Mafundisho haya yanatoka kwenye kitabu kitakatifu Bible
The Lord saw that the wickedness of man was great in the earth, and that every imagination of the thoughts of his heart was only evil...
THE MILITARY SHOULD PREPARE TO SALUTE A NEW COMMANDER IN CHIEF
By. M. M. Mwanakijiji
All the armed forces of Tanzania should ready themselves psychologically and instrumentally to...
Wadau katika pitapita zangu ktk mtandao wa tume ya uchaguzi, nimkutana na kitu hiki hapa chini: -
http://www.nec.go.tz/?modules=registration⊂
MTAZAMO WANGU
1: Kwa nini hadi sasa siku 27...
Jana nilipata "network". Nikazungumza na baba yangu mzazi anayeishi kata ambako msafara wa kikwete uliwahi kupigwa mawe.
Nikamuambia mwaka huu tunataka mabadiliko. Aachane na mambo yake ya zamani...
UKITAKA KUJUA KUWA CCM NA SERIKALI YAKE NI WAZEE WA ANASA NENDA KWENYE MIKUTANO YAO YA KAMPENI NA UTAKUTANA NA YAFUATAYO:
MSAFARA WA GARI ZA KIFAHARI,VX,V8
WASANII WA KUKODIWA ILI WAVUTE WATU...
Hivi ndivyo mambo yanavyozidi kunoga. Angalizo ni katika kupiga na kulinda kura tu!
Slaa ampiku JK Kyela
Waahidi kumpa urais yeye, ubunge Mwakyembe
na Janet Josiah...
Kwenu wana JF!
Poleni kwa majukumu mazito ya kuelimisha na kuchangia hoja mbali mbali zenye lengo moja tu la kuelekea kwenye ukombozi wa kweli wa taifa letu baada ya uchaguzi mkuu ujao...
Katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania imetoa utaratibu wa kutangaza hali ya hatari (state of emergency) kama kuna vita au vurugu ndani ya nchi katika ibara ya 32 (1), (2) na (3). Ni Rais peke...
Nimewawekea link hapa chini. Huo umati haujahongwa wala kuzombwa na malori kuja hapo.
Nimependa alivyomchambua Mnadhimu wa jeshi bwana Shimbo
http://www.youtube.com/watch?v=LMNhQKmwWy4
Heshima Mbele wakuu.
Natafakari hili, JK alisaini sheria ya rushwa ya uchaguzi hadharani na kwa mbwembwe sana akitangazia ulimwengu kuwa ana dhamira ya dhati ya kupambana na rushwa katika taifa...
Mi naamini mlio na mapenzi ya dhati na CCM, lazima mnamapepo. Tena mnaongozwa na mchungaji Rwakatale, kama mnabisha njooni glory city kwa baba Gody mfalme hapa Bugando Mwanza awaombee muone kama...
Wakati zimebaki takribani siku 26 hivi, NEC itoe majina ya watu wanao tarajia kupiga kura ili kila mtu siku ya kupiga kura ajipange kwenye eneo sahihi ili kuokoa kupoteza muda.
Hakuna haja ya...
Wanajamvi, hivi ni kwanini Marais wastaafu Mzee Mkapa na Mzee Mwinyi hawashiriki katika kumpigia kampeni Kikwete???!!!!!, kama sikosei tangu kampeni zimeanza sijawahi kuwasikia katika kushiriki...
Hapa ni Mwembetogwa Iringa ambapo wazee wa hapa kwa kumbukumbu zao toka kuanza kwa mageuzi haijawahi kukusanyika umati mkubwa namna hii kwenye kampeni.
Pamoja na CCM kuzomba watu kwa malori...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.