Wanabodi
Nilipata ka vakasheni kafupi, hivyo nikaamua kwenda kujipumzisha mikoa ya Moshi na Arusha
juzi na jana.
Baada ya mapumziko mafupi ya juzi yalitosha na jana nikaitumia kusafisha macho...
Leo nilikuwa mtaani nkawahoji vijana wachache kuhusu uchaguzi.
Wachache wao walikuwa wachuuzi wa vitu vidogo vidogo ambao hunyemela bar kupata wateja wengi wao walionekana kuwa wamejiandikisha ila...
Habari za kuaminika nilizozipata hivi punde kutoka kwa mdau huko Mwanza ni kuwa umati aliokusanya Dr.Slaa leo huko Mwanza haujapata kutokea na imemlazimu JK kwenda Mwanza tena kesho..
Naagiza...
Naanza kwa kuuliza swali... Hivi ukiwa umekaa umejituliza ukamuona panya anakimbia kutoka sehemu nzuri kuelekea kwenye moto mkubwa unaowaka utafikiria nini? Jibu langu mie nitajibu baadae lakini...
Nafikiri ingekuwa busara kwa Kikwete kuagwa kama Karume, na pindi kama atashinda atakaribishwa tena kwa gwaride. Hasipofanya hivi na akashindwa kwenye uchaguzi, basi hana nafasi tena ya kuagwa kwa...
Nafikiri ingekuwa busara kwa Kikwete kuagwa kama Karume, na pindi akishinda atakaribishwa tena kwa gwaride. Hasipofanya hivi na akashindwa kama atashinda kwenye uchaguzi, basi hana nafasi tena ya...
Kwa wale wengi waliokuwa wakitarajia kuwa Lipumba amepoteza wakati wake na kwa wale ambao walikuwa wakiamini kura za maoni zilizokuwa zikirushwa kwenye vyombo vya habari ndizo zinazoashiria Raisi...
Tuendelee kujadili na kupanuana upeo wa mambo, ninajaribu kujiuliza kwamba iwapo data base ya makampuni ya simu(tigo,zain,voda n.k) itatumiwa na mafisadi wa kuchakachua kura kwa njia ya technohoma...
WanaJF,
Asasi ya vijana ya Tanzania Youth Vision Association-TYVA kupitia mradi wao wa Kijana na Kura Yako 2010 baada ya kutembelea mashuleni na vijiweni katika mikoa ya DSM, Pwani, Dodoma...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza mabadiliko katika karatasi ya kupigia kura .
Wananchi watakaopiga kura watapaswa kuweka alama ya vema kulia kwa mgombea wa chama anachokusudia...
Watu wa Intellijensia, JF wazalendo mimi nawewe watufanyia kazi tupate majibu. Ikibidi huyu jamaa IGP aweke wazi hilo jambo ili tuweze kupata majibu yaliyo sahihi. Vinginevyo nchi tunaipeleka...
Wakuu leo asubuhi wakati nasikia mapitio ya magazeti RFA nimesikia kuwa NEC imabadilisha jinsi ya kupiga kura itakuwa kuweka Tick kwenye kibox kilichopo mbele ya mgombea Urais.
Sasa nikapata...
UNION presidential running mate under the ticket of CCM, Dr Gharib Bilal, has directed security organs to take stern legal measures against some members of CHADEMA who perpetrated political...
Jamani kwa hali ilipofikia sasa baada ya JK kukimbia mdahalo na kumwachia Kinana ambaye amezidi kukidhoofisha chama, mi naona ni heri Kinana na Makamba wakasepa na kumwacha JK akiendeleza kampeni...
Wanachadema, mbona hawaendi lindi na mtwara, nimeona ratiba hii, sijaona akirudia mtwara na lindi.
Mwaka huu hatutaki kudanganywa, AMKENI WATZ, CHANGES HAPPEN ON YOUR DECISION.
PRESIDENT Dr...
Baadaya ya mkoa ya pwani, morogoro, kilimanjaro, musoma, sumbawanga na mingine mingi kumzibitishia kuwa wanampa kura asilimia 90, sasa Dr Kikwete ana raha anapumzika kwa raha zake,
wakati huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.