KWA NINI WATANZANIA HAWAWEZI KUWAPA DOLA WAPINZANI!
Hadi sasa hawajafanya maandalizi ya kutosha kwa ajili ya viongozi wao kuongoza dola, wamekurupuka na kuacha maswali mengi ikiwa kuwa na...
Nimefuatilia kwa umakini mkubwa(zaidi ya ule wa Chadema na Dr. Slaa) hususan katika Mdahalo wa ITV na Mkutano wa Kampeni wa Mwembe Yanga-Temeke na kugundua kuwa Dr. Slaa ana mchango mkubwa tu kwa...
Wapendwa wanaJF, wote tunajua kwamba kura za internet ambayo watumiaji wake wengi ni wafanyakazi, wanafunzi na wasomi wameikataa CCM na JK wake kwa Kishindo (Rejea Poll of Polls hapa JF). Hii ina...
napenda kuwatia moyo wale ambao walijiandikisha lakini hawajaona majina yao katika vituo vya kupigia kura,tafadhali hakikisha unafika ofisi ya kijiji au ofisi ya kata yako kuna madaftari ya kudumu...
Hivi inakuwaje karatasi za kura ziwasili jana Z'bar kutoka Afrika Kusini? Kwa nini zinakuwa za mwisho kupelekwa kwenye majimbo ya uchaguzi mbali na vifaa vingine? Bakhresa ni Mzanzibar, na kule...
DAR ES SALAAM, Oktoba 26, 2010
Nimetoka kuhudhuria mkutano wa hadhara uliofanyika Manzese Bakhresa mchana wa leo hii ambapo Dk. Willibrod Slaa alimnadi mgombea wa ubunge wa Ubungo, John Mnyika...
1. "The CCM losing power - for the first time since independence - is looking like an outside possibility"
2. "in the eyes of the public, CCM has gradually deviated from its founding values and...
Tangu mwanzoni mwa mwaka huu 2010 mtabiri 'maarufu' wa Bongo shekhe yahya hussein alisema si mara moja kuwa uchaguzi mwaka huu hautakuwepo na akaendelea kuweka mkazo kuwa hakuna uchaguzi na...
Kampeini zako zilifungua akili za watanzania wengi. Ukifika Ikulu usiwatenge wana CCM ambao hawako upande wa mafisadi kusudi kuimarisha utaifa na kuondoa chuki za kivyama iliyojengwa sana na CCM...
Anakosa ile gravitas ya kujenga hoja kama kiongozi wa nchi. Haiyumkini Tanzania tulikuwa hatuna rais miaka yote hii ila tulikuwa tunatawaliwa labda na Januari. Kwa nini anashindwa kumkabili Slaa...
Najua kashashindwa japo yeye na vijana wake wanajaribu kutapatapa.
Anajua hafai, kwamba kashindwa jumla, katafuata mabilioni aliyospent lakini hajui nanii kala.
Angekuwa muwazi na anajua wapi...
kwa mujibu wa CAG (kupitia kwa mbunge wa moshi mjini Ndesamburo), serikali ya Kikwete imetumia bilioni 29 (nimesema bilioni yenye B) kukarabati ikulu.
Kumbuka kuwa ikulu ilikarabatiwa kwa...
Na Issa Mnally
Hali ya Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi, Ali Omar Juma ikielezwa inarejea vizuri, kiwewe kinatawala kuhusu anayetajwa...
Serikali ya JK ndio ilimfikisha mramba mahakamani kwa ubadhirifu, serikali ya jk ndio ilimlazimisha lowassa kujiuzulu, leo hii bila ya aibu anawashika mkono na kutuomba kuwachagua kuwa viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.