KABLA HATA UCHAGUZI KUFANYIKA CHADEMA WAMESHAANZA KUGOMBANIA MADARAKA!!! HAYA NDIYO KAMA YALE YALIYOWAKUTA NCCR-MAGEUZI!!! HABARI ZAIDI SOMA HAPA: CHADEMA Mkoa wa Mwanza kwafukuta
Mwalimu Nyerere alipata kusimulia kisa cha mbwa wa Manzese. Nilikuwa bado kijana mdogo sana niliposikia kisa kile. Ilikuwa mwanzoni mwa miaka ya 80. Ni kwenye kilele cha Sherehe za Wafanyakazi...
....Angesimama na Kikwete kumfanyia kampeni yeye na CCM? Kwanini angemfanyia au kwanini asingemfanyia? Tukumbuke kwamba Mwalimu hakuwa mnafiki au kujikombakomba kwa watu/mtu.
Tujadili
Viongozi wa dini wamtetea Dk Slaa.
Thursday, 30 September 2010 04:10
*Askofu Ruzoka ashauri zijadiliwe hoja si maisha binafsi
*Askofu Laizer: Tukitazama maisha binafsi hakuna atakayepona
?Na...
Kama umesoma Mwananchi Jumapili ya leo ukurasa wa 4 JK anaonekana akisalimiana na watoto wadogo chini ya miaka kumi hivi kwenye kampeni zake. Watoto hao wadogo hawajafikisha umri wa kupiga kura...
JK Why you lie citizens..? Obama hakuitaja wala kuisemea TZ kwenye mkutano wa UN, nashangaa JK anadanganya, we as TZs tunashangaa kwa kusema uongo, mbona una kosa hoja? ahadi zimekwisha..? Jk...
Tendwa awaonya Kakobe, Sheikh Yahya
Ajiandaa kutunga sheria kali dhidi ya wanajimu
na Danson Kaijage, Dodoma
MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa, amevunja ukimya na kuwajia juu...
kwa mara ya pili katika muda wa wiki moja mgombea moja wa Uraisi ametumia jina la Raisi wa merekani ili kuvutia wapiga kura, mwanzo ni pale alitumia hotuba ya obam kwenye millinium goal challenge...
Nimesoma kwenye gazeti la Mwananchi kuwa JK alipokuwa kwenye ziara yake huko Ludewa, kabla ya kupanda kwenye jukwaa alipokea simu kutoka kwa balozi wa marekani nchini Bw. Alfonso E. Lenhardt. JK...
Lula da Silva, Rais wa Brazil aliyesoma hadi darasa la 4 tu.
Luiz Inácio Lula da Silva was born 6 October 1945. Known popularly as Lula he is the thirty-fifth and current President of...
Nimepata sms kutoka kwa rafiki yangu aliye Mafinga kuulizia yuko wapi Dr Slaa? Kwa maana Wanamafinga wanamngoja na kuongeza kusema ana kura nyingi sana pale.
Sikuweza kujibu yuko wapi na ratiba...
HUWEZI KUAMINI HABARI ZILIZOKO HAPA CHINI "KAMA ZILIVYO" NIMEZINAKILI KWENYE TOVUTI YA GAZETI LA MTANZANIA. NI VIZURI WASHINDANI WA CCM WAKAFUATILIA HILO LA MASHINE ZA KUCHAPISHA VITAMBULISHO VYA...
nipo hapa uwanja wa jumbe manyoni watu wanamsubiria jk anayetarajia kuhutubia hapa muda si mrefu,watu ni wachache sana hawazidi mia moja,labda tusubilie watakavyobebwa na malori kuja kwenye huu...
Kila siku huangalia channel ten lakini sioni habari za Dr. Slaa
Hivi kuna nini channel ten mbona habari za kampeni za Dr. Slaa ni blackout?
Au siyo Newsworthy?
CCM Irudishe Hela Iliyokusanya kutoka kwa Wanafunzi kwa Kutumia TCU
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu jinsi TCU ilivyokusanya mabilioni ya fedha kutoka kwa wanafunzi na madai kuwa fedha hizo...
Hii Kampuni ya uchimbaji madini ya African Barrick Gold kiukweli inaiujumu uchumi wa Tanzania Haiwezekani watu wafanye kazi Tanzania halafu mishahara yao ilipwe kutoka Afrika kusini,wakati huo huo...
Hatimaye imethibitika kuwa tafiti zilizofanyika ni za kweli kuwa Dr.W.P.SLAA anatarajia kuibuka mshindi kwa zaidi ya 60% na ndiyo maana leo tena tumesikia chombo cha juu kabisa katika ulinzi wa...
Nimesikitika na ninaendelea kusikitika sana hasa ninapowaona watanzania wenzangu wakitaka kuiangamiza nchi yao wenyewe, kwa sababu tu ya ubinafsi,uchoyo na urafi.
Haiingii akilini mwangu kuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.