Wadau wapo wana ccm wanapita hapa mtaani kwetu,mabibo wanagawa kanga,tishet na kofia za ccm,na wakishakupa wanakuandika jina halafu wanasema mpaka sasa tumeshashinda,wamemgawia mke wangu...
Kuna Tcha fulani huko jimboni kwa Mzee wa Kilimo cha Mchicha New Zealand aliwahi kunitumia SMS ya propaganda kuwa Dr. Slaa si kitu si lolote.
Hivi majuzi nilizungumza naye kwa simu na kunieleza...
Ndugu Wana JF,
Napenda kutoa wito kwa wapenda mabadiliko wote kuwa we are very close on the finishing line kuindoa ccm iliyogawanyika madarakani, ambayo ni adui wa wapenda mabadiliko na...
Kitendo cha Mh. Slaa kurudi Bukoba hapo kesho, kunawafanya ccm pureesha ipande na kushuka. Ukiwa Bukoba mjini gari la CHADEMA linazunguka mjini likiwa na Mziki mkubwaaaaaaaaaaa ambao unaimba...
JK kweli anapenda mzaha.
Kwa kuwa mikutano yake inajaa watoto wa shule, basi siku hizi anachokifanya kila anakopita ni kucheza kidali po na watoto wadogo.
Hivi munaoshabikia JK muna akili...
The Government of the Republic of Tanzania is going to make her general election on 31st October 2010.This month has been described as the Unique month,this is to say'it has never been happened...
Haya wadau, kama mjuavyo, ile mada ya Kikwete kuanguka imefungwa.
Sasa hii mpya nimeifungua ili tuendeleze libeneke.
Watanzania tunataka tuambiwe ukweli kuhusu afya ya amirijeshi mkuu wa...
Ndugu zanguni kampeni zimefanywa kwa kiasi kikubwa ba zinaendelea ila kuna kila dalili ccm na kikwete wameshindwa kukata japo 1% ya kiu ya wat ya kuwa na maisha bora na watz wamekichoka chama hiki...
Saidi Mwema amekanusha vibaya sana tuhuma za makaratasi ya kura kukamatwa kule Tunduma. Amedai huo uvumi ni uzushi mtupu. Amesema mapolisi wamelikagua hilo gari lakini hawakuona hayo makaratasi ya...
Habari Kamili Hii Hapa.
Siku moja kabla ya Kukamatwa kwa Bw lema mgombea Arusha mjini, Jana yake vijana kazi wa Chadema ambao wamepagwa mji mzima kuhakikisha bibie tmoa rushwa batilda hagawi fedha...
Habari za uhakika 100% ni kwamba gazeti la serikali la HabariLEO limeshuka uzalishaji (Uchapaji) kutoka copy 7,500 na 7,000 wiki kadhaa zilizopita hadi kuchapa nakala 6,000 tu mpaka gazeti la leo...
Leo asubuhi hii mwanangu akiwa anachezea remote ya radio bahati mbaya akafungulia Uhuru FM. Wakipitia dondoo za magazeti ya chama (ya ccm, serikali, na yale ya mafisadi), mtangazaji wa kiume...
Wana JF,
REDET walichakachua tathimini ya utafiti walio ufanya yakuwa JK alikuwa anaongoza kwa kura za maoni na kumbe ukweli huwa haujifichi jamani ni kuwa Dr. Slaa alikuwa anaongoza na JK...
Wadau, nimetazama taarifa ya habari saa 2 usiku tbc, wameonesha dr slaa alivyoiteka mwanza Jana. Ule Imati unaashiria jambo, hasa ukizingatia punde tu walikuwa wamepigwa mabomu ya machozi...
CCM wanaswa wakinunua shahada - Tanzania Daima
Wakutwa nazo 180
WAKATI juhudi za kuliokoa Jimbo la Bukombe ambalo liko katika hatihati za kunyakuliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.