Naye Kikwete, akiwa Simanjiro mkoani Arusha, pamoja na mambo mengine, aliahidi kutafuta Sh30 bilioni kwa ajili ya kumaliza tatizo la maji kwenye jamii ya wafugaji.
Akizungumza kwenye viwanja vya...
Yote yanayotokana na uchaguzi huu - kampeni, accusation za wizi wa wake za watu, accusation ya familia kupiga kampeni, kushikwa kwa lori Tunduma lenye kadi za kupigia kura zenye "ndiyo" kwa...
Wadau,
Kama tunavyoona, moto waliouwasha Chadema baada ya kumteua Dr Slaa kugombea urais umeanza kuwa mkali kila kukicha. Inaonekana kama vile Watanzania wengi wanataka mabadiliko, lakini hiari...
Jamani wana JF, kuna yoyote mwenye taarifa za Mrs. Mkwere?
Naona taarifa zake kwa media zimekuwa adimu kama za Kim Jong Il wa Korea Kaskazini.
Au Kampeni za Chini Kwa Chini?
Kama kuna kosa amabalo imelitenda CCM kwa mwaka huu wa uchaguzi,ni kumchagua JK kugombeea nafasi ya Uraisi kupitia CCM.Inaeleweka hii ni kutokana na mazoea kwamba mtu anaepitishwa na CCM inabidi...
Hakuna ulazima wowote wa Rais Kikwete kufanya "mdahalo hewa" baada ya kura kupigwa na kujijenga kama bado ni Rais wakati wananchi wanasubiri matokeo ya Uchaguzi. Ninawashauri kina kinana kama...
Maswa hapakaliki, MGOMBEA WA CCM NAYE AMFUATA SHIBUDA LUPANGO Send to a friend Monday, 25 October 2010 07:20 0diggsdigg
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Manumba
Zulfa...
Hivi karibuni kumeibuka shutuma nzito kuhusu udini kwenye kampeni za uchaguzi. Hali iliyopelekea JK kuishutumu moja kwa moja CHADEMA akiwa Lindi kwamba wanaeneza udini na ukabila.
Kwa mashabiki...
Plato, Myunani wa kale, alipendekeza kuwa mafilosofa ndio wanaofaa kuwa watawala wan chi, maana wana sifa mbili muhimu: kwanza, wana uwezo wa kutawala, na pili, hawapendi kutawala. Kwa hiyo...
TUOMBE:
Eee Mwenyezi Mungu Dunia Hii ni mali yako hata watanzania ni mali yako turudishie haki yetu ambayo akina Mkwere wametunyang'anya na kuwakabidhi akina ROST HAM ya MAZIZI huku wengi wetu...
Nina miaka mingi tangu nilipokwenda kanisani kusali tofauti na kusindikiza maharusi. Mimi hupinga ulokole kwa sababu ni brainwashing na haina tofauti na uganga wa kienyeji.
Lakini kuna wakati...
kwanza taarifa waliyotumiwa ikagoma kufunguka,wakajaribu kuisubiria ikakataa kufungua,wakaamua kuiruka hiyo taarifa iliyokuwa inahusu kampeni za jk,hadi kipindi cha habari za michezo kimeisha...
Siku moja nilikuwa na mazungumzo na babu mmoja wa Kiskotish.Kwa vile ilikuwa ni safari ya masaa kadhaa kwenye treni kutoka mji mkuu wa Uingereza,London kuelekea mji wa kaskazini mashariki mwa...
Kikwete urges electorate to shun killers
Source: Daily Newz
From NASONGELYA KILYINGA in Morogoro, 23rd October 2010 @ 12:12
CCM Union presidential candidate Jakaya Kikwete on Saturday...
Sikuwahi kubahatika kuhudhuria mkutano wowote wa mgombe urais kwa chama cha CHADEMA Dr Wilbrod Slaa. Kupitia ITV nimepata fursa nzuri sana kuweza kumsikiliza akinadi sera za CHADEMA na mustakabari...
Kama hauifahamu sera halisi ya CCM ambayo inatekelezwa kwa vitendo ni hii hapa "
... mpaka sasa wanaendelea kudanganya wananchi kwamba sera ya CCM bado ni ya Ujamaa na Kujitegemea (Nyerere, 1993...
Jamani hii stori nimeikuta kwenye gazeti la Mwanahalisi. Hii habari ni ya kweli kutokana na interviews za wahusika. Kweli hii ni fedheha, sasa ndo nimeona ni kwa nini CHADEMA hawakutaka muungano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.