Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Taarifa zilizotolewa jana na mkurugenzi wa Nec kuwa vituo vya kupigia kura viko 51732 nchi nzima. Changamoto kwa chadema ni kuwa;Ni vema ikafanya utaratibu wa kuwalipa mawakala wake japo kwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
habari wana jamii forums hivi uchaguzi huu utakuwa huru na wa haki?
0 Reactions
1 Replies
994 Views
Mtaalamu wa Sera CCM - Wilson Mukama anadai Sera Zinatekelezeka ( sio Zakufikirika /Utopia) CCM inawawezesha Watanzania kwa Maarifa (Wakati jukwaani wanasema Elimu bure ni ndoto) CCM inajua wingi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi ni kweli CCM wamevunja katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kuwazuia wagombea wao kushiriki kwenye midahalo ya TV? ThisDay wamefafanua hili Home*»*Insight Kama hiki chama, CCM...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1 kati ya kila shilingi 5 Tanzania imewekezwa katika elimu huku Tanzania ikiwa na mapinduzi makubwa katika sekta ya elimu. Chama Cha Mapinduzi kilishinda kwa zaidi ya asilimia 70 katika chaguzi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau hivi mmeshagundua kuwa bidhaa mbalimbali zimeanza kukosekana sokoni? Kuna biashara nyingi pia za wageni zimefungwa kwa muda na zile ambazo hazijafungwa zinafanya kazi chini ya kiwango chake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Do you approve or disapprove of President Jakaya Kikwete's overall job performance (2005-2010)? Approve (5%, 4 votes) Disapprove (94%, 83 votes) Undecided (1%, 1 votes) Total Votes: 88...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
DAR ES SALAAM — The European Union will send a 68-member observer team to Tanzania for the country's general election on October 31, it said Thursday, but Dar es Salaam warned against meddling in...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Amri 10 za kuikomboa tanzania 1. Usikumbatie waovu kama Kikwete 2. Usiwe mwizi kama Lowasa 3. Usiwe mwongo kama Makamba 4. Usiwe mnafiki kama Rostam 5. Usidharau pesa kama Chenge 6. Usikose...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeona wasichotaka kukiona! Na Godfrey Dilunga wa Gazeti Raiamwema 06/Oktoba/2010 NIMEHUDHURIA mikutano ya kampeni za awamu ya pili za mgombea urais wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa. Kwa nguvu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Is CCM's strategy towards the elections flawed? I want to believe so, given the recent happenings of its aspiring members to dodge debates, endorse candidates with pending court cases, seemingly...
0 Reactions
4 Replies
960 Views
Hivi sasa tunaishi katika kipindi ambacho wataalamu na wanahistoria ya maendeleo ya kitekinolojia katika ulimwengu wanakiita 'information age', yaani kipindi cha 'habari na mawasiliano'. Kwa...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Serikali ya Kikwete inaonyesha kila dalili za kuibaka demokrasia kwa kutumia nguvu ya dola. Ninayaona haya kutokana na matukio ya hivi karibuni. Tamko la jeshi la wananchi (JWTZ) - hii ilikuwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Naomba kutoa hoja kwa vyama vya upinzani. Kuna majimbo mengi ambayo upinzania haukuweza kuweka mgombea, kuanzia ngazi ya udiwani, na ubunge. Hasa kwenye majimbo ambayo wamesema wamepita...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nimeona picha mbili za wagombea wakiwa wamepiga magoti katika matukio tofauti ya kampeni kule jamii photos kwa kweli hiki ni kitendo kibaya yaani sitaki kuamini mgombea anabembeleza apewe kazi ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Anang'ala poooooooooote! Bofya hapa upate raha!!!!!!!!!! http://www.facebook.com/video/video.php?v=443609306888&oid=135719259797667
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Imekuwa ni kawaida kabisa kwa thread kugongana na hivyo MODs kuunganisha thread hizo. Siku ya Uchaguzi, huenda zikagongana nyingi zaidi na hivyo nyingine zikakoswa kusomwa. Ni kipindi hicho huenda...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo kulikuwa na mdahalo wa wagombea wa ubunge jimbo la segerea,wagombea waliobahatika kuhudhuria ni wa TLP,CUF na CHADEMA. Waliousikiliza kupitia wapo radio ni mashahidi zangu MPENDAZOE yuko...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
TUNAELEKEA WAPI? Jana nilikutana na kada wa ccm, akanitambia kwamba, Tayari tumepokea (kuramba) shs 30,000 kila mwanachama wa ccm aliye hudhuria mkutano wa jk wa kumaliza makundi, Blue peal...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom