Mkwere ndugu yangu, mtani wangu, ninakuomba tu ujitoe kwenye kinyang'anyiro cha Urais.
Huwezi kazi Mkwere. Kazi unayoweza Mkwere ni kukaa na Salma tu. Siyo Urais.
Uliingia kwa mbwembwe Mkwere...
JK amemwaga ahadi tena Lindi! Amesema anateua Hospitali ya misheni iwe ya wilaya ( amesahau alivyojaribu kuondoa misamaha ya kodi kwenye huduma hizi)
Zaidi ameahidi kujenga hospitali nyingine ya...
Kuna mdau katutumia ujumbe kuwa Godfrey Lema ambaye ni mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA jimbo la Arusha mjini yupo mikononi mwa polisi. Kisa na mkasa tutawafahamisha punde kwani anaendelea...
Kama Mtanzania mwingine ambaye sijapata uelewa mzuri juu ya kupiga kura kwa Rais kama niko nje ya kituo nilichojiandikisha kwa sababu mbalimbali zikiwemo za kuuguza wapendwa wetu mahospitalini...
Tujikumbushe siku za nyuma wakati Kikwete alitakiwa kuchuka maamuzi magumu na hakuchukua.
Re: Epa na mambo yake
JK: "Watanzania eh"
WTZ: "Eh"
JK: "Mimi Rais wenu!"
WTZ: "eh!"
JK: "Sina...
As we are approaching a critical point to decide the fate of this beloved country of ours, I solemnly urge every Mwanajamii to RSVP on October 31,2010.
It sound like what 'the heck' BUT note...
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa Jiji la Mwanza na vitongoji vyake, katika mkutano wa kampeni...
Residents of Mabibo, Dar es Salaam, check their names on a voters list pinned at a polling centre in the area yesterday ahead of polling day - October 31. (Photo: Tryphone Mweji)
Source::: IPPMEDIA
Nimekuwa nje ya nchi na namna ya kufuatilia habari zinazoendelea imekuwa ni hapa kwenye jf na kupitia magazeti kwenye mitandao.
Nimesikitika kuwa gazeti hili ambalo linaandika vizuri sana habari...
Probably you need to help me out!
Mara Tamwa funga mdomo wako !
Mara Mwananchi newspaper funga mdomo wako!
Mara Viongozi wa dini kaaa kimya-funga midomo yenu
Mara oooooooh damu haitamwagika...
Wadau,
Muda mfupi uliopita nimekuwa nafanya mawasiliano na jamaa zangu walioko Mugumu kuhusu ujio wa Rais mtarajiwa Dr. Slaa. Taarifa nilizopata toka kwa watu niliowasiliana nao zinasema kwamba...
Mod. nisamehe nahisi kama Rais Slaa au wana CHADEMA walio karibu naye kila siku, wanaweza wasipate ujumbe huu kama nitaandika kwenye thrd nyingine.
Mkuu wetu, tafadhari kuhusu kujibu maswali...
Ni busara kwa muda uliobaki tume ya uchaguzi itoe karatasi ya mfano ya kupigia kura ili wapiga kura waanze kuiona na kuizoea, pia ianze kutoa mafunzo jinsi ya kupiga kura. Hili ni jambo muhimu...
Leo asubuhi nilisikia kwenye redio Free Afrika katika mapitio ya magazeti kwamba Askofu Mokiwa alilalamika kuwa alipelekewa rushwa ya shilingi milioni 11 ili kunyamazisha baada ya ile kauli yake...
Frederick Katulanda na Mussa Mkama, Mwanza
KAMPENI za Uchaguzi Mkuu ambazo zinaelekea ukingoni zimezidi kuongeza joto la kisiasa nchini, baada ya Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kulazimika...
Jamani hii nimeipata live kutoka kwa swahiba wangu aliye Shinyanga. Anasema mgombea ubunge wa CCM jimbo la Shinyanga mjini aliyemtaja jina la Steven Masele hatakiwi na wana_CCM kwa sababu siyo mtu...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi, imetangaza idadi ya wapiga kura Tanzania bara watakaopiga kura kuwa ni 19,694,416.
Tume hiyo pia imetangaza mabadiliko katika karatasi ya kupigia kura na sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.