Ndugu zangu,
Napenda kutoa taarifa kuwa Raisi Jakaya Mrisho Kikwete hadi leo amevunja rekodi ya kuweza kukaa Tanzania bila kutoka nje kwa zaidi ya miezi miwili na nusu. Hii ni rekodi ya ajabu...
• Ashangaa watu kuteseka miaka 50 baada ya uhuru
Na Janet Josiah, Nkasi
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, juzi...
Nimeliona shairi hili katika FOSI (Friends of Slaa) ni kaona niwashirikishe.
Mchagueni Slaa, tuiponye Tanzania
Nimelala nimekesha, jambo nimefikira
Bongo nimezichemsha, sipati jibu sawia...
Chadema na CCM wachapana Rukwa
Na Muhibu Said
8th October 2010
Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31, mwaka huu zinazoendelea nchini kote, jana ziliingia katika sura mpya, baada ya wafuasi wa...
08 October 2010
Hussein Issa na Beatrice John
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imepania kuweka rekodi baada ya kueleza kuwa itatangaza matokeo yote ya uchaguzi mkuu siku moja baada ya kupiga...
Fredy Azzah na Jackline Laizer
IKIWA zimebaki siku 23 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu, waangalizi 92 kutoka nje, wakiwemo 68 kutoka Umoja wa Ulaya (EU), wameanza kuwasili nchini.
Kwa...
CCM inapata wakati mgumu sana katika jimbo la Mbulu,
Wananchi kutoka vijiji mbalimbali hawataki kumwona Mgombea wa CCM Marmo, anazomewa sana sehemu mbalimbali mfano maeneo ya Haydom siku...
Huku akionekana mwenye furaha tofauti na wakati alipokuwa analalamikia Chadema walipodai SYNOVATE wameficha matokeo, Abdulrahaman Kinana ameikosoa REDET kwa kile alichokiita ni kutumia mtindo wa...
Mods nadhani sijavunja mashariti ila naquote tu, nsije nkafungiwa katika kipindi hiki muhimu cha kuchangia. Kuna bwana anachangia sana hasa katika jukwaa hili la uchaguzi 2010 lakini hajui siku...
By Jerry Okungu
Nairobi, Kenya
October 7, 2010
Why is our media obsessed with the usual sideshows even at moments when we should focus on the bigger pictures of our society? How come there...
kila ofisi ya kata ina daftari la watu wanaotarajiwa kupiga kura,fanya yafuatayo,nenda na ufahamu idadi ya watu waliojiandikisha na weka kumbukumbu ili mwisho wa siku tuibane nec na uchakachuaji...
Habari zilizonifikia hivi punde zinalonga ya kuwa wataalamu ndani ya Chadema wanaendelea kukusanya takwimu za mali ambazo CCM imelipora taifa hili masikini na chama hicho kongwe kuutumia mali...
Habari niliyopata kama nusu saa iliyopita ni kuwa ccm imeandaa pesa za kujikimu kwa wanafunzi wote ambao ni wanachama wa chama hicho waende kupiga kura katika vituo vyao" naona ni ufisadi mkubwa...
WAKATI TAARIFA YA IMF INASEMA KUWA UCHUMI UMEKUWA KWA 2.7%
JK ANASEMA UMEKUWA KWA 5.5% SASA NANI MKWELI???
SOMA REPOTI YA IMF.. CHINI...
Katika mkutano wa leo kati ya Bw. Olivier Blanchard...
Mtu makini
a. Jk
b. Slaa
c.lipumba
chama makini
a. Ccm
b. Cuf
c. Chadema
ndivyo vitakavyo sukuma tanzania yetu kufikia mafanikio tufanye maamuzi sahihi 31 october
jk. Kiwkete ndio jibu...
Subject: YAH: MWALIKO WA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KESHO IJUMAA-08.10.2010
Habari za leo ndugu zangu,
Napenda kuwaalika katika mkutano na Waandishi wa habari kukutana na Mwenyekiti wa...
Waziri wa Mambo ya Kigeni, Bernard Membe hasemi ukweli hata kidogo alipojigamba ya kuwa serikali ya CCM itahakikisha uchaguzi huu unakuwa huru na haki.
Kauli hii aliitoa kwenye mkutano wa...
Wanajamii tufanye nini ili tuweze kupata taarifa za kila siku toka majimbo mbalimbali za uchaguzi.
Nakaribisha mapendekezo mbalimbali ili hili lifanikiwe.
Karibuni sana.
Habari za uhakika tulizozipata masaa machache yaliyopita ni kwamba JK ameingia mkataba na nchi moja kubwa ili shirika la ujasusi la nchi hiyo liweze kumsaidia kupata ushindi kwa wizi bila...
ktk uchaguzi ujao kutakuwa na waangalizi wa nje na ndani wa uchaguzi,wao pia watashiriki pia ktk zoezi zima la kuhesabu kura ktk vituo mbalimbali,je matokeo ya waangalizi pia yatangazwe kuona kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.