Kutokana SISIMU kuchafua na kuhatarisha amani kwa kutuma msg za vitisho kwa baadhi ya numba za simu.Naomba wote wasizingatie hizo Msg na waendelee kumchagua kwa kishindo Dr Slaa.Sisimu imeona...
Slaa attacked in stinging message
By ABDULWAKIL SAIBOKO, 9th October 2010 @ 12:08 , Total hits: 105
THE Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) has disassociated itself with a...
Kulingana na taarifa iliyosomwa leo na channel Ten, Mama Salma Kikwete akiwa kwenye ukumbi na wana UWT wa Tabora alionyesha kupigwa tafurani ya kwanini Ilani ya CCM kwenye eneo la kupunguza vifo...
TAFAKARI CHUKUA HATUA.
Je hali inayoelezwa hapo chini ni kweli?. Kuna kitu muhimu kimeachwa hapo chini ambacho kinaathiri maisha ya mtanzania ambaye vitu vingi vinatoka nje, nacho ni kushuka...
Chadema wamedai kuwa takwimu za kitaalamu zinaonyesha wapigakura wapo milioni kumi na sita lakini daftari laonyesha milioni kumi na tisa.
Hivyo kuna karibu milioni tatu ambazo huenda zimeongezwa...
Kwa kweli mambo yanayofanywa na Kikwete na CCM yake yanazidi kunichefua sana. Nakumbuka huyu JK kupitia kinana walisema hawawezi kushiriki midahalo kwa sababu ya ratiba yao imejaa mpaka siku ya...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Jakaya Kikwete ,akiwa ameketi chini ardhini kwenye vumbi na nyasi ili kumsikiliza Mama Sara Mageni mkazi wa Wilaya ya Makete, wakati...
I came across this analysis some days back an I thought the home of great thinkers can think about it.
Jean-Bertrand Aristide, the prophet of deception
Cambridge, Massachusetts - From a distance...
Dalili zinaonyesha ushindi mkubwa kwa Dr Slaa wa Chadema kuwa rais mpya wa Tanzania. Lakini kuna kiza kinene kama matokeo yatakayotangazwa yatafanana na maamuzi ya wananchi katika kura. Je Jaji...
Na Thobias Mwanakatwe
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kyela, Dk. Harrison Mwakyembe (CCM).
Umoja wa vyama 10 vya upinzani katika Jimbo la Mbeya Mjini ambavyo vimemsimamisha mgombea ubunge mmoja...
Nimesoma mada ninayoiweka kwenye link hapa, ambayo imetulia sana, ikichambua kwa nini kauli ya Shimbo imesababisha majadiliano mazito. Kumbe ni Kikwete pekee ambaye amengangania USHINDI NI LAZIMA...
Magazeti ya leo yameandika kwamba JK atahudhuria gemu kati ya Stars na Morocco.
Hapo Watanzania tuhesabu kuwa bado timu yetu ina pointi 1 kwa sababu JK ana gundu.
Akiwa na mpambe wake Mwamtum Mahiza, mbele ya wakina mama wa Tabora huyu mama amekuwa akiyarudi kama sehemu ya kuomba kura. Hivi Watanzania tunataka wakata viuno? Matatizo yetu sisi ni nini haswa...
taswira ya jk
namwona jk :
anamwagiza shimbo awatishe wananchi
anamtumia sheikh yahya kutabiri ushindi wake
synovate na redet anawalazimisha kumpikia kura za maoni
anavunja sheria ya uchaguzi na...
Waheshimiwa nisaidie kitendawili hiki:
Tangazo la kazi limetolewa. Sifa za nafasi hiyo ninazo. Barua ya maombi na CV nimeandaa na kuomba kazi hiyo. Sasa wameniita kwenda kwenye interview pamoja...
Wadau: hii ni sehemu ya stori kuu katika Tanzania Daima ya leo. Nilipohighlight in red yaonyesha kwamba Tanroads katika uchaguzi huu ndiyo 'EPA' nyingine ya mchoto kwa ajili ya kampeni za CCM...
Conclusion
The findings of Uwezos large scale assessment involving over 20,000 households and over 40,000 children reveal that there is a crisis in education in Tanzania. By the time they enter...
Nimengalia kwa makini na kutafakari sana kisha nikaona kuwa kuna watu wanadhani kuwa watanzania wote ni wajinga kwa kiwango wanachotufikiria wao. Sasa hivi mama Salma Kikwete ana ziara Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.