Leo nikiwa kwenye daladala, nilikuwa nikisikiliza matangazo ya Amka na BBC. Moja ya habari ya leo ilikuwa kuhusu Uchaguzi wa Tanzania.
Nilishtuka sana kumsikia mwanamke mmoja kutoka Kenya...
Yaani huwezi amini. Zikiwa zimebaki siku 5 tu kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA bado hawajafahamika mpaka sasa.
Mimi nipo katika mkoa wa Dar es salaam. Na...
Zoezi litakuwa kama ifuatavyo,mwana dada anaitwa anna ataenda ofisini kwa shubash patel na hapo atakutana na mtu anaitwa abou,huyo atamkabidhi huo mzigo kati ya leo tar 25 au kesho tar 26...
Gazeti la kila siku la Mwananchi limeripoti leo ya kuwa mgombea wa ubunge wa CCM wa Maswa ambaye dereva wake aliuawa na wananchi wenye hasira na kusababisha mgombea ubunge wa Chadema Shibuda...
Ndugu wanaJF kuna tetesi kwamba NEC kwa kushirikiana na CCM wamebuni njia ya kuchakachukua matokeo (vote riging) kwa kutopeleka vifaa vya kutosha vya kupigia kura kwenye majimbo yote ambao...
Dear Ndugu Musyoka, many thanks for the advice, but perhaps another time..?
Share Bookmark Print Email
By Jenerali Ulimwengu
I believe some things are simply not done...
ruka mstari wa kwanza na wa pili,nenda wa tatu na weka alama ya vema mbele ya bendera ya chadema kwenye kibox cha wazi,mkumbushe na mwenzako kuwa picha ya slaa ni ya tatu
Makala ifuatayo imechapishwa katika toleo la wiki hii la jarida la Raia Mwema ikiwa ni majibu kwa makala yangu katika toleo la wiki iliyopita iliyokuwa na kichwa cha habari "Ni Kweli Mashushushu...
Kuna ujumbe umenifikia sasa hivi kutoka namba 078049550 kupitia mtandao wa zain usemao...
"CHADEMA WAMESHATEKELEZA AHADI YA KUMWAGA DAMU. JUZI WAMEMUUA NDUGU WA MGOMBEA WA CCM MASWA. MJUMBE WA...
Nipo ukumbini hapa DR SLAA na Mbowe wameshaingia Hotelini pamoja na viongozi wengine wa chadema kama Kitila Mkumbo na Mabele Marando maandalizi yanaenda vizuri kwa walinzi kukagua vitu kadhaa vya...
'Janja' yamuokoa JK Karatu
Watu wasombwa majimbo mbalimbali kumnusuru
na Mwandishi wetu, Karatu,
TANZANIA DAIMA
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Mwenyekiti wa Nccr MAgeuzi mbatia james ametangaza kuipeleka chadema mahakamani kama hawatamlipa bilion moja na kukilipa nccr bilion tatu,kwa kuwadhalilisha jana pale kawe.mbatia ameongeza kuwa...
Ndugu wanajamii, nimepata tetesi kuna mpango kabambe utakaoendeshwa na polisi hapa Arusha kwenye majimbo yote ya uchaguzi hapa Arusha , kwa kuwa ccm wameshaandikisha watu wao, watakama woote ambao...
Ni furaha iliyoje kuwa tar. 31 nitapiga kura kwa kuwa jina langu limeonekana kwenye mbao za ambako majina yaliyobandikwa na NEC. Nimehakikisha kuwa na kujiridhisha kuwa nililoliona ni jina langu...
Tuanze hapahapa kujumlisha idadi ya wapiga kura kila kituo inavyowezekana. Ni kiasi cha wewe kutembelea kituo chako na kuweka idadi kama ambavyo majina yalivyobandikwa. Na kama sijakosea majina...
Yaani huwezi amini. Zikiwa zimebaki siku 5 tu kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika WASIMAMIZI WA VIYUO VYA KUPIGIA KURA bado hawajafahamika mpaka sasa.
Mimi nipo katika mkoa wa Dar es salaam. Na...
Nini hatima ya wafanyakazi serikalini endapo CHADEMA itashinda??manake naona kama kuna wizara na vitengo vitafutwa kwenye serikali mpya ya chadema, nini hatima yetu au wasi wasi wangu tuu??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.