Monday, 11 October 2010 07:48
Daniel Mjema,
Same
WAZIRI mkuu mstaafu, Frederick Sumaye jana aliibuka hadharani na kutoa hotuba kali ya kukemea wagombea wanaotoa rushwa, akisema kuwa njia...
kumekuwepo na matumizi makubwa ambayo hayajawahi kutokea yakiendeshwa na chama kilicho madarakani, sasa mimi na wewe tukiwa watanzania wenye nia ya kuona nchi yetu inapiga hatua ya kimaendeleo...
Ndg wana JF.
katika pitapita yangu nimekutana na opinion poll inayoendelea kupitia link hii http://tzpoll.com/?page_id=195
Poll zote zinazoendeshwa kwenye net Dr. Slaa ni zaidi hawa REDET...
Slaa: Watanzania ipuzeeni CCM
Asema imeonyesha dalili za kufa
na Mwandishi wetu
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amewataka...
Nimekuwa nasikiliza kampeni za wagombea urais mbali mbali kunadi watakachokifanya kuboresha hali za Watz walio masikini, lakini sijamsikia mgombea wa CCM, Jakaya Kikwete akiahidi kwamba...
Wandugu hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza kila siku,hawa wenzetu wa chama cha nambari wani wametumia/watakuwa wametumia shilingi ngapi kwenye huu uchaguzi hadi uishe? na hizi hela wametoa...
Kuna hili sakata la wanavyuo kushindwa kupiga kura kutokana na vyuo kuchelewa kufunguliwa, mpaka sasa sijapata habari zaidi ya ile walipokwenda kwa waziri mkuu, je kuna kinachoendelea? na kama...
Wana Jamii wote na wapenda maendeleo nina wazo moja.Naomba uongozi wa juu wa Jamii forums utoe publically utafit na kura za maoni kama walivyofanya REDET na Synovate.Nadhani hamna kikwazo chochote...
Walioandikishwa kupiga kura milioni 19.6
Wanachama hai wa vyama vyote vya siasa takribani milioni 7.6
Wasiokuwa wanachama milioni 12(?). Hawa ndio deciding group. Huwa hawapigi kelele...
Nimemsikia Mwenyekiti wa NEC aliyeteuliwa na Mwenyekiti wa CCM kwenye wadhifa huo, Lewis Makame ktk Channel 10 leo usiku akisema tume yake haina uwezo wa kuwasaidia wanafunzi wa vyuo kupiga kura...
Hii threadi imeniliza sana. Naandika hapa kuonyesha hisia zangu kutoka ndani ya moyo wangu. Imeguza hisia ya kila Mtanzania mwenye moyo wa nyama. Hii ni threadi ya watanzania wote. Ombi kwa...
Baada ya mbinu chafu za CCM kujulikana za kuwaandaa wapigakura kuyapokea matokeo yaliyo batili katika uchaguzi mkuu kwa kupitia vyombo vilivyokithiri kwa ufisadi vya REDET na SYNOVATE yenye...
If the United States of America or Britain is having elections, they don't ask for observers from Africa or from Asia. But when we have elections, they want observers WHY?
Na Saed Kubenea
Imechapwa 06 October 2010
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetwishwa tuhuma nzito za kuandaa mipango ya kuchakachua matokeo ya uchaguzi mkuu ili kionekane kimeshinda, MwanaHALISI...
Ya Kikwete kama ya Mugabe?
Na NdimaraTegambwage - Imechapwa 06 October 2010
Uchambuzi
YALIYOTOKEA Zimbabwe kwa Robert Mugabe na ZANU-PF, ni kama yale yanayotokea Tanzania kwa Jakaya...
Mabomu yawatawanya wafuasi CCM, Chadema
Imeandikwa na John Mhala, Arusha; Tarehe: 11th October 2010
KIKOSI cha Polisi cha Kutuliza Ghasia (FFU) cha Arusha, kimelazimika kufyatua risasi hewani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.