Roho inaniuma mno kuona ni jinsi gani baadhi ya watanzania wenzetu especially walioko madarakani wanavyotufanya wananchi wajinga na tusio na uelewa wowote.
- Hivi ni kweli bado week 2 kabla ya...
Nipo nje ya jiji la dar lakini nimebahatika kupata habari kuwa kunawatu hapo dar wameandaa show za bure ili watu wakose fulsa ya kumuona na kumsikisiza Dr slaa. Kwan hali ipo wazi kabisa kuwa...
Dk.Slaa aandaa Mawaziri
WAKATI Chama cha Wananchi (CUF) kikitamba kunyakua zaidi ya majimbo 47 Tanzania Bara, mgombea urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod...
hivi kwanini mikoa inayoikumbatia ccm hapa tz ni masikini ya kutupwa?mimi ninayoijua ni singida,lindi,mtwara na tabora,jf plz,ni serious ishu haswa tunapoelekea kwenye uchaguzi,tuisaidie wafanye...
Mimi nina maswali yafuatayo ambayo ningependa nimuulize
1. Ningependa kujua kuhusu hao vijana wake wa kazi mashushushu wanaompa taarifa mbali mbali anazokuwa anadai ni mabomu analipuwa, kwa...
Dr. Slaa Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA anafafanua masuala mengi ikiwemo:
Comparative advantage
Stimulus package ya uchumi (kinga dhini ya mdororo wa kiuchumi duniani)
Stabilization Fund...
Katika Hali ya kushangaza na kushtusha. Membe ameenda mkoani Mwanza kwa nia ya kukanusha "uvumi" anaosema unaenezwa na walioshindwa kupata urais ndani ya CCM.
Uvumi aliosema unaenezwa na...
Utafiti wangu wa kina umebaini yakuwa CCM ina ajenda za siri ambazo utekelezaji wake utazua mgawanyiko mkubwa wa utaifa wetu na ndiyo maana hawapo tayari kuzizungumzia hadharani wakati huu wa...
Mpendwa sana dada Rose, na Team yako yote (Mh Ulimwengu, na Tanzania Foundation for Civil Society) iliyoandaa kazi ambayo ni exceptional Tanzania, yaani Debate ya jana Usiku kwa Dr Slaa (mgombea...
Nimepata habari kwamba jana mchana kumetokea mapigano kiasi cha waumini kukimbia ovyo katika msikiti mmoja mjini Bukoba. Msikiti huu maarufu kama msikiti wa waarabu uliopo katika eneo la...
Be part of a national election monitoring exercise for #UchaguziTZ
Ushahidi comes to Tanzania! It comes in the form of uchaguzi.or.tz, implemented by TACCEO, a group of 16 Tanzanian civil...
Nimetoka mazoezini sasa hivi. Nilipitia kibanda cha magazeti kununua machache. Kulikuwa na watu 8 niliokadiria umri wao kuwa Kati ya miaka 25 hadi 40. Mjadala ulikuwepo wenye hisia mchanganyiko...
Siri za CCM, CUF zavuja
MAKUBALIANO kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF) kuhusiana na mwendo kuelekea uchaguzi mkuu yamevuja, MwanaHALISI linaweza kuripoti. Taarifa...
Nimekuwa niki fuatilia kwa makini utendaji kazi wa hii taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa kwa muda sasa. Kwa muundo wake kwa sasa ni heri isiwepo kabisa kwani wanakula na kutuongezea gharama...
Heshima mbele wazee.
Kutokana na watu wengi kulalamika kukatiwa umeme jana wakati kituo cha ITV kinarusha matangazo ya moja kwa moja na mgombea kiti cha urais kutoka chama cha CHADEMA Dr W.P...
Habari zilizojiri hivi punde ni kwamba Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI) Bw. Robert Manumba amewasili wilayani Maswa. Habari zaidi zinadai kuwa Manumba yumo wilayani Maswa kwa ajili ya kusaidia...
Na Joster Mwangulumbi - Imechapwa 20 October 2010
CCM wanamkomoa nani: wapinzani au wananchi? | Gazeti la MwanaHalisi
KATIKA baadhi ya hotuba zinazorudiwa katika vituo vya televisheni...
Leo tena majira ya asubuhi, historia imezidi kukolezwa wino baada ya mmoja wa wazalendo wa nchi na mfuasi wa kweli wa siasa za Mwalimu Nyerere, Mustafa Jaffar Sabodo amechangia Tsh. Mil 100 kwa...
Natamani sana Jumapili ijayo, yaani 31/10/2010iwe siku ya mwisho kwa Jakaya Mrisho Kiwete kuwa Rais.
Lakini ili tufike huko inabidi tufanye mambo yafuatayo ili Dr.Slaa amshinde Kikwete na awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.