KATIKA miezi ile ya mwanzo baada ya kuingia Ikulu, Rais Jakaya Kikwete aliwashangaza wengi alipoitangazia dunia kwamba haelewi ni kwa nini Tanzania ni masikini.
Huo ukawa ndiyo mwanzo wa...
tusimpe nafasi shetani ya kulimeza taifa lenye amani kwa udanganyifu wa sera zisizotekelezeka wanazotoa upinzani.
pasipo kikwete na ccm taifa hatarini
my take
hii msg wamenitumia ccm kama nusu...
Kuna habari za kuaminika kuna watu mamluki wametumwa na Kamati ya Kinana ya CCM (Kampeni) kuwa wajiandikishe Jamii Forums na kazi yao ni kuipigia CCM tu ili kuhakikisha by 31st October Mzushi JK...
Wana jamii,nimewaza sana bila kupata jibu.Je watu wote wanaohudhuria kampeni za Urais wa SISIMU wanaenda kusikiliza na kufuta nini.Mi nadhani kwa mtu mwenye uelewa mzuri hana haja ya kusikiliza...
Nimefuatilia kwa karibu timu ya propaganda ya chama cha chadema, magazeti wanayotumia,forum wanazotumia, ni kweli kwamba chadema wanao mtambo wa kutunga uongo. Staili ambayo Hitler yule dikteta wa...
Kukubalika kwa CCM kuna sababu kuu tatu
Chama kina sera nzuri
Mgombea wake anakubalika na ana mvuto
Kimuundo na historia ya kutetea wanyonge na kuleta maendeleo.
Sera za CCM ni zile ambazo...
Kikao cha kamati kuu ya CCM kilifanyika siku ya jumapili hapo ikulu. Wana JF naomba mwenye fununu ya agenda zilizojadiliwa na yaliyojiri kwenye kikao hiki atujulishe.
WanaJF mie ninapata mashaka kama kweli katika nchi yeyote nusu ya watu wake wakawa wamejiandikisha kupiga kura, maana tunaambiwa Watanzania tunakadiriwa kufikia milioni 40 huku vijana wakikadiriwa...
JK kwenye kampeni zake leo Songea, kwa kujisahau au makusudi kwa kujua watanzania ni majuha, amezidi kutoa ahadi kwa mambo ambayo bunge limeshayapitisha. Leo anasema akiwa rais ataipandisha hadhi...
WanaJF, ningependa kubainisha wazi kuwa nimekuwa mwanachama wa CCM lakini nimeamua kwa hiari yangu kabisa kutumia haki yangu ya kikatiba kumpigia kura Dr Slaa (Urais) na Bw Mnyika (Ubunge)...
Kwa jinsi ninavyoichukia CCM kwa mabaya wanayoifanyia nchi hii na wananchi wake yaani we acha tu!! Nimeamua kwamba nikishainyima kura CCM 31st October, 2010 (of course tangu mfumo wa vyama vingi...
Baada ya wadau wa technologia na TCRA kuhangaika kwa siku kadhaa, baathi ya wadau wamegundua kuwa number iliyotumika possibly niya Finland.
mchakato unaandaliwa kuwasiliana na network za...
Leo kwenye Channel Ten jioni, Mheshimiwa Komba aahidi wanajimbo lake kuwa serikali ya CCM itajenga bandari kubwa na yenye heshima kuliko ile ya Malawi wakati ambapo chini ya wiki moja Mheshimiwa...
jamani kuna ukweli wowote kuhusu kuzuiliwa bandarini kontena la chadema lenye KADI,TSHIRT,KOFIA NA BENDERA from China mana nimekuwa nikipita makao makuu kuhitaji baadhi ya vitu naambulia tetesi...
Kwa nini kikwete anapingana na matamshi yake?
Hii imekaaje Wana JF?
KAULI YAKE KWA WANA CCM "SUALA LA URAIS NI SWALA LA KIFAMILIA"
KAULI YAKE KWA WATANZANIA " MSICHAGUE MTU MCHAGUE...
Jana mkurugenzi wa Nec alidokeza kwamba"Vyama vya siasa vinatakiwa kuweka mawakala waaminifu ambao watakuwa tayari kuweka mbele maslahi ya vyama vyao kwa kuwepo vituoni na kuepuka vishawishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.