napendekeza badala ya kuwapa wananchi taarifa za mikutano mbalimbali
ya kisiasa wakati wa taarifa za habari tu na tena usiku,ni vyema vyombo vya habari wakatenga muda wa wiki hii na haswa mchana...
Kwa kipindi cha Nyuma kumekuwa na tetesi za Shirika la umeme Tanzania kukata umeme siku za uchaguzi hasa kipindi cha jioni wakati kura zikihesabiwa na kuwapa nafasi wale wasio na huruma na nchi...
Wakuu wana JF, kwa kweli nimechoshwa sana na uongozi mbovu wa sasa chini ya serikali ya chama cha mapinduzi CCM. Nimejiandaa vema kabisa kupiga kura kuiondoa madarakani.
Fikiria mara ghafla...
Nimetoka kuzungumza sasa hivi na Mgombea wa Ubunge jimbo la Vunjo kwa tiketi ya TLP Bw. Augustine Mrema ambaye amepinga vikali uvumi ulionezwa tangu jana jioni kuwa ameamua kuachia ngazi kwenye...
ktk hali ya kutapatapa ccm imeamua kurudia kampeni ktk sehemu zinazoonekana ku support upinzani. Tatizo ni kuwa mwaka huu haswa wa vijijini wamechoka na ccm!tujiulize mimi na wewe tutapata wapi sh...
Nilikuwa nasikiliza mapitio ya magazeti leo asubuhi Tumaini FM wakanitabanisha kuwa huyu Dada akitoka Sumbawanga alipita katika moja ya miji huko Mbeya kuelekea Mbeya mjini...akaamua kuwapungia...
Nathani kila mmoja wet anatambua kuwa CCM hawako tayari kung'oka madarakani! tujaribu kuangalia tricks walizotumia kwa upande wa Zanzibar ili tuweze kutengua wizi wao wa kura
someni hapa...
wadau leo ccm wamemtuma kijana wao wa kawe kuzungumza kuhusu fursa ya vijana na mustakabadhi wa taifa ndani ya chama.Jamaa wa ccm anasema ufisadi ni suala la mtu binafsi na si chama uhondo zaidi...
Mgombea mwenza wa NCCR aishiwa nguvu, aanguka jukwaani Send to a friend Thursday, 21 October 2010 10:40 digg
Leon Bahati na Fidelis Butahe
MGOMBEA Mwenza wa NCCR Mageuzi, Ally Omar Juma...
Baada ya kuona swali la mdau hapa kwenye JF leo asubuhi,niliamua kwa dhati kabisa kufuatilia habari za mgombea mwenza wa chadema kwanza kwa kuaniza nyumbani kwake kwani ninaishi nae karibu sana na...
Leo nilikuwa nasikiliza Redio wapo 98.0FM, Gamanywa ametangaza kuongea na waandishi wa habari hapo keso kuhusu mambo ya uchaguzi mkuu, kwa maana ya kuingizwa udini kwenye uchaguzi wa mwaka huu...
WAKATI wagombea watatu wa CCM ,CUF na UDP wakikwepa kufika katika mdahalo wa wagombea ubunge jimbo la Sumbawanga mjini mkoani Rukwa mgombea wa NCCR-Mageuzi Kiyaya Dominic (kulia) amewataka...
Nimepitia blogs za Michuzi, Njengwa na Global Publishers kufuatilia habari mbalimbali, hasa zile za uchaguzi. Ni Global Publishers tu ndio walioweka picha ya Dr. Slaa Mwanza. Hili limenishangaza...
Licha ya juhudi zote nilizozifanya za kuandika magazetini juu ya tabia ya wanachadema kusalimiana huku wamekunja ngumi peoples ....power, nimeandika kwenye magaqzeti mbalimbali kuwa kwa maadili na...
Kufuatia taarifa za kukamatwa kwa karatasi za kupigia kura zilipigwa tayari huko Tunduma, sasa ni dhahiri kuwa vituo 52,000 vilivyotangazwa na NEC huenda kuna vituo ambavyo vinatarajiwa kupokea...
Habari zenu wana JF, nimeona ni vema nikiwamegea hii info muhimu.
Ukitaka kupata info zako za uandikishwaji wako bofya hapa
Kila la kheri fanya maamuzi sahihi october 31, usifuate mkumbo.
"kura...
Wana JF,
Napenda kuwahabarisha kwa tetesi zilijili kwenya mtambo wangu kuwa maandalizi ya kumwapisha Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 3rd November,2010...
HAWA WANAWAKE WA MBEYA WAMEVUNJA REKODI KWA KUWA MNO WAWAZI. HUKO MOSHI HUWA WANAMSHANGILIA LAKINI AKISHAONDOKA WANAMSENGENYA NA KUMCHARURA KISHA WANAAAPA KUTOKIPIGIA KURA CHAMA CHAKE.
HAPA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.