Halima mdee na J mbatia, wanadaiwa kugawana kura na kumuacha ccm akipeta
Hali kama hiyo ipo na ubngo, Mtatiro na myika
Segerea mpendazoe hoi
Kwa Zitto hali si shwari kabisa hadi anafikia...
Vox Populi Vox Dei ............Latin
pouvoir populaire .............French.
Viongozi wote waliopo madarakani duniani huogopa Misemo hii. Sauti ya watu ni sauti ya Mungu. Haiishindwi hata kwa...
Nimejaribu kuangalia kwa makini hii ripoti ya Synovate na kugundua mambo yafuatayo:
1: Pamoja na kuwa na wabunge wachache katika bunge lililopita 2005-2010, kutoka vyama vya upinzani, wabunge...
Juzi niliingia duka la mhindi mmoja nikiwa natafuta kitu fulani. Nilishangaa kuona nguo za kijani nyigi zikiwa kwenye shelf, nilipouliza je anauza, aliniambia haziuziki, ila tunatoa bure kama...
Hayo maneno ni swali la abiria tajiri wa Titanic kabla ya kupanda meli hiyo na jibu la kujisifu kutoka kwa injinia aliyeshiriki kujenga meli hiyo. Lakini furaha yote iligeuka kuwa majonzi makubwa...
Ahadi alizo zitoa 2005 zimetimia kwa 3%, na ni baadhi tu ya ahadi hizo ambazo zimetimia kwa kiwango hicho, mfano wa ahadi zilizotimia kwa kiwango hicho ni ahadi ya kutoa mikopo kupitia mamilioni...
nawashauri vijana kote nchini hasa kwenye majimbo ambako CCM hawapui, waviache vitambulisho vya kupigia kura majumbani badala ya kutembea navyo. Hii ni kwa sababu katika maeneo hayo vijana...
Kwenye ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwananchi (12/10/2010) kuna picha kubwa ikimwonyesha Chipukizi: katika kampeni kuna mashabiki/ wanachama wa CCM wengi wao ni akina dada wametandika chini...
CCM ni CHAMA cha KIMATAIFA ==SMS
CCM imekazana baada ya kuona maji yamekuwa ya shingo badala ya miguuni!! Usiku wa leo nimetumiwa meseji mbili., moja ilifika saa tisa dakika 26 ikieleza kama...
Wadau Kwanza habarini!
Poleni sana na harakati za kumsapoti Raisi wa watanzania kuingia Ikulu, Raisi Mwenye PHD ya ukweli ( siyo fekifeki za kuchakachuliwa).
MADA:
Kwa mtizamo wangu...
Leo hii ningependa kufunguka namna hii na kuwataka watanzania waelewe sababu kubwa ya kumchagua kikwete ni mengi ameyafanya kwenye taifa letu tukufu la Tanzania licha ya kuwa alikuwa nguvu ya...
HATUJAFANYA UTAFITI: SYNOVET
Kwa wale wenzangu ambao mnafuatilia vyombo vya habari, haijapita wiki mbili tangu kampuni ya Synovet ilipotamka wazi kuwa hawajafanya utafiti kuhusu wagombea wa Urais...
Mwenye Macho Haambiwi Tazama
Makala hii inakusudia kutazama japo kwa ufupi tu jinsi miaka arobaini na Tisa (49) ya kujitawala kwetu ilivyokwamisha au kurudisha nyumba maendeeo ya taifa letu...
Mwaka 1994 mauaji ya kimbari yametoka Rwanda na maelfu ya Wakimbiza walikuwa wamevuka kuja magharibi mwa nchi yetu. Uchaguzi Mkuu wa kwanza wa Rais na Wabunge ndani ya mfumo wa vyama vingi...
From NASONGELYA KILYINGA, Songea, 1
1th October 2010
Source: Daily news
THE Union Presidential aspirant on CCM ticket, Mr Jakaya Kikwete, has slammed opposition presidential candidates for...
Nikiwa kati ya WATU waliohudhuria mikutano ya kampeni hasa ya urais,nimeona mengi,nimesikia mengi,ahadi kemkem,tam,nzuri na zenye kuvutia na kama JK,SLAA au LIPUMBA mmoja wo akishinda na...
Hivi huyu jamaa ni mpiganaji wa kweli?
Anatumika sana kwenye matangazo ya kukemea utawala mmbovu.
Matangazo ya kuhimiza watu wakapige kura
matangazo ya kupambana na ukimwi. n.k n.k.....
La...
Nimepata taarifa muda si mrefu kuwa baada ya Dr.SLAA kumaliza kampeni kigoma kijana machachari mbunge mtarajiwa Zitto Kabwe leo anaingia jimbo la Bukombe kuongeza nguvu kwa mbunge mtarajiwa Prof...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.