Mtazamo wangu: kizaza cha CCM cha kuanzia miaka ya 1960 ni kiovu na hakina uadilifu wa kuongoza. Hawa wanachochewa na baadhi ya vizee ambavyo vishakuwa vishenzi ktk nji hii kama Shimbo na Kingunge.
Nimehakikishiwa kuwa bendera za CCM sasa ni dili kwani baadhi ya madereva wa Daladala Arusha wanakunja shilingi elfu 10 kwa kukubali kupeperusha bendera za CCM kwenye Magari yao!
Mgombea wa CCM...
Mkapa, Malecela, Sumaye wamkimbia Kikwete
Na Saed Kubenea - Imechapwa 29 September 2010
VIGOGO waastafu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na serikali, wamekacha kampeni za mgombea urais...
Wadau mnaotambua kwa undani katiba ya nchi na pia mnaoifahamu demokrasia ya vyama vingi naomba mnipe elimu kidogo.................nimefatilia kampeni za uchaguzi kwa makini sana haswa vyama vya...
Na mwandishi Absalom Kibanda wa Tanzania Daima 6/10/2010
Wadau nawaletea kipande cha habari ndefu ya mwandishi huyu ila mimi nimependa tujadili hiki kipande karibuni;
"Ili kufanikisha hilo...
Na Ruhazi Ruhazi
SIJALI bado umbali gani katika safari yetu, lakini nimepata matumani, nimefarijika na kufurahi baada ya kuona kundi kubwa la watu walipo kwenye safari yetu sasa...
Leo saa 1 hadi saa 3 usiku vijana wanasiasa watakuwa ndani ya nyumba movenpick hotel kwa mdahalo na Jeneral Ulimwengu, so watakuwa live itv. My concern ni vijana wawili machachari John Mnyika na...
Wadau leo Wagombea Ubunge vijana wataumana katika mdahalo unaorushwa moja kwa moja na ITV kuanzia saa moja kamili mpaka saa tatu.
Superman upo ha ha ha
Washiriki ambao wako hewani ni
ZITTO...
Jeshi la Polisi la Polisi Mkoani Mwanza limekamata gari moja la wizi kutoka nchini Kenya likiwa na mabango ya picha za mgombea ubunge jimbo la Nyamagana jijini Mwanza, ambaye pia ni waziri wa...
BADO MAMBO YA KUSHANGAZA YANAENDELA KUTOKEA KATIKA NCHI YETU YA TANZANIA.
SLAA AMESEMA KUMBE MNADHIMU MKUU NDIYE ALIYEPEWA TENDA ZA KUAGIZA TREKTA ZA KILIMO KWANZA ZA POWER TILLER.
KAMA NI HIVYO...
na Ali Lityawi, Kahama
Source: Tanzania Daima
MGOMBEA udiwani wa Kata ya Igunda, Wilaya ya Kahama kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Charles Malecha Kasonha (43), amefariki...
Wakuu Sijamsikia Yule mzee wa walaka wa wakatoliki Kingunge ngombale Mwiru. Baada ya kuwepo kwenye kampeni za kule kusini sijamsikia tena kulikoni? au maji ya shingo?
Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa kiakili, tena asiye na utando wa buibui wala tongotongo za ufisadi...
Mamia ya waalimu waliohudhuria maadhimisho ya siku ya mwalimu duniani wakiingia kwa maandamano katika uwanja wa michezo wa Majimaji mjini Songea ambapo Rais Dr.Jakaya Mrisho kikwete alikuwa...
Wanajamii nisaidieni hili. Hivi huyu mzee wetu lyatonga ni kwanini anang'ang'ania sana madaraka? Wakati wa mfumo wa vyama vingi alitoka CCM na kujiunga na NCCR, Akaharibu akaanzisha NCCR MAGEUZI...
Hivi majuzi nilitembelewa na mama yangu kutoka kijijini kwetu. nilitaka kujua hali ya kisiasa huko wilayani kwetu maana ni sehemu ya ngome ya Mzee Mapesa. aliniambia kuwa mchuano ni mkali mpaka...
Nimefurahishwa na uchambuzi ulioandikwa kwenye gazeti la KULIKONI hivi karibuni. Nitanukuu sehemu tu ya uchambuzi huu ili tuweze kuujadili.
"Tabaka la mibaka-uchumi (mafisadi) limeteka nyara...
Hivi Chadema hawakusimamisha mgombea pale TBR Mjini? hawa jamaa naona wasanii tu wote hamna mwenye point hata mmoja, kwa mtaji huu CCM wameshalikwaa jimbo hilo!
Me sikutaka kuamini kua nilisikia vizuriniliposikia BBC leo asubuhi kua eti Tanzania ni nchi kinara kwa utawala bora Afrika ya mashariki. Ikabidi nitege sikio vizuri, lakini ndipo iliposisitizwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.