Ndugu wanaJF:
Uchaguzi wa mwaka kuna mapungufu makubwa kwa upande wa CCM -- kukosekana kwa mpiga debe wao mkubwa aliyekuwa BBC London Tido Mhando ambaye katika chaguzi za huko nyuma alikuwa...
Saturday, October 9, 2010
Wagombea wa CHADEMA Tanzania Bara na Visiwani
CHADEMA-CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
NO. CONSTITUENCY CANDIDATES
KILIMANJARO
1 Moshi Mjini. Philemon...
Nimekuwa nikizitafakari mbinu za kusaka madaraka za Bwana JK.
Zimejaa ubabe wa kutaka kulazimisha mambo kwa gharama yoyote, ili mradi yeye awe salama, wengine waumie.
Aliingia kwa nguvu ya...
Katika hali isiyo ya kawaida, Jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania limeamua kuingilia kati mastakabali wa amani ya nchi kwa madai kwamba amani imetishiwa kuvunjika na damu kumwagika.
Ni jambo...
Wakuu jana Godbless Lema alishikiliwa kwa muda na polisi baada ya kushtakiwa kwa kosa la kujipatia fedha isivyo halali.Inadawa Bwana Lema alimkopesha fedha [kiasi hakijulikani] Bi Maimuna Rashid...
Leo J'mosi 9/10/2010 nimefanya ka utafiti kadogo kuhusu upatikanaji wa magazeti yenye habari nzuri ya wiki nzima ya lugha ya Kiswahili (RaiaMwema na MwanaHalisi). Nimezunguka Mwenge, Magomeni...
Tumesikia jinsi dr slaa alivyozimiwa umeme kule mbeya na rukwa,sasa leo ni zamu ya lipumba hapo geita,alipoingia tu asubui kufikia saa 5 umeme ukakatwa na wakazi wa geita leo watalala giza maana...
Hivi kwa nini mikutano mingi ya kampeni za hawa wagombea wa CCM zimekuwa zikitumia muda mwingi sana kupiga ngoma na kuwaimbisha nyimbo wananchi badala ya kutumia muda huo kuwaeleza wananchi sera...
kweli nimeamini HATAMU IKISHIKWA PUNDA SHARTI LAZIMA AENDE ,,,,WANANCHI wenzangu mnadanganyi kwa maneno ivi hamji kuwa hao mnaowapigania ni mafisadi zaidi jinsi mnavyofikiri ki ukweli CHADEMA si...
Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa kiakili, tena asiye na utando wa buibui wala tongotongo za ufisadi...
Mengi yamesemwa wakati huu wa kampeni.Mengi yatasemwa wakati uliobakia kabla ya Oktoba 31..siku ya kupiga kura.
Kila jitihada zimefanyika kwa ajili ya kushawishi wapiga kura wakatae...
Kinana amesema REDET kusema JK anaporomoka katika maoni ya wananchi ni 'fair' lakini ni sio 100% correct. Huyu jamaa simuelewi kabisa kwani anakubali na kukataa wakati huo huo, hivi ana uwezo...
SOURCE:By Said Hamdan; GUARDIAN ON SUNDAY
Lindi Urban CCM parliamentary candidate Mohamed Abdul Azizi who is also Iringa Regional Commissionerand his campaign manager Khalfani Mandanje, used...
Source: Habari TBC1
Mgombea ubungwe kwa tiketi ya Chadema amefikishwa kwa tuhuma za kutishia kuua. Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo ndio amefungua kesi hiyo akimtuhumu Lema kumtishia kumuua...
Kuna tetesi kuwa Dr. Slaa atamaliza kampeni zake kwa Sugu (Mbeya Mjini).
Yuko sahihi.
Lakini chondechonde Dokta. Usiache kwenda jimbo la Songwe. Watu wa jimbo la Songwe nadhani wamerogwa...
Malumbano yanayoendelea baada ya utafiti wa reDIRT yamebase katika sample wengine wakisema ilikuwa bias na wengine ilikuwa haitoshi. Sample ya 2600 inatosha sana kwa watafiti wazoefu kama Dk Bana...
Ni kama mara mbili JK amekuwa akisema kwenye kampeni zake kuwa vyama vya upinzani ni 'photocopy' na CCM ndio 'original'. Hivyo wadanganyika wachague 'original'. Hivi kati ya 'original' na...
Kimfaacho JK ni asasi za hisani, si urais!
Mwandishi Wetu
Oktoba 6, 2010
KATIKA miezi ile ya mwanzo baada ya kuingia Ikulu, Rais Jakaya Kikwete aliwashangaza wengi alipoitangazia dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.