wrong in...
Uvumi ulioenea jana kuwa kuna lori lina makaratasi ya kupigia kura Tunduma, kama kweli si za kweli basi huenda hizi zikawa ni mbinu nyingine chafu dhidi ya Dr Slaa..
Wanajua kuwa Dr Slaa hana...
AHADI zinazotolewa na baadhi ya wagombea uongozi nchini katika kampeni zinazoendelea za uchaguzi mkuu zikitekelezwa, huenda zikawaweka Watanzania pabaya, imebainika.
Taarifa ya kitaalamu...
Huyu ni mtanzania wa pili baada ya Nyerere kuchukia ufisadi kwa vitendo. Ni mtanzania wa pili kuchukia umaskini wa watanzania kwa vitendo. Ni Dr. Slaa aliyesimama na kutaja majina ya wala rushwa...
Kuna uvumi unaenezwa kwa watu kuwa iwapo umepokea rushwa/takrima toka ccm alafu ukawasaliti kwa kuwapigia kura wapinzani.Eti iyo karatazi ikipelekwa kwa computer itaonyesha iyo tick ilikuwa ya...
Mwanasaikolojia maarufu nchini Marekani aitwaye Phil McGraw aliwahi kusema kwenye mada zake tuwe waangalifu sana na watu wanaojibu hoja ambazo wala hawajaulizwa.
Alisema mtu anapoanza kujibu...
Urafiki wa muda mrefu baina ya Godbless Lema na Mawazo Alphonce umefikia hatua ya kutishiana kumalizana kisiasa.Ikumbukwe Lema na Mawazo walikuwa wanachama wa TLP kabla ya kujiondoa na kujiunga na...
Wadau nilikua nasikiliza wimbo wa msanii wa kizazi kipya Joseph Haule maarufu kama Prof. J wa "Ndio Mzee" na ndipo nikaanza kukumbuka ahadi za Jakaya kikwete moja baada ya nyingi kwa zote zaidi ya...
MOSHI MJINI
Chadema`s Union presidential candidate, Dr Willibrod Slaa, addresses a campaign rally at Mashujaa grounds in Moshi yesterday.
Mgombea ubunge wa Jimbo...
KARATASI YA KUPIGIA KURA-NI SIRI?
kabla ya mtihani wa kumaliza shule huwa kuna Mock exams,hii inamuandaa mwanafunzi kujua mtiahani utafananaje etc,pia kuna past papers,hii pia inajenga uzoefu wa...
Freeman Mbowe amejipendekeza mikononi mwa vijana mahiri wa CCM na kupewa kichapo havi hadi kupoteza fahamu leo Masama Hai.Hali hiyo imepelekea mkuu huyo wa CHADEMA kuwahishwa USA through Pretoria...
habari ambazo zimelifikiadawatila hatudanganyikikutoka ofisi ya waziri mkuu zinzonyesha kwamba wasimamizi wauchaguzi katika majimbo yaani wakurugenzi wa halamashauri za wilaya, miji na manispaa...
Ilikuwa kama sinema za akina Rambo ama matukio ya Rwanda Genocide. Mgombe wa ubunge jimbo la Hai kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe akiwa katika mkutano wa hadhara huko Masama Kati ghafla...
Kuna mzee mmoja kada wa CCM nilifanya naye mazungumzo kidogo kuhusu chama chao.
Nikamuuliza swali: "Kwa nini mumekubali Kikwete agombee tena Urais mwaka huu wakati amevuruga nchi na haaminiki...
Nimepata taarifa kuwa mheshimiwa Dr.Slaa amemaliza kuhutubia mkutano mkubwa wilayani maswa akijumuisha majimbo mawili ya Maswa Mashariki kwamgombea John Shibuda na Maswa Magharibi kwa Kasulumbayi...
Wakuu, leo nimeisoma hii (a bit delayed though) kuhusu majengo yetu mapya ya wamachinga pale Karume... Kwa kweli ni masikitiko sana kwa ripoti hii walioyotoa kuhusu majengo husika.
Maswali yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.