MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete, jana alilazimika kukusanya watu kwa mabasi kutoka Arusha mjini kwenda wilayani Karatu kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wake...
Posted by GLOBAL on October 25, 2010
Na Issa Mnally
Hali ya Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi, Ali Omar Juma ikielezwa inarejea vizuri, kiwewe...
Ahadi za Profesa Lipumba na Maalimu Seif(CUF)
1.Elimu ya bure kuanzia msingi hadi chuo kikuu
2.Kubana matumizi kwa kupunguza ukubwa wa baraza la mawaziri
3.Kuunda serikali shirikishi
4.Kusimamia...
Hivi Karibuni mgombea Ubunge wa jimbo la Arusha mjini kupitia CCM Dk. Batilda alijigamba kwamba wanawake woote wa Arusha mjini wameamua kumpa kura zao za Ubunge. tuliokuwepo tukawauliza wake zetu...
Siku zimekwenda sana lakini hii haiwezi kuwa sababu ya wapenda amani kuendelea kutoa nasaha zetu. Mengi yamesemwa na mengine tumeshuhudia wenyewe, lakini mwisho wa yote tunamsihi amiri jeshi mkuu...
Wana CCM wote, wenye uchungu na nchi yetu, wanaotafunwa na Umasikini, nawaomba na tena kuwasihi, kumpigia Kura Dr. Wilbrod Peter Slaa. Mimi ni mwana CCM wa Damu, lakini sidanganyiki kwa kumpigia...
MDAHALO ULIOFANYIKA STAR TV KATI YA DK.SLAA NA MR.KINANA
NUKUU:DK.SLAA
Hatuwezi kugawana madaraka kwa kufuraishana tu,Sihitaji mawaziri wengi wanaofanya kazi ya kufungua makongamano,semina na...
Kwenye majimbo 289 ya uchaguzi, CCM wamasimamisha wagombea majimbo yote, sisi wapinzani tumesimamisha majimbo 180, maanaake majimbo 109 tumeyasamehe, na katika hayo inasemekana kuna upinzai wa...
Takribani juma moja tu limebaki kabla ya uchaguzi mkuuTunashuhudia mambo yakizidi kupamba moto kwa kuendelea na kampeni, na gumzo kubwa ni pale Dr Slaa alipofanya mahojiano live na wapiga kura...
KUSEMA MAISHA YAMEKUWA BORA BAADA YA MIAKA 5 YA CCM MADARAKANI NI KEJELI.
Taifa lipo kwenye hekaheka za kampeni za uchaguzi, Taifa linarindima kwa vishindo na kelele za wagombea, vumbi...
Akijibu swali la Mwanachama mfu wa CCM (A, Lwaitama), Dr Slaa alisema, kisaikolojia hiyo ni hulka ya binadamu kuogopa asipokujua,
lakini ni kweli watu hawakujuhi huko?
Miongoni mwa sifa kuu za...
Sisi watanzania tumepatiwa malezi mema ya kupendana na kuthamini utu na ubinadamu. Ili kulinda na kutetea hali ya amani na utulivu watanzania tumelelewa na kufunzwa kuviheshimu na kuviamini vyombo...
Wakuu huu uchaguzi kwa kweli unaelekea waweza kuwa na zengwa yaani vyombo vya habari kama BBC, CNN etc hawafuatilii uchaguzi huu kabisa yaani kwenye website zao hawana article zozote zinazogusia...
Jamani, sijasikia lolote wala kuwaona viongozi wetu wakubwa kama B. Mkapa, A. H. Mwinyi,spika, na wengine wengi katika kampeni za kumnadi mgombea urais CCM. kuna mtu anajua lolote mtu amelisikia?
Jana nipata wasaa wa kuongea na marafiki zako walipoko moja ya kambi za jeshi hapa Dar na wakabainisha wazi kuwa mwaka huu wamefurahi sana kwa vituo vya kura kuwa uraiani tofati na chaguzi...
Jana waziri wa nishati na madini William Ngeleja alikaririwa navyombo vya habari akisema kwamba Tanzania inapata kati ya asilimia 30-40 ya thamani ya mauzo ya dhahabu na siyo asilimia 3 kama...
1. Kabadilisha mfumo wa CCM
a. Yeye yuko kwenye kundi la CCM JK Family
b. Kamati kuu ya CCM kwa sasa ina wajumbe wawili tu (JK na Mama Salma)
c. Halmashauri ya kuu ya CCM ina...
Kwa taarifa nilizo pata toka kwa prime minister wa UDSM ni kwamba,ingawa maandamano yame zuiliwa,.. kesi ya kucheleweshwa kufungua chuo na hivyo kunyima wanafunzi kupiga kura ina funguliwa leo!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.