Kama wewe ni mfuatiliaji wa siasa za Tanzania nafikiri utakubaliana nami nitakachokisema.
Kitendo cha hivi karibuni cha Makamba kukimbilia upesi upesi kwenye tukio la mauaji ya Maswa na kusema...
Jioni hii kuna mikutano miwili mikubwa jijini Mwanza.
JK ametua kumpigia debe mgombea wake wa CCM Laurent Masha dhidi ya Wenje wa CHADEMA.
Ujio wa Dk.Slaa pamoja kampeni ya nguvu dhidi ya...
I am volunteer for Chris Cares International ( Chris Cares, Inc. ) a non profit organization which fight poverty through education in Tanzania.
We have been voted the City of Boston's Volunteers...
Maoni yangu ~ mtu aitwe 'mheshimiwa' baada ya matendo yanayostahili heshima... kubandikwa cheo baada ya uchaguzi tu kinawafanya wengineo wavimbe vichwa na kuamua sheria za nchi haziwahusu... ama?
Kila kona ya Tanzania, Dr Slaa ameshakubalika, kuanzia mashariki, magharibi, kanda ya Ziwa, kanda ya kusini, kanda ya kaskazini, kanda ya kati mpaka Zanzibar.
JK ajiandae kuachia madaraka...
:A S cry:
Haya ni masikitiko sana kwa jinsi Wananchi wa taifa hili wanavyofanywa mazuzu na mbumbumbu kila uchao na viongozi hawa wa CCM na wananchi wenyewe hawajijui wala kujitambua kuwa...
Nawapenda sana nyote, na upendo wangu kwenu utazidi sana mkitumia busara na hekima kumpeleka Dr Slaa ikulu ili kuiongoza nchi hii na kuisaidia kiMaendeleo na kujenga utu wa Mtanzania wenye heshima...
Kwenu wanaJF.
Je ni sawa kuwepo kwa mdahalo kati ya CCM na vyama vingine vya upinzani???
Nimependa niweke mada hii kwa mambo mawili.. matatu yafuatayo:
- Kwanza:
Kuweka mdahalo kati ya...
Ee Mungu, mweza wa yote, muumba wa mbingu na nchi. Najinyenyekeza mbele zako kwani najua we ni mkuu haufananishwi na chochote.
Naomba uifanye kura yangu sawa na kaa la moto kwa wale watakaotaka...
Wakuu,
Napenda kuwafahamisha kuwa kesho Dr. Slaa atakuwa viwanja vya Mwembeyanga jijini Dar es Salaam ambapo atakuwa LIVE ndani ya TBC1 pia kuanzia saa 10 jioni kwa muda wa masaa 3.
Aidha...
BBC wametangaza kuwa yule pweza aliyejipatia umaarufu wa kutabiri kwa usahihi mechi za kombe la dunia amefariki dunia. Inaweza kuwa na tafsiri yoyote kwa utawala wa miaka 50 wa CCM?
:rain:Karibu Rais wetu Dr Slaa! :director:
Huyu ni mtanzania wa pili baada ya Nyerere kuchukia ufisadi kwa vitendo. Ni mtanzania wa pili kuchukia umaskini wa watanzania kwa vitendo. Ni Dr...
CD ZA MDAHALO WA DR SLAA
Napenda kuwajulisha kwamba CD za Mdahalo wa DR W P Slaa sasa ziko Tayari kwa ambaye atakuwa anazitaka anaweza kupiga namba 0766 334049 au tuma email kwenda...
Wadau, wapenda haki:
Kuna taarifa kwamba kuna baadhi ya mitandao ya simu za mkononi zitafungwa kuanzia jioni siku ile ya kupiga kura (wakati wa kuhesabu kura) ili kusiwepo mawasiliano kati ya...
Uchaguzi waja, kura ni muhimu... Lakini wananchi wenzangu - hata ka tulikuwa na viongozi wabaya miakani ilopita na mola forbid, labda miakani ijayo... Lawama si zote kwao, wakati wengi tuliketi...
Polictial Games by Lucky Dube
How do you feel when you lie?
Straight faced while people cry
How do you feel when you promise something
That you know you'll never do
Giving false hope to the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.