WanaJf nimesoma moja ya thread watu wanalalamika kuwa majina yao hawajayaona pale nkrumah hall. Jamani wale waliojiandikisha pale nkrumah na ambao 2005 walipigia kura hapo kituo kimehamishiwa pale...
Kuna viongozi wa ngazi mbali mbali wa CCM ambao aslani hawapendezwi na miendeno ya viongozi wa CCM ya sasa aka CCM - Kikwete (BMW). Naamini kabisa wapo wengine wanajiandaa kuhamia CHADEMA (kama...
MAPIGANO CCM NA CHADEMA YATIA DOSARI KAMPENI MASWA
Kampeni za Ubunge katika majimbo ya Maswa Magharibi na Maswa Mashariki ambazo ziliingia dosari na kusimama kwa muda tangu Jumatano...
26th October 10
Kamati NEC yashauri Chadema ienguliwe
Waandishi Wetu
Chama Cha Demokrasia na Maedeleo (Chadema) kiko hatarini wagombea wake wa ubunge na udiwani...
Waungwana, kadri miaka inavyosogea, ndugu zetu watanzania weney asili ya kiasia wanajipenyeza kwenye nafasi mbalimbali kupitia vyama, hasa chama cha mapinduzi.
Ila kwa mwaka huu, kuna kitu...
Ndugu wanzegu wa JF na watanzania wote kwa ujumla wenu, yale yaliyosemwa sana kwamba JWTZ wanawekwa chonjo ktk uchaguzi huu, ni ya kweli tu. Nimeshuhudia kwa macho yangu pale Lugalo jeshini mida...
Watanzania inabidi tuone kuwa Ufisadi ndio chanzo na msingi wa mgawanyiko wa Kitaifa unaotishia nchi yetu na tutambue kuwa mafisadi sasa hivi tayari wanafaidi mgawanyiko huo na kuwa wangependa...
BAADA ya kusisitiza kauli yake ya kuuza saruji kwa Sh 5,000 kwa mfuko mmoja akiingia madarakani, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema, Dk Willibrod Slaa, ametakiwa aache kujadili masuala ya...
Kuonesha kuwa NEC siyo chombo huru na ni part ya CCM tulitazame hili kutoka Chanzo cha NIPASHE newas paper!
Ni kutokana na vurugu za Maswa
Shibuda, mgombea CCM waachiwa
DCI Manumba asema hana...
yapo madai kutoa sehemu mbali mbali kuwa viongozi wa ccm wakiwemo wajumbe wa nyumba kumi kumi wanapita mitaani wakiwa na mfano halisi wa karatasi za kupigia kura zilizotolewa na tume ya uchaguzi...
KIONGOZI BWM Vs JK
MWAKA 2000 -2004 Vs 2005-2009
Unga 460 Vs 1000 = 217%
Mchele 600 Vs 1200 = 200%
Sukari 760/kg Vs 1600/kg = 210%
Mkate 250 Vs 700 = 280%
Maharagwe 360/kg Vs 1000/kg =...
Nimelipitia toleo la mwezi huu na kukuta mmiliki wake akisema wao kama gazeti wanampitisha JK kuwa mgombea anayefaa.
Kisheria hii ni sawasawa kweli au haya magazines hayabanwi na sheria kama ya...
SERIKALI YATEKELEZA KAULI ZA DR SLAA NA SERA ZA CHADEMA TAYARI!!
Serikali ya CCM wanakimbiana kutokana na Nguvu na ukweli wa Uwezo wa Dr Slaa, yaogopa kila kitu kinachosemwa katika Sera za...
A. Kinana ameonyesha umahiri mkubwa kwa wakubwa wake ndani ya CCM kwa kuandaa mkakati maalumu wa kuhakikisha kuwa siku tatu za mwisho za kampeni, tarehe 28,29 na 30 Oktoba CCM inafanya 'suprise'...
Nikiwa kati ya WATU waliohudhuria mikutano ya kampeni hasa ya urais,nimeona
mengi,nimesikia mengi,ahadi kemkem,tamu,nzuri na zenye kuvutia na kama
JK,SLAA au LIPUMBA mmoja wo akishinda na...
Source: Press Kikwete 2010/ Mtanzania 21 Oct. 2010
JK alikuwa anaenda chini nini, akawahi kushika meza? Ingekuwa Mwananchi kaweka picha hii front page kama alivyofanya Mtanzania ingekuwa ni...
THE National Electoral Commission (NEC) has said it has no obligation to pay polling agents overseeing the forthcoming elections.
In his reaction to NCCR-Mageuzis demand that the commission...
Jamani wadau nijibuni. Tukisema ccm ndio chanzo cha dhiki watu wanapinga. Tazama mikoa ya singida, Lindi mtwara na Tabora ambayo ndio ngome ya ccm ni ufukara kwa kwenda mbele. CCM imewasaidia...
Kwa wale wote wenye nia njema na Tanzania hawawezi kumpigia kura Mh Slaa. Kumpigia kura Mh Slaa ni sawa na kuitosa Tanzania katikati Bahari.
Ukidhani uchaguzi ni Mchezo, basi unapotea. Na mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.