TUME ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imepania kuweka rekodi baada ya kueleza kuwa itatangaza matokeo yote ya uchaguzi mkuu siku moja baada ya kupiga kura, uamuzi ambao unaweza kupunguza mianya ya...
Kumekuwa na tuhuma za mara kwa mara kwamba kwamba JF is of special interests, sometimes for some people, institutions, political parties etc. Watu kama Mengi, Zitto na hata JK wamewahi kutajwa...
Usiku wa kuamkia leo katika mtaa wa makao mapya mjini Arusha, bendera na vipeperushi vyote vya Chadema vilivyokuwa vikipepea vimeibwa na watu wasiojulikana...!!! Nimepita eneo hilo leo asubuhi...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imezibadilisha karatasi za kupigia kura.
Karatasi hizo sasa zitakuwa na nembo ya chama cha siasa cha mgombea.
NEC imeagiza kuwa, mchakato mzima wa uchaguzi...
Kama Mtanzania mwenye akili timamu, ninayetaka mabadiliko, mwenye utashi na hamu ya kuchagua viongozi kwa kufuata sera (badala ya ukada na ushabiki wa kijinga), ninapenda kulipongeza gazeti la...
Cheeecheeee cheee ...........unapata dezo dezoooo.....mali zao sitaki kuuacha....sera zao hazilipiii....we CCM weee umeumbukaaa.......
Jana nimekuta store moja imesheheni mzigo huuu huku Arusha...
gazeti la mwanahalisi la jana liliandika kuwa miraji kikwete amefungua ofisi ya CCM isiyo rasmi mtaa wa undali upanga no.175 ambako kuna wataalam wa IT aliyosoma nao Bangalore India walioandaliwa...
Wednesday, 19 May 2010
SERIKALI imetoa waraka unaovielekeza vyuo vikuu vyote nchini, kuchelewa kuanza muhula wa masomo kwa mwezi mmoja, ili kupisha uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Kwa...
Jamani jana lipumba alikuwa katika kampeni mjini Bukoba, na alihutubia mkutano katika uwanja wa mashujaa (maarufu kama uwanja wa mayunga au uhuru platform). Kwa kuwa sikuwepo sijapata vizuri nini...
Mwalimu Nyerere aliongelea uozo katika CCM. Kwa mfano, wakati alipokuwa anajiandaa kung'atuka uenyekiti wa CCM, alizunguka nchi nzima akikagua uhai wa CCM. Wakati wa ziara hiyo, inaonekana...
Wahenga wa Kizungu wana msemo wao; eti " A blck cat may be a bad luck ONLY if you are mouse!" Chambilecho waungwana, kama wewe si panya, ya nini kumwogopa paka mweusi?!
Nataka kuzungumzia...
Kama kuna mbunge kijana au mwanaharakati wa ukweli huwezi acha kumtaja john john mnyika, haya yamedhihirika kwenye mikutano yake ya kampeni kutokana na sera yake ya (AMUA) jinsi anavyo ishusha...
Chadema yawasilisha malalamiko
Mashirika ya kimataifa pia yaelezwa
Kauli iliyotolewa na vyombo vya usalama Ijumaa iliyopita na kusomwa hadharani na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la...
Wana JF
Sambamba na matokeo ya kuchakachua kutoka REDET, habari zilizoingia kwenye dish langu muda mfupi uliopita, zinasema wastaafu wameombwa na kubembelezwa sana kuingia kwenye kampeini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.