Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Akionyesha kumuunga mkono mgombea wa CHADEMA Ubungo (John John Mnyika), waziri wa zamani na mbunge wa Ubungo Mh Keenja amesikitishwa na habari ya kuwa alinunua jimbo la Ubungo akiwa maeneo ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
TAMKO LA TAHLISO KWA UMMA KUTAARIFU JUU YA UPOTOSHWAJI WA HABARI ZINAZOHUSU UPIGAJI WA KURA KWA WANAFUNZIWA VYUO VYA ELIMU YA JUU TANZANIA. UTANGULIZI: TAHLISO ni umoja huru wa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Tukiwa tunakaribia siku ile ya uchaguzi mkuu, ninawiwa kuwakumbusha ndugu zetu polisi na wanajeshi wa majeshi yote kuwa wao pia ni watanzania. Siku ile wasije wakakubali kutumiwa kwa faida ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Viongozi wa vyama vya siasa wamepinga vikali Kamati ya Kuangalia Uchaguzi Tanzania (Temco) kuruhusiwa kuwa mwangalizi wa ndani wakati wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 31 na kuitaka Tume ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba nitumie jukwaa kuwashukuru watu wa Karatu kwa kutuleta mkombozi. Wanampenda sana walisikitika wakati alipotangazwa kugombea Uraisi. Lakini wakakubali kwa kuwa wanatamani na waTz waonyeshe...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Lilian Lugakingira, Bukoba HALMASHAURI ya CCM, Wilaya ya Bukoba mjini, imewasimamisha kushiriki katika kampeni za chama hicho, viongozi watano, akiwemo mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT)...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
NDUGU WANAJF, KESHO TUKACHECK MAJINA YETU ILI TUHAKIKI KABISA NA SIKU YA KUPIGA KURA TUWAHI MAPEMA SAA 6AM IKIBIDI ALIFAJILI NA HAKUNA KUCHOKA TWENDE NA MAJI KABISA, MWANZO MWISHO. JAMANI...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ilikuwa majira ya saa 10:30 mchana alitua na Helkopta kama kawaida. Alizungumzia mambo ya msingi yatakayofanyika siku Chadema itakapoingia madarakani: 1. Kushusha bei ya vifaa vya ujenzi ili...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
ALIYETOA TAARIFA ZA KUWEPO KWA NYARAKA BANDIA ZA KUPIGIA KURA MKOANI MBEYA AKAMATWA NA KUFIKISHWA MAHAKAMANI Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,Kamishna Msaidizi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Slaa: I won't stick to NEC's time limit Friday, 22 October 2010 08:41 By Frederick Katulanda, Citizen Correspondent Mwanza. Chama Cha Demokrasia na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kama nilivyosema kuwa JK alichoahidi sio sera yake ni mpango wa Mfuko wa jamii NSSF ushahidi ni gazeti la TumainiLetu ukurasa wa tatu habari iliyobeba kichwa cha habari NSSF KUMALIZA TATIZO LA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hakika mambo yote yatapita lakini Neno litasimama. Imeandikwa "Siku za mwisho wataibuka manabii wa uongo" Hivi karibuni, kwenye moja ya mikutano ya kampeni ya JK aliibuka msanii mmoja na...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wana jf naomba kujua walau sababu mbili 2 zinazomfanya Benny hasimpigie kampeini JK.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakati NEC imetoa maelekezo ya kuwa wapigakura tuna uhuru wa kuwa mita 100 kutoka vituo vya kupiga kura na mapolisi wasitusumbue utata umejitokeza pale ambapo msimamizi wa uchaguzi wa Tarime...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Shura ya maimamu inayoongozwa na Sheikh Ponda Issa Ponda imewalalamikia polisi wa kanda ya kati inayosimamiwa na Afande Kova kwa kuwakatalia haki yao ya kimsingi ya kuandamana na kuelimisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Anaewatakia mema mafisadi tanzania hii achague CCM na Kikwete. mafisadi watapeta kwa kwenda mbele tena akina sie paku pakavu ndo tutaonja joto ya jiwe maana hata pale tunapotafutia maisha nako...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Friday, 22 October 2010 07:52 Frederick Katulanda, Mwanza KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Simon Sirro amesema jeshi lake liliamua kutumia busara kuepuka kupiga mabomu ya machozi kwa mara...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa hisani ya Francis Godwin. NI NANI KATI YA HAWA UTAMPIGIA KURA YAKO OCTOBA 31 ILI ATIMIZE AHADI ZAKE KAMA RAIS WAKO? TUJITOKEZE KWA WIKI KUCHAGUE ,RAIS,MBUNGE NA DIWANI...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
*Polisi yakiri kuwashikilia viongozi Wakati jihudi za kuliokoa Jimbp la Bukombe liko katika hatihati za za kunyakuliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) zikipamba moto, viongozi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Uongozi wa Vyuo vya Elimu ya Juu, TAHLISO, umelikana tamko la Mwenyekiti wake aliloipa serikali saa 72 kuamua hatma ya wanafunzi hao, kwa kusema alijisemea kwa nafsi yake, na alilitoa kwa kutumwa...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Back
Top Bottom