Napenda kutoa uchambuzi wangu kwa watanzania nikiwasihi kutomchagua Jakaya Kikwete na kutoichagua CCM.Kuna sababu 16 zinazohalalisha watanzania kutomchagua Kikwete na CCM,nazo ni;
1.Embu kumbuka...
Wana JF hamdhani ni uzalendo uliotukuka kama watanzania hawamchagua tena KIKWETE kwa kua kazi ile ni mzigo unaohitaji mtu ambaye ana afya imara? Hii itamsaidia kupumzika vema ikizingatiwa kua...
CLICK Nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania - 2010 -2015
SERA ZA SLAA ZAZIDI KUWASHIKA MABADILIKO LAZIMA
ASIYEPENDA ELIMU YA BURE ATAKUWA NA MTINDIO WA UBONGO
Je, ni sahihi kwa vifaa vya kupigia kura kusambazwa na JWTZ? Kama Lt. Gen. Shimbo ndio anatishia namna hii, hivyo vifaa vitakapofika kwenye vituo vya kupigia kura tutakuwa na imani navyo kweli?
MGOMBEA ubunge wa jimbo la Lindi mjini,kwa tiketi ya CCM, Bw, Mohamedi Abdullaziz amewakatisha tamaa wakazi wake, baada ya kuwaeleza bila ya aibu kuwa Serikali haina mpango wa kuboresha bandari...
Nakuja tena kwenye jamvi kama ifuatavyo.
Kuna haja ya kujadili sote uwezekano wa kuwatumia wanazuoni ambao haki yao ya kuchagua imechakachuliwa na wachakachuaji. Lakini vijana hawa wanaweza...
Dr. Slaa ametuelimisha vya kutosha umuhimu wa kufanya mabadiliko ya uongozi wanchi ili kulikomboa kiuchumi, kijamii na kiuongozi taifa la Tanzania.
Mimi binafsi nimemuelewa sana na tayari...
mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa
Mvutano mkubwa uliibuka jana kati ya mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia Chama...
Pamoja na sababu kem kem ambazo ccm wametupa za kukinyima kura .Hii ni nyingine
Conservative Party - UK Parliamentary General Election
Total Expenditure £17,852,240.75
Number of constituencies...
Wandugu nimetumiwa maswali yafuatayo na jamaa yangu mmoja ili nimsaidie lakini binafsi yamenishinda, nadhani atakuwa kapewa asignment katika hii kozi fupi ya maandalizi ya uchaguzi. Plz mchango...
SAKATA la Jossephini na Dk. Slaa, leo jioni limemfanya Makamu Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) Benno Malisa kuzomewa hapa Geita wakati akimnadi ubunge wa CCM jimbo la Geita Donard Max...
Habari zilizoandikwa na Frederick Katulanda wa Gazeti la mwananchi zinasema.
ZOMEA zomea kwenye mikutano ya kampeni ya CCM jana ilimgeukia mpigadebe aliyejaribu kuingiza masuala ya maisha...
WanaJF: Tumeingia ngwe ya pili ya kampeni na sasa tunaona jinsi shujaa wetu, mkombozi wetu, Dr W. Slaa alivyoanza kutumia ile mitutu mingine katika mashambulizi yake kwa kikundi cha kifisadi...
Jamani nasikia leo Dr. Slaa alikuwa Kyela, sasa wadau wa Kyela hebu tujulisheni kilichojiri japo kwa ufupi
KAMPENI KWA SIMU ZA MIKONONI NI ZAIDI YA KAMPENI ZA SHUKA KWA SHUKA ZA SALMA...
Mgombea wa urais kwa tiketi ya Chadema Dr. Willibrod Slaa amesema umasikini wa watanzania hauwezi kuondolewa kwakuwanunulia Bajaji (Pikipiki ya matairi matatu) iliyotolewa naJakaya Kikwete kwa...
Endapo hakutakuwa na mgombea wa Urais ambaye amepata kura zaidi ya asilimia hamsini basi wagombea wawili waliopata kura nyingi zaidi wataenda kwenye mzunguko wa pili ndani ya siku arobaini baada...
Ndugu wanajf
Mambo mengine yanayoyasikika na kushuhudiwa kwa macho kuhusu uchaguzi mkuu wa 2010, yanastahili kupewa jina moja tu VITUKO VYA UCHAGUZI kwani naamini kuwa huwa ni nadra sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.