Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Dear my senior fellow citizens; Dr.Jakaya Mrisho Kikwete Prof.Ibrahim Lipumba Dr.Wilibrord Slaa Mr.Hashim Rungwe Mr. Mutamwega Mugahywa We appreciate your interest in the position of...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Kila nikijaribu kucheki comments za uchaguzi wa mwaka huu, naona zinatolewa na wanaume tu...! Jamani tunatafunwa na nini? Ni kwamba wadada/wamama zetu wamefanikiwa kutishiwa kuwa iwapo watachagua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwa kua naamini bila ya shaka yeyote ile kua zimebaki siku chache dr slaa kujuta kwa kuacha kugombea ubunge na kuona jinsi gani wenziwe walivyomuuza ningelimuomba mheshimiwa Rais JK katika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wizi wa kura unaanza na Tume ya Uchaguzi inapotangaza idadi ya wapiga kura waliosajiliwa. Katika idadi hii kunakuwa na pasenti kubwa ya WAPIGA KURA HEWA. Hawa wapiga kura hewa watatumika kujaza...
0 Reactions
203 Replies
19K Views
Watu wengi hasa vyama vya Upinzani katika nchi zinazoendelea hawajui mbinu zinazotumiwa na Vyama vinavyokuwa madarakani katika kuiba kura. Humu JF kuna watu wengi wanaojua mbinu hizo.Ni bora...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndeninsia Lisley (RCT) WAKATI zikiwa zimesalia siku nne kabla ya uchaguzi mkuu, imedaiwa kuwa mtu anayetuhumiwa kufanya vurugu kwenye kampeni za CCM, jimbo la Kawe amefariki dunia akiwa mikononi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hali ngumu ya maisha kwa Watanzania wengi kunatajwa kuwa ndiyo sababu kubwa ya msingi ya kumn'goa JK Jumapili ijayo. Kwa mfano tu -- kama alivyosema Dr Slaa jana kwamba zaidi ya nusu ya Watz...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani uku kwetu morogoro, majina yetu hayapo kwenye vituo vya kupiga kura mbaya zaid tumeletewa majina ya ndugu zetu marehemu...na kuna watu wengine majina yao yametokea kwenye kituo zaidi ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
UKITUMA NAMBA YAKO YA KUJIANDISHA ILIYOKO KWENYE KITAMBULISHO CHA KUPIGIA KURA KWENDA NAMBA 15455 KWA MITANDAO YOTE UTAPATA TAARIFA ZAKO ZILIZOKO KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA. VILE VILE UKITUMIA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwitikio wa CCM, makada wake na wapenzi wake dhidi ya Dr. Slaa umenishangaza sana. Toka alipotangazwa zimetumika mbinu mbalimbali za kumharibu kisiasa hata kibinafsi na nusura kidogo...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
hapa wahujumu wameanza kuitoa mmoja baada ya mwingine baada ya Mwenyekitiwa Jumuia ya wazazi Kilimanjaro Thomas Ngawaiya kutamka kwamba atahama nchi kama Dr W.Slaa akishinda uraisi, hii inaashiria...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani ebu sikilizeni hii,nimepewa na mdau mmoja uku mwanza kwenye kampeni za kikwete,ebu sikiliza.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika harakati zinazoonyesha kutapatapa kwa CCM kutokana na kukaliwa kooni na sera bora za Elimu za CHADEMA, jana Waziri wa Elimu Prof. Jumanne Maghembe alitoa ya mwaka pale same aliposema CCM...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa vile Mh Slaa haamini ktk Demokrasia, na anaitumia Demokrasia kuingia madarakani tu na kudanganya watanzania. Hivyo yafuatayo ni mambo muhimu matano atayofanya pindi tu kama atachaguliwa kuwa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Wana JF, kwanza poleni kwa usumbufu mnaopata kutokana na ujumbe wa simu unaoendelea kusambazwa na hili GENGE LA MAHARAMIA WANAOONGOZWA NA TEJA LAO MIRAJI. Dhumuni langu kubwa hapa nataka...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kumekuwepo na kejeli nyingi za kujeli baadhi ya ahadi zinazotolewa na wagombea wa vyama vya upinzani, hasa hasa Chadema kutoka kwa watu mbalimbali wa kambi ya chama tawala kuwa hizo ahadi ni sawa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wasambaa ni wajomba zangu kwasababu mama yangu ni msambaa, hivi ni wasambaa wote bado wanaiamini CCM? Naleta habari hii inayotoka kule atakakogombea Makamba Junior. Kwa kumbukumbu yangu hata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ama kweli CCM ni chama kinachotegemea"Zidumu fikra za Mwenyekiti". Hivyo CCM wameshapima madhara ya baadae yatakayosababishwa na "ahadi zisizotekelezeka" zinazotolewa na Mwenyekiti wao katika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ukienda na mtoto mchanga siku ya kupiga kura utapewa higher priority.Sasa j.mosi nitaanza kupokea watoto chini ya miaka mitatu na kutoa Tsh.2000 kwa mzazi.Siku ya j.pili atakayetaka kuwahi aje...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom