Nikiangalia mambo haya napata wasiwasi kama uchaguzi utakuwa free and fair kwa tafsiri yoyote kwani chama tawala:-
1. Kinatisha wapiga kura kwa kutumia wanajeshi
2. Kimeshatangaza matokeo ya...
Habari ndugu zangu!
Napenda kuweka wazi kuwa sina haja ya kuendelea kuitwa Mtanzania kama chama tawala cha sasa kitaendelea kushika hatam oct 31..
Kwa maana hiyo, sina haja ya kujivunia kuwa mie...
Zamani kiliitwa kipindi cha ''usiku wa habari'' kilichoanzishwa na bwn Muro kabla hajasimamishwa kwa tuhuma za kuomba rushwa kama ilivyoripotiwa na vyombo mblmbl ikiwemo TBC. Sasa kipindi...
Naomba kujua njia bora ya kumshawishi mtanzania hasa wa kijijini ambaye hajui nini chanzo cha umaskini wake ili aweze kuchagua mabadiliko. Kumbuka inawezekana wengi hawajui maana ya ufisadi wala...
Mzee ulisema kuwa hakuna damu itakayomwagika katika uchaguzi huu. Lakini tokea wiki iliyopita pale watu wawili walipouwawa katika mapigano ya wana-CCM na wana-CHADEMA huko Njombe, bado hujatoa...
Kwa vyombo vya habari na jinsi vinavyotoa elimu ya uraia, asilimia 42.7 ya wahojiwa waliridhika na utendaji wake ambapo redio ziliongoza kwa asilimia 73.7, televisheni asilimia 41.6 na magazeti...
Mara tu baada ya Tanganyika kupata uhuru wake Mwalimu Nyerere aliwatangaza maadui watatu wa taifa hili kuwa ni Umaskini, Ujinga na Maradhi, na kaanzisha rasmi mapambano dhidi ya maadui hao. Licha...
NIMEHUDHURIA mikutano ya kampeni za awamu ya pili za mgombea urais wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa. Kwa nguvu za kampuni ya gazeti hili la Raia Mwema, nimefika katika mikutano ya Ifakara...
The I Have a Dream Speech
The following is the edited text of the spoken speech "I have a Dream" by Martin Luther King Jr, transcribed from recordings. I have related this Dream to our current...
NINGEKUWA NA NAFASI YOYOTE YA UONGOZI CCM NINGEJIUZULU
Nimekuwa nikiangalia kwa makini mwenendo mzima wa Kampeni za wagombea wa urais.
Nimekuwa nikifuatilia masuala ambayo yangeitwa ni mazito...
Nimeangalia kwa muda sasa picha za Chadema kwenye mikutano yao ya kampeni. Jambo moja lililo dhahiri ni kuwa hawajajua namna ya kutumia rangi kujenga acceptance, ushirikiano, kukubalika, kupendwa...
In 2005, Dr. Salim Ahmed Salim tested JK's ruthlessness......Even the then PM, the soft spoken Tluway Sumaye was left gnashing and fuming.....................
In 2010, sms tied to JK are doing...
Sioni alichowahi kufanya huyu raisi anayemaliza muda wake! Amekuwa Mbunge kwa Miaka 15 Kule Chalinze, amekuwa waziri kwenye wizara nyeti, kote alikopitia ameharibu na kushiriki kuweka sahihi...
When I compare synovate and REDET you see no difference, the co- chairman of REDET is one of the advisers of Jakaya Kikwete, you dont expect fair judgment out of the person employed by the...
Send tonday, 10 October 2010 08:32 0diggsdigg
Dk Willibrod Slaa
Joyce Mmasi, Uvinza
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema Dk Willibrod Slaa jana alikumbana na wakati mgumu pale...
wakuu haya siyo maneno yangu ni ya Mwanafalsafa Julius Kambarage Nyerere aliyekuwa raisi wa kwanza wa Tanganyika huru.
Swali.
Katika wagombea hawa tulionao sasa hivi hasa wa uraisi, ni yupi kati...
Mkurugenzi wa NEC, Rajabu Kiravu.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema kuwa matokeo ya Rais yatatangazwa kwenye majimbo badala ya kusubiriwa kutangazwa na NEC...
Mkurugenzi wa NEC, Rajabu...
Asema wanajaribu kutumia ngazi ya maiti za watu kuingia Ikulu
Asisitiza kuwa damu ikianza kumwagika wao watakimbilia Ulaya
Awashutumu ‘wanaochonga' kuwa Tanzania haijapata maendeleo tangu...
Synovate wametoa na wao matokeo ya "opinion poll" waliyofanya kuhusu wagombea wa uraisi 2010. Magazeti mengi yameandika kwa "headings" zinazoashiria kwamba matokeo hayo ni "conclusive". Ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.