Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Nimehudhuria Kampeni za kikwete leo hapa Dodoma katika uwanja wa jamuhuri. Mkutano ulianza kwa wanamuziki mbali mbali kutumbuiza na wananchi wakawa wanashangilia sana. Baada ya muda kupita Mgombea...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Mimi nikiwa ni mmoja wa watu ninaye penda sana Burdani, nimegundua chama kina uwezo wa kuvunja taratibu za kampeni bila kufokewa na Msajiri wa Vyama vya siaasa wala Tume ya Taifa ya uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Badala ya kuenzi siku hii kwa kusikiliza hotuba zisizo na mashiko toka kwa wasioenzi ya wanayemuenzi nashauri mwaka huu siku hii itumike kuweka mikakati thabiti ya kuhakikisha mabadiliko ambayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale ambao wanataka kumchangia Mwanaharakati Ndugu Halima Mdee mwaweza kufanya hivyo kama maelezo yake yanavyojieleza hapo chini na vilevile mwaweza kufuatilia mtungo wake UKOMBOZI WA KAWE
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tanzanians ready for change – Slaa By ThisDay Reporter 28th September 2010 THE presidential candidate of the opposition Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dr. Willibrod Slaa, has...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Juzi tumesoma kwenye magazeti na kuona picha jinsi askari wa kutuliza ghasia wakihitimu mafunzo ya kupambana na ghasia. Walikuwa kwenye vifaa vipya na kuonesha kufuzu mafunzo hayo. Moja ya malengo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ZOMEA zomea kwenye mikutano ya kampeni ya CCM jana ilimgeukia mpigadebe aliyejaribu kuingiza masuala ya maisha binafsi ili kumponda mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Dk Willibrod Slaa baada ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba siku ikifika muikumbuke thread hii. Kikwete hafai na amekata tamaa. Sababu ni nyingi lakini sababu kubwa sitaitaja. Kamtu kadogo kama mimi siwezi kukubali kuleta taharuki ya taifa. Lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NDIO kwa mgombea uraisi wa CUF Pr. Ebrahim Lipumba ,hizo ni habari mpya kabisa ambazo zimeanza kuzagaa mitaani kama moto wa mbugani. Baada ya Dr Slaa kufumaniwa na mke wa mtu katika majukwaa...
0 Reactions
82 Replies
6K Views
Naomba nitoe wosia wangu na waraka huu kwa watanzania wote. Mi nimeshirikisana katika kupiga kura kwa awamu mbali mbali na sijawahi kutoa waosia wa kuwaasa watanzania wenzangu. Ninaomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutokana na watu kuanza kuhofia wagombea kutokukubali matokeo na hata Jeshi kutishia. Ufuatao ni ushauri wangu wa haraka wa kujiandaa kisaikolojia na kuwaandaa wafuasi. 1. Wagombea urais kama Dr...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Asalam aleikum wanajamvi jamani kuna jambo linanitatiza na natumai kila mtu anachangia kile anachokijua kuhusu hili, ni hivi.wapiga kura wote ni watu wazima wanaojielewa hivi inakuaje mtu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu wote walioangalia ITV jana, waliona jinsi kiongozi wa TAMWA, Ananilea Nkya alivyolaani kitendo cha JWTZ kujiingiza katika masuala ya CCM. Hivi ndivyo inavyopaswa kuwa sababu hasa wote...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Halima James Mdee hana usingizi, akitafakari rafu za mapema ambazo inadaiwa anapigwa na wapinzani wake...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jana tuliboreka sana pale Mwembe togwa Wangekuwa na collection ya nyimbo za kimapinduzi kama zile za kwenye filamu ya Sarafina. Uchaguzi uliopita Malawi walikuwa wanazitumia sana. Very patriotic...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Asalam
0 Reactions
0 Replies
699 Views
sote si wageni wa chama chetu kilicholeta uhuru cha tanu na maadili yake,tazama hata viongozi wake waliweka maslahi ya umma kwanza na ndio maana wengi wao hadi mauti yanawakuta hawakuwa na mali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani mimi nikiwa kama mtanzania nina uchungu sana na inchi yangu. Nikiangalia hizi campen naona kichefuchefu kabisa! Ccm....(chukua chako mapema) ni uozo mtupu. Kweli huu uongozi wa kupeana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukiwa na muda fuatilia kipindi hiki leo
0 Reactions
81 Replies
8K Views
Kitendo cha Dr. Slaa Kwenda kwenye Mikutano yake ya Kampeni bila nguvu ya ziada ya wahamisishaji kama vile ze comedy. Kumempa Umaarifu mkubwa sana Hapa Iringa. Wengi wanasema hii inatokana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom