Issue ni kwamba ki haki na kiualali kabisa dr slaa ni rais, ila sasa kwa kuwa mgombea urais wa ccm ndiye mwenye serikali na majeshi yote na nec amewachagua yeye kwahiyo kura lazima zitaibwa...
By The guardian reporter
7th October 2010
The European Union (EU) has launched an Election Observation Mission (EOM) for the October 31 General Elections.
A press statement released by the EU...
Kulingana na sheria za uchaguzi aliyefungwa kwa zaidi ya mwaka mmoja hana sifa za kuwa mgombea.
Bw. Aden rage ambaye hivi sasa anagombea jimbo la Tabora Mjini na ambaye hivi karibuni amekuwa...
:A S 465:Wadau naomba anayejua anipe majibu kabla ya siku ya kupiga kura. Nimejiandikisha kupiga kura Dar es Salaam lakini sasa nipo mkoa mwingine, je naweza kumpigia president kura?:A S 465:
Wana JF,
Katika pita pita yangu huko uswahilini mitaaa ya Mtakuja , Uhuru na baaadae kuelekea maeneo ya home Capri-Point.
Nikiwa njiani baada ya kupita uwanja wa nyamgana kama naenda kamanga...
Jakaya Mrisho Kikwete.
HAKUNA ubishi kwamba matarajio ya Watanzania wengi katika uchaguzi mkuu ujao ni kuona mabadiliko makubwa yakitokea katika nafasi mbalimbali za uongozi wa nchi...
Kama CCM wameweza kukodi mabasi na maroli ya kubeba watu kwenda kwenye kampeni, kununua T-shirt na kofia kwa kila mtu mwenye muda wa kwenda kwenye kampeni zao nchi nzima kwa pesa za Umma...
Nimekuwa nikisoma gazeti la Raia mwema kwa muda kuna mtu ameamua kubadili jina lake na kutumia jina Msomaji Raia ili kumshambulia Rais Kikwete.mtitiliko wa maandishi yake hautofautiani na...
Ndg zangu mie bado ninatafakari habari za wa 16. Wazo langu ni kwamba huko. Tuliko tuhakikishe basi tunafanya kazi ya kufa na kupona kwa kukuwa mabalozi wazuri kwenye zoezi la kusimamia uhesabuji...
Baada ya Serikali kutangaza nafasi ya kazi ya CEO mpya wa Tanroads, Ephraem Mrema wa Tanroads amewaambia watendaji wake kwamba tangazo la kazi la CEO mpya ni danganya toto maana ameshaonana na JK...
Mpiga debe ambaye pia ni mke wa rais wa Tanzania ameingia katika simanzi ya aina yake pale idadi ya watu waliohudhuria kampeni alizokuwa akiziendesha katika ukumbi wa kibo kuzidiwa na wale...
Mchakato wa kampeni za uchaguzi wa mwaka huu unaonyesha ccm na hasa kikwete imepata upinzani mkubwa sana ambao hawajawahi kuu-experience na wala hawakuutegemea, imekuwa 'surprise' nakuleta ' a...
Kulikuwa na tetesi kuwa Karatasi za kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu zinachapwa Uk, zina serial numbers kwa ajili ya control na haziwezi kuchezewa (kuchakachuliwa) lakini punde nimepata...
Kama tukiendelea kutawaliwa (sio kuongozwa) na CCM, tunaelekea kuzimu kwani tukijashtuka hatuna madini tena (yote yamechukuliwa na "wawekezaji"), hatuna gesi tena, tumeua mbuga za wanyama (maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.