Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Chama Chetu kimeshikwa pabaya sana mwaka huu, huwezi amini kama Kikwete na Kamati kuu ya Chama Jana walikaa 2 hours wakimsikiliza Dr. Slaa Live. Rafiki yangu wa ndani sana kwenye system...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wana CCM wote, wenye uchungu na nchi yetu, wanaotafunwa na Umasikini, nawaomba na tena kuwasihi, kumpigia Kura Dr. Wilbrod Peter Slaa. Mimi ni mwana CCM wa Damu, lakini sidanganyiki kwa kumpigia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WAZIRI Benard Membe leo alikuwa na wakati mgumu kuwabembeleza viongozi wa madhehebu na Dini za Kikristu pale alipokuwa akifanya nao kikao kuwasii wasimchukue JK na kupuuza uvumi unaoenezwa na...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
armed soldiers of the tanzania’s people defence forces (tpdf) have been deployed to guard all sensitive areas in the indian ocean archipelago of zanzibar ahead of the october 31 election next...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mtumishi wa mungu leo alikuwa uwanja wa shule ya msingi gangilonga-Iringa na kitu cha kwanza kabala ya kuanza somo lake la Mzaliwa wa kwanza. Aliwaomba watu kuuombea uchaguzi ujao,na akawaomba...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Katika hali isiyo ya kawaida wazee wa kijiji cha zegero wilayani kisarawe wamemuomba kada mmoja wa chadema amshauri dr slaa amwachie raisi dakta kikwete amalizie kipindi chake cha pili,wazee hao...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nashauri Meneja wa kampeni wa Chadema na timu mzima ya mapambano ya kukomboa Tz, kufanya jitihada kubwa ya kusambaza haraka iwezekanavyo ndani ya hizi siku sita zilizobaki CD/video ya mahojianao...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
MY TAKE These two need to join hands right now kabla ya jpli for our nations sake.Am sure Lipumba will be useful kwenye masuala ya uchumi chini ya serikali ya CHADEMA
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kinyume na makubaliano kati ya vyama vya siasa na NEC katika dakika za lala salama kuelekea uchaguzi NEC wamegoma kuwalipa mawakala na kuwatupia zigo hilo vyama husika. Leo kiongozi mmoja wa NCCR...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kinyume na ngebe za CUF na CCM kuwa wao ndiyo watagawana kura za huko taarifa za uhakika nilizozipata kwa wapenda maendeleo wa huko wangependa Dr. Slaa angalau afike makao makuu ya mikoa hiyo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
In trying to escape its political death, CCM is hitting lask kick of a dying horse before Tanzanians officially burry the party on 30th October 2010. CCM is very sure than ever that its heart is...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
yupo baregu na dr mvungi wanampeleke puta kibaraka wa ccm
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Zikiwa zimebakia siku sita kabla ya Watanzania kwenda kupiga kura za kuchagua Madiwani, Wabunge na Rais kwa 2010 -2015. VITUO vya kupigia kura ni 51,800 nchi nzima, hii inamaanisha kila chama...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Katika kuonesha kuwa Makanisa mengi yako kibiashara zaidi, Kanisa la Pentekoste Kunduchi limepokea pesa haramu za kifisadi shilingi milioni ishirini kutoka kwa Mtanzania bandia Rostam Azizi huku...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wadau nimepita pale ubungo stend ya daladala upande wa pili kuna mkutano wa ccm umejaa watoto wadogo na watu wazima kama nane hivi wote wamevalishwa nguo za chama tawala na kofia.mama hawa ngumbi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Watawala walioshindwa na mbu
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Sijui kwa nini waandishi wanakubali kudanganya wananchi, rais anahutubia mkutano utaona ktk picha watu wamekaa mkutano wa ndani, hii ni nini kama sio kudanganya au siku hizi wanahutubia mikutano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hapa ningependa kuzungumzia kutengenezwa kwa Database kwa ajili ya wapiga kura. Kwa mawazo yangu kwa wale ambao wako nje ya vituo vyao vya kupiga kura ingetengenezwa Database ambayo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wale ambao hawakupata kusikiliza jana leo pia inarudiwa hapa Bongo Radio--Tanzania Best Radio for Bongo Flava, Zilipendwa, Muziki Wa Dansi and African Music iko hewani muda huu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya mdahalo wa siku ya ijumaa tarehe 29/11/2010 kati ya wananchi wa Tanzania na mgombea wa CUF kundi fulani ambalo lilikuwa LIMPIGIE kura mgombea wa CCM litazigawa kura hizo na kumpa mgombea...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom