watu wakikupigia wasikie nyimbo za chadema kwenye simu yako fuatilia hapa
1. Tigo nenda kwenye sehemu ya kuandika sms andika 12608 au 12609 au 12610 tuma kwenda 15007 au 15050
2.voda nenda...
Wakati zikiwa zimebaki siku 20 kabla ya uchaguzi Oct 31, tuna shuhudia vyama vikiendelea na kampeni zao za kusaka ridhaa kwa wananchi kwa amani na utulivu wa kuridhisha kuliko chaguzi nyingi...
Siku ambayo akina shimbo et al watampigia Slaa saluti kama amiri jeshi mkuu. Siku ambayo jeshi la polisi litafuata amri ya rais mpya. Siku ambayo uwt watakuwa chini ya uongozi mpya. Siku ambayo...
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amewataka Watanzania kupuuza ujumbe mfupi wa maneno (sms) unaosambazwa kupitia simu mikononi kuwa ni...
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limewataka wanajeshi wake, kutoshabikia chama chochote cha siasa na badala yake kuwasikiliza wagombea na kumchagua mtu anayejali maslahi ya nchi.
Kauli hiyo...
Hii tabia ya viongozi wa CHADEMA kuvaa kama mgambo itawapunguzia kura....kwa mwananchi wa kawaida .... mgambo ni alama ya unyanyasaji kutokana na wanavyotumika ingawa lengo la kuanzisha mgambo...
"Achana na Dr. Slaa haya ndiyo maisha bora na mkinichagua nitahakikisha kuwa mnajenga nyumba nyingi kama hizi zenye kubeba picha zangu ili mimi, mke wangu, na mwanangu Ridhiwani tuendelee...
Kwa udadisi mwepesi niliofanya kwenye facebook pages za Dr. Willbroad Slaa na ile ya "Dr" Kikwete, mpaka leo (Jpili) Slaa ana fans 11,442 wakati Kikwete ana fans 5019 (Jakaya Mrisho Kikwete for...
• Asema imeonyesha dalili za kufa
na Mwandishi wetu
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amewataka Watanzania kupuuza ujumbe...
Ingawa tunajua kwamba nchi yetu bado ni changa kwa siasa za vyama vingi kutokana na ufinyu wa elimu ya uraia waliyonayo watanzania walio wengi hususani sehemu za vijijini, lakini pia, uroho wa...
Mtaji wa CCM kisiasa ni elimu duni kwa sababu ni rahisi kuwatawala watu ambao ni mbumbumbu. Nchi gani itakubali mtu wa mzaha mzaha kama JK kuwa Raisi wao kama siyo kushuka kwa elimu.
Hivi sasa...
Inanisikitisha sana kuona kikwete anataka kuingia madarakani kwa gharama yoyote ile ili hali anajua kabisa wananchi wamemchoka.Kama akifanikiwa kuingia madarakani mambo yafuatayo yatampata...
Nimetumiwa jumbe hizi na mtu mmoja juu ya ndugu yetu Dr. Wilbroad Slaa na kupambana na kampeni chafu za teja Miraji Kikwete na wenzake. Anaomba zisambazwe kwa emaili na ujumbe wa CCM moja moja ili...
1.Rais wa kwanza duniani kudanganywa vibaya mno na wasaidizi wake
2.Rais wa kwanza kuwa na rekodi ya kuanguka anguka mbele ya kadamnasi
3.Rais wa kwanza duniani kufanya safari nyingi za nje ya...
Nilikua nasikiliza taarifa asubuhi hii kutoka Radio Free Africa, nimeshtushwa na taarifa ya mtu aliyejitambulisha kua ni mkurugenzi wa taasisi inayojishughulisha na utafiti (CACT) kama wa REDET)...
kutokana na picha za mkutano wa tumbatu zilizowekwa kwenye mzalendo.net kuna hii hapa
mm sijaelewa kulikoni?
ina maana kweli CUF ni CCM B?
au kwa jamhuri ya muungano wazee mumeamua kumtosa...
hiv kuna watu kama vile wamefanyiwa exchange ya damu na kuwekewa damu ya CCM i dnt know wat inakuwa hivi.....,
hivi kwa lipi bora ambalo hawa CCM wamelifanya la kutunufaisha sisi kama watanzania...
jamani jitahidini kufuata kiapo hiki. na tumieni email zenu kuwatumia (to forward) ndugu, jamaa na marafiki ZETU KABLA YA SIKU YA KUPIGA KURA. NDUGU ZETU WANAWEZA PIA KUPRINT NA KUZAMBAZA KWA WATU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.