Wito wa kuchangia mabadiliko umeanza vizuri kwani wiki ya kwanza ile iliyoishia tarehe 27 Septemba kiasi kilichochangwa na Watanzania kwa njia mbalimbali ni shilingi 11,569,000! Kwa kiwango kidogo...
Ndugu wana JF, wiki moja iliyopita EA TV walikuwa na kipindi juu ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu na mada iliyokuwa inajadiliwa ilihusu jinsi gani Umoja wa Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania...
Ndugu wanaJF, nimesafiri kikazi nipo eneo la Mbulu mjini,top story hapa mjini ni kuhusu kuzomwea na kuitwa mwizi waziri Marmo.
Habari zinasema alifika kijijini kwao katika harakati zake za...
Wednesday, 06 October 2010
Na Leon Bahati
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imepinga kauli aliyotoa askofu mkuu wa Kanisa la Anglikana, Valentino Mokiwa kwamba wananchi...
Ndugu wana JF, naamini wanafunzi 60,000 waliochakachuliwa kwa makusudi na mafedhuli ni mtaji tosha kwa ukombozi wa nchi yetu, bilashaka ni mipango ya Mwenyezi Mungu kuwafunga wenye mamlaka ufahamu...
Wakati wa wizi wa kura, wako watu huteuliwa kupewa kazi ya kupiga kura kabla ya wakati. Hao huwekwa katika chumba maalum ambapo hufanya kazi ya kupiga kura na kujaza katika masanduku yaliyowekwa...
Kuna wengi duniani wanaamini kuwa uchawi upo na wengine wanaamini kuwa haupo. Lakini hata Biblia inasema wazi kuwa wachawi na uchawi up. (Kumbuka katika kitabu cha daniel, mfalme Nebkadreza...
katika siku za hivi karibuni ccm imeanzisha siasa za maji taka kwa kuwatisha watanzania kuhusu umwagaji damu, ikiwa ni pamoja na kulitumia jeshi.
lengo la ccm ni kuwafanya watanzania wavihofie...
Wana JF,
Hivi karibuni nilikuwa Morogoro kwenye shughui zangu binafsi. Katika mizunguko yangu wilayani Mvomero nikajikuta nimevutiwa kutaka kujua hali ya kisiasa ikoje. Maeneo/vijiji...
Chemsha bongo
Wandugu nimetumiwa maswali yafuatayo na jamaa yangu mmoja ili nimsaidie lakini binafsi yamenishinda, nadhani atakuwa kapewa asignment katika hii kozi fupi ya maandalizi ya...
Ndugu Watanzani wenzangu kuna gharama kubwa mno tutalazimika kulipa kwasababu ya ukaidi wa mgombea wa Chama cha Mafisadi (CCM) kukumbatia Mafisadi.Orodha yao ni ndefu mno walionadiwa na kuombewa...
kama mjuavyo uchaguzi uko karibuni na si muda tutapata rais aliechaguliwa na MUNGU kama tuaminivyo sauti ya MUNGU sauti ya watu
ni fuuraha yangu kuomba hata baada ya uchaguzi tuendelee kuwepo hapa...
Yaelekea CCM na NEC wamegundua mbinu mpya za medani za kuchakachua kura kiulaini kwani NEC wataiagiza polisi kufukuza watu watakaokuwa wanataka kubaki vituoni ili kulinda kura kwa madai ya kuwa...
Nasema Hivi kwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la wananchi Jenerali Abdulrahman Shimbo kuwa kama watawala wa kiraia kama wanataka kutawala kwa mabavu ni afadhali wakabidhi utawala kwa jeshi lililojifunza...
japo kwa sasa jk msafara wake wa angani unajumuisha helkopta 3 achilia mbali msafara wa nchi kavu unaotafuna kodi za walala hoi wa kitanzania,nimegundua kitu kimoja kwamba,kwa sasa hakuna...
Gazeti la uhuru linaongoza maoni yake
Katika maswali wanayouliza ni kama ifuatavyo?
Toa Maoni Yako
Hali ya Kisiasa Tanzania:
1. Inaridhisha
2. Ni Ubabaishaji
3. Hairidhishi kabisa...
Waungwana bila shaka mko poa.
Kadri siku zinavyoyoyoma na kampeni kuendelea, baadhi ya wagombea wanatoa ahadi ambazo ukiziangalia kwa akili ya haraka tu unaona wazi kuwa ni uongo, na...
Dk. Slaa amesema kutokana na wananchi wa Mbeya kuwa na imani na Chadema, chama hicho kitahitimisha kampeni zake Oktoba 30, mkoani Mbeya badala ya Dar es salaam kama inavyosomeka kwenye ratiba yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.