Hadi sasa wana jf jk hajafika pemba alikotakiwa kuhutubia na hapa watu wameanza kutawanyika,je ataweza kulinda muda uliowekwa na tume wa mwisho wa kampeni yaani 12 jioni?
kama ilivyo kawaida ya porojo za ccm kuwa wanamuenzi baba wa taifa huku wakiwa wachafu kimaadili kupindukia,ikiwa sasa kwenye kampeni zake hasa kwenye majimbo yenye wagombea wenye maadili shakani...
Katika pitapita zangu mtandaoni nimebahatika kukutana na tovuti ya CCM, duh jamaaa hawapo up-to date kabisaaaa yaani hadi leo kawawa yumo kama mjumbe wa CC. kwa hali hii tutafika kweli?
1. Jakaya...
Wapendwa kwanza nawasalimu kwa jina la bwana wetu kristu alie hai..pili polen sana na shuguli za kila siku hasa wakati huu ukifikiria jinsi ya kwenda kugongana bams na watu huku wengine wakitoa...
Ameuza timu toka kipenga cha kwanza kilipopulizwa. Ameruhusu magori kuingia hata pale alipotakiwa kudaka.
(i) Ameruhusu David Balali kukimbia nchi,
(ii) ameruhusu Andrew Chenge kuendelea kupeta...
anayegombea ubunge jimbo la manyoni magharibi kwa tiketi ya ccm bwana lwanja ambaye alizomewa wakati wa ujio wa jk,yupo kwenye wakati mgumu baada ya kuamua kuliweka rehani gari yake na nyumba yake...
na Mwandishi wetu
MGOMBEA wa ubunge wa jimbo la ubungo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Hawa Ng'humbi amewaomba wakazi wa jimbo hilo, kuwapa ridhaa ya kuongoza kwa kipindi cha miaka...
Jamani sijui nakosea am a la
yaani kuna huyu ant jaman nimekuwa nikisikiliza mikutanio yake yaani sijui nasema
na ashukuru amepita kwenye chama cha ccm else uchaguzi ungekuwa mgumu maisha upande...
Katika hali inayoonesha wagombea wa CCM kuishiwa sera na kuendekeza dhana ya kuwaona Watanzania ni mazuzu, mgombea wa Ubunge jimbo la Segerea Bw. Dr. Makaongolo Makanga ametoa ahadi kichekesho kwa...
04 October 2010
Mussa Juma, Arusha
WAGOMBEA wote wa viti vya ubunge na udiwani kupitia tiketi ya Chadema katika Jimbo la Arusha, jana waliandamana kwenda ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana...
Sorry mods, naona wengi wanaziulizia picha hizi lakini nimeona niwaletee kipekee bila kuingiza kwenye ile ya nyanda za juu kusini, mnaweza kufanya hivyo baadae baada ya wadau kuziona na kutoa...
Taarifa zilizonifikia hivi punde za uhakika ni kuwa Dr. Slaa na timu yake mpya inayosubiri kukamata dola tayari wameanza mjadala mzito wa kuibomoa na kuisukuka upya Takukuru.
Ili kuwathibitishia...
Kuna tetesi zinasema kuwa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) kinaandaa sherehe za siku ya walimu duniani ambayo itafanyika mkoani Ruvuma na mgeni rasmi atakuwa J.M. Kikwete. Hii inaweza kubadilisha...
Jamani tujaribu kuwaelezea vizuri marafiki, ndugu na jamaa wa karibu kuhusu ukombozi kupitia Dr. Slaa. Juzi nilikuwa shamba nikaongea na mlinzi wangu mpaka akakubali kumchagua Dr. Slaa na maongezi...
Nadiriki kuita ni utafiti kwa kuwa majibu yake yanaanza kuonyesha viashiria vya ukweli.
Bwana tendwa alisema mapema kabla ya kambeni kuanza kuwa " Upinzani unatarajia kuzoa viti vya ubunge wa...
BAADA ya kulia na propaganda chafu za Chadema, mgombea ubunge katika Jimbo la Vunjo kwa tiketi ya TLP, Augustino Mrema, amesema anapanga kujibu mapigo kwa kuhamishia nguvu zake katika majimbo...
JF na wote,
Nimekuwa tafuatilia kwa makini sana mambo yanayojitokeza ktk JF. Ukweli kabisa ni mambo ambayo Watanzania wote, bila kujali chama, dini, kabila au rangi, waweze kufahamu.
Tatizo...
Mpaka sasa hivi kilaza wetu tendwa amelala vijana wake wanavinja sheria za uchaguzi, huyu tendwa atakuja kuleta vurugu katika uchaguzi unaoendelea.
Leo nimeangalia ITV nikamuana Godbless lema...
Wakuu, mi nilikua nawaza sana kuhusu wagombea ubunge kupita bila kupingwa. Sasa je wakienda bungeni wanawawakilisha CCM au wananchI wote wa majibo husika. Kwa nini tume ya uchaguzi isifikirie nje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.