Habari zenu ndugu zangu watanzania, natoa shukrani za dhati kwa wote wlioniomba niwatumie kitabu JE TUMWAMBIE RAIS?pia nashukuru kwa maoni yote ya wachangiaji wa mada nilioitoa, ingawa kuna...
NI MUHIMU RAISI JAKAYA MRISHO KIKWETE AKACHUKUA HATUA YA HARAKA JUU YA HALI HII INAYOJITOKEZA YA WAFUASI WA CCM. NAOMBA WATANZANIA TUMHIMIZE RAIS WETU KATIKA HILI.
SOMA HABARI HII HAPA CHINI...
Nimesikiliza kwa makini hotuba ya JK pale Kigoma kupitia TBC1, wakati anaongelea uchaguzi hajatamka hata mara moja neno UCHAGUZI HURU NA WA HAKI. Kaongelea uchaguzi wa amani na utulivu na kutoa...
Jamani kazi aliyoifanya kijana Zitto pale mjini Musoma inaumbua kura za maoni za REDET na Synovate. Wana wa Musoma walisahau kama kuna kampeni za mgombea urais wa CUF na kutembea kilomita mbili...
great thinkers mliopo hapo dar na haswa udsm,vp mdahalo umeanza?wakina butiku,ulimwengu wamefika?leteni ya huko hapa javini tuendeleze harakati zetu za ukombozi
Nikimaanisha Mwanahalisi na Raia Mwema.
Jana nilibahatika kuwahoji baadhi ya wauza magazeti kuhusu magazeti gani huwa wanayauza sana.
Wengi wao wakasema ikifika mida ya saa kumi jioni ni vigumu...
kati ya wagombea uraisi TZ 2010 ni yupi ambae angalau anamoyo wa kumuenzi muasisi wa taifa hili jk nyerere kwa matendo ya utetezi wa haki sawa kwa waTz wote? na kwasababu au mifano ipi aliyowahi...
Japo leo hii Mwalimu U marehemu na UNAwalaumu Watanzania kwa kupuuza ushauri wake kuhusu Kikwete na Lowassa MWAKA 1995 MWALIMU NYERERE NGOJA NIKWAMBIE..moja ya watu ambao .kufa kwa KWAKO...
Wakuu kama mtakumbuka Marehemu Nyerere alisema,anataka rais anayekerwa na umaskini wa Tanzania na anajua hilo,hapo alimzungumzia Slaa,Rais anayechukia mafisadi na Rushwa hapo pia ni Slaa,Rais bora...
Jana wakati nimekaa sina hili wala lile ikaingia sms katika kibofya changu toka katika namba '+3588108226' ikisema,'SLAA NI MROPOKAJI NA MGOMVI ANATUKANA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA.ANATAKA DAMU...
Hii kauli bado inanipa kichefu chefu sana! Hivi huyu bwana akifanikiwa kuwa raisi akamchangua Ridhiwani kama Balozi wa Tanzania UN, Salma kuwa mbunge wa kuteuliwa na waziri wa Fedha, na Miraji...
wana jf na watanzania wenzangu!!
tuma ujumbe kwa mtandao wowote ule wenye neno "hapana" kwenda kwenye namba 15016 kuna jibu linalokuja na linaonyesha kwamba watanzania tumeliwa hela nyingi sana...
Ee Mungu tuepushie mbali na JK.
Kuna taarifa kuwa wamiliki wa mabango ya biashara yaliyoondolewa na kupisha uchafu wa mabango ya "Chagua Chama Cha Mafisadi, Chagua Kikwete" watafaidika na...
Ukiangalia jukwaa liloandaliwa kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya Mwalimu JK Nyerere pale kigoma utaona mbele wametumia rangi ya Kijani na njano na nyuma ya Jukwaa wametumia zilisosalia hii...
Kila jioni baada ya kazi ngumu za kutafuta ugali huwa napitia blogu na magazeti yote ya Tanzania yanayopatikana kwenye mtandao na kusoma karibu makala zake zote. Kubwa iliyonifurahisha leo ni hii...
Kikwete, mgombea binafsi kwa staili ya BMW?
?
Sarwed Dawalo
*
NYAKATI zimepita na majira ya uchaguzi kwa mara nyingine yamewadia hapa nchini. Uchaguzi Mkuu wa safari hii utakuwa wanne...
naam wakuu
nimeona polls mbali mbali tafiti mbali zikionesha nani atakuwa Rais wa Muungano ambazo bila shaka ni JK
ila sijasikia si Redet, si wengine wakizungumzia kuhusu zanzibar
sasa nani...
Kwa kiasi kikubwa tumekengeuka kimtazamo na kutekwa na masham-sham ya kampeni. Tunatumia msuli mwingi kujadili vitu na watu badala ya masuala (issues). Sehemu kubwa ya mijadala yetu ya leo ni ile...
Martin Luther King Jr aliyasema haya...bahati mbaya hakuwahi kuiona ndoto yake akiwa hai...naamini aliiona huko aliko.
Nami nathubutu kusema ninayo njozi...
Ya kuiona Tanzania mpya amabayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.