UNAWEZA UKASEMA NINA MAWAZO MGANDO LAKINI HII NCHI NI YA CCM! WAMETAWALA KILA KITU KUANZIA MEDIA,WASANII WETU MASKINI,WAKULIMA WETU MASKINI NA WW UNAESOMA HII MESAGE, ANGALIA KAMPENI ZA CCM...
Katika hali inayoonyesha CCM kuzidiwa nguvu kulitetea jimbo la Bukombe linalowaniwa na mbunge anayemaliza muda wa Mm.Emma Luhahula anaonekana kuzidiwa nguvu na mgombea wa CHADEMA Prof.Kulikoyela...
Ndugu Zangu wanaJF uchaguzi mkuu unapofanyika katika nchi nyingi hapa duniani, mada kuu ambazo hutawala mijadla ni masuala ya uchumi. Cha kushangaza hapa kwetu badala ya suala la uchumi kupatiwa...
Sasa nidhahiri kabisa CCM imeishiwa cha kuwaeleza wapiga kura ili kuwashawishi badala yake Kikwete ameanza kurukia kuhubiri matumizi ya udini,ktk kampeni
Tukumbuke kabla ya hili alivituhumu...
Kuna wakati ilisemakana kuwa JK ni mpenda michezo na akatuletea mpaka kocha toka Brazil. Sasa mbona maendeleo ya michezo kipindi chake hatujayaona. Angalia medal table, jirani zetu wote wana...
jumamosi tarehe 09 oktoba 2010 rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania na ambaye pia ndiye mgombea urais wa ccm mhe jakaya kikwete alikuwa mgeni rasmi katika mechi a mpira wa miguu kati ya...
Tarehe 12 Oktoba 2010. Saa tano asubuhi.
Niko kwenye taxi na babu ninayefanya naye kazi ofisi moja. Babu amekaa kiti cha mbele.
Mtaa wa Lumumba. Tunaelekea zetu Upanga. Kulia kwetu...
Ndugu mfanyakazi,
Baada ya taasisi mbalimbali kutoa matokeo yake,
ni nafasi ya wafanyakazi na sisi kushiriki katika utafiti huu ambao ni jukwaa la wafanyakazi kutoa maoni yao
Tafadhali...
Kwa maoni yangu nafikiri ni vyema viongozi wetu wakuu km raisi na waziri mkuu, wakistaafu wapewe stahili zao ambazo ni sawa kama watumishi wengine wa umma. Taifa lisienndelee kubeba mizigo ya...
Jamani naomba kuuliza, hivi kampeni za mama Salma na Ridhiwani za kumsaidia mzee kurudi mjengoni bado zipo?? Nimejaribu kufuatilia lakini toka Riz1 apewe uchief basi tena sijamsikia kwenye news...
Jana jioni nilibahatika kukutana na Rafiki yangu wa karibu ambaye ni kada wa siku nyingi wa CCM na pia ni askari jeshi mstaafu aliyepigana vita vya kagera akiwa Brigedi ya Mayunga a.k.a mti mkavu...
Leo(23/09/2010) katika taarifa ya habari ya saa 2 kamili wamezidi kuonesha kupendelea upande mmoja kwa kuonesha taarifa za CCM NA CCMB(CUF) kwa kina
Reporter we CCM wanareport na sera za chama...
Katika hali isiyo ya kawaida, Meneja wa kampeni za JK abdulraman Kinana sasa imethibitika ya kuwa ni mzigo mzito katika kampeni ya kuokoa JK kufutwa kazi na waajiri wake ambao ni wapigakura:-...
Greetings!
As elections approach, the campaign trail gets even more interesting. Thanks to JamiiForums, the online experience have been thought-provoking. While others resort to smear campaign...
Unayangaliyaje mazingira yanayotayarishwa ?inasemekana kuna mbinu za mauwaji zimepangwa zifanyike ili kuzuwia Bara wasifanye machafuko yatakapotolewa matokeo ya Uchaguzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.