Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Sitaki Rais anayebeba wasiobebeka Ndimara Tegambwage Mwananchi SITAKI Rais Jakaya Kikwete apinde hoja. Sitaki rais awe moto na wakati huo huo awe baridi. Hii ni kwa kuwa sitaki wale...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza wanajeshi wa JWTZ wapo kwenye mazoezi makali, mithili ya yale ya FFU, bila shaka kujiandaa kwa kupambana na watakaopinga matokeo ya uchaguzi mkuu baada ya kuchakachuliwa...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Wandugu habarini Ninaomba kuuliza swali moja tu................ Ni kwa nini Tanzania iliamua kuwa na kawaida ya kufanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano??? To me kwa upeo wangu mdogo wa mambo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mziray wa APPT Maendeleo ampigia debe Dk Slaa Send to a friend Thursday, 07 October 2010 08:08 0diggsdigg Sheilla Sezzy, Mwanza MGOMBEA urais kwa tiketi ya APPT-Maendeleo, Peter Kuga Mziray...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Takribani dakika 30 zilizopita maeneo ya soko kuu Arusha polisi wamekuwa wakirusha risasi hewani na kukamata watu hovyo....ni kitendo cha kushtua sana kwa watu tuliokuwa tukipita na shughuli...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakubwa naomba kueleimishwa na aina ya siasa ya bongo! Hivi kwa mtaji huu kila mtu si atakuwa mwanasiasa kama kazi ni kutoa ahadi pasipo kuwatajia source ya hizo hela zitatoka wapi? Mimi ninaamini...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau mpaka sasa sioni mfumo wala harakati za nguvu za Wenje kujihakikishia ushindi hapa Nyamagana. Naanza kupata wasi wasi kama atashinda ingawa Masha hapa Nyamagana hatakiwi kabisa.
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Soma hii: FEMINIST ACTIVIST COALITION (FemAct) C/O TANZANIA GENDER NETWORKING PROGRAMME, MABIBO ROAD, P O BOX 8921, DAR ES SALAAM, TEL. +255 22...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naandika post hii bila chembe ya ushabiki wa chama chochote cha siasa (ingawa mimi ni mshabiki wa CHADEMA). Lengo langu kubwa ni kutoa maoni yangu juu ya chama hiki kikubwa; CCM, ambacho kwa namna...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
UNDP wametoa msaada wa kuwakilisha matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa internet; ndio maana MwanaHalisi 5/10/2010 wamebaini mbinu ya CCM ya kupeleka wataalamu wa IT NEC. Naomba kujua ni...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama tunavyojua ni ukweli usiopingika kuwa CCM itatumia mbinu nyingi kutaka kuiba kura ili ionekane imeshinda. Nakumbuka mwaka 1995 wakati Balozi paul ndobo akigombea jimbo la musoma kupitia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
By LEVINA KATO, 6th October 2010 @ 22:00, THE government has praised armed forces for warning politicians and other elements engaged in acts that are likely to disrupt peace in the run up to the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya wanajeshi ni wapuuzi. Hawana uzalendo na hawana huruma na umasikini wa Watanzania walio wengi. Kuna baadhi ya wanajeshi (nina amini ni wengi) ni wazalendo na wanaona uchungu sana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Source: Can Tanzania's Elections benefit the poor? The average Tanzanian is going to the polls this month not knowing the outcome ahead of time. Statistically, about 90% of the population...
0 Reactions
1 Replies
872 Views
Ukiniuliza kwa nini ninaweka hii posting sitakuwa na jibu! Ila imenifurahisha kwamba JK anadai CCM ina wanachama 5m. Akamtaka kila mwanachama akamate watu watatu ambao sio wanachama. Halafu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Leo nipo jimbo la Siha na hali siyo nzuri hata kidogo kwa mgombea wa CCM ambaye ni naibu Waziri serikali za mitaa: Mheshimiwa Aggrey Mwanri hivi sasa anapumulia kwa mashine na yaelekea ataanguka...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwananchi Thursday, 07 October 2010 08:08 Sheilla Sezzy, Mwanza MGOMBEA urais kwa tiketi ya APPT-Maendeleo, Peter Kuga Mziray ametumia muda wake wa kampeni kumnadi mgombea urais wa Chama...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
je, wana jf mnafikiri ni kwanini uchaguzi wa 2010 umeingiliwana utitiri wa wagombea hususan katika nafasi ya kiti cha urais?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dk Bilal asema kusomesha bure ni ndoto za mchana Send to a friend Thursday, 07 October 2010 08:12 0diggsdigg Salim Mohamed na Raisa Said, Tanga...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
World watching polls - German envoy By Edwin Agola 7th October 2010 Italian envoy praises process as more democratic this year Germany Ambassador to Tanzania, Dr Guido Herz...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom