They say that many of Tanzanias leading intellectuals are the nations bane rather than its boon. A nations intellectuals are supposed to be the peoples eyes; they see ahead, point out...
Habari zilizopatikana ndani ya kikao cha siri kati ya vigogo waandamizi wa usalama wa taifa,Kikwete na Kinana wiki iliyopita zimedokeza kwamba JK amepokea report inayoonyesha kura za Dk Slaa...
Kinana amesema kupitia BBC kuwa mwaka huu CCM imetumia gharma kidogo kuliko miaka yote? Mhhh... haya bwana hawa jamaa naona hata vichwa hawana tena.
Sikiliza hapa kuanzia dak ya 55.00
BBC Swahili...
Nini Maoni yako kuhusu jinsi kampeni zinavyoendelea
Kuna malumbano mengi
11%
Hakuna ujumbe au mpango unaoniridhisha.
3%
Chama tawala kina ujumbe mzuri.
7%
Upinzani una ujumbe mzuri.
76%...
Mwaka 2010 ulipoanza, JK aliwaita mabalozi wote wa nje Ikulu na akawapiga
mkwala mkali sana, kuwa serekali yake haitasita kuchukua hatua kwa
nchi yoyote na hata kama ni mfadhili, endapo itataka...
Großansicht des Bildes mit der Bildunterschrift: Umoja wa Ulaya
Wakati zimebakia wiki chache kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania hapo Oktoba 31, Umoja wa Ulaya umetangaza kusambaza...
Aisee jana ilibidi nisherehekee na Valuu 2, pale baba aliponipigia mwenyewe na kusema 'yaani sasa sitaki tena kusikia CCM, hata mama yako amesema kura yake ni kwa Slaa. Nilijisikiliza mara 2 kama...
Nimesikia mara kwa mara B.W Mkapa na Kinana wakijibu waandishi wa habari kuwa ushabiki wa Dr Slaa sio kitu, eti kwa sababu uchaguzi wa 1995 "hata Mrema alikuwa hivyohivyo".
Sina ushabiki wowote...
jana,mzee mengi bila kutafuna maneno alitoa kashfa ya kuhusika kwa karibu kwa viongozi wa juu wa jeshi la polisi kitengo cha madawa ya kulevya kutaka kumbambikia mwanae kashfa ya madawa ya kulevya...
CCM ilimpitisha mgombea wa Jimbo la Muhambwe Jamal Tamim, huku wakijua wazi kuwa ni mtuhumiwa wa ujambazi, utekaji wa mabasi na hata uhusika katika biashara ya viungo vya maalbino.
Uamuzi huo...
baada ya kusikia taarifa nyingi juu ya nec kutaka kuchakachua matokeo ya mwaka huu,kwa roho ya kizalendo na yenye kupenda mabadiliko nimeamua kuzunguka mikoa yote ya tz yenye historia ya kuipa ccm...
How opinion polls get it all wrong
UDSM LAW PROFESSOR DISMISSES LATEST REDET POLL AS UNRELIASTIC
By ThisDay Reporter
12th October 2010
THE much-criticised opinion poll by the state-run...
Nilibahatika kuwapa lift Askari wawili wa JWTZ waliokuwa wanatoka kazini huko Monduli. Kwa kuwa kuna joto la Uchaguzi Wajeshi hao walikuwa na interest sana kujua tutampigia kura nani kwa Urais...
Siku ya kuapishwa Dr Slaa nitakua Dar na DJ wa wimbo huu, vijana kwa wazee wataufurahia.
http://www.youtube.com/watch?v=4FLhAlmePvI
whoa oh whoa oh whoa oh whoa yeah
whoa yeah
whoa oh whoa oh...
Hii nimeiokota kutoka Michuzi:
Tamko la TCRA kuhusu ujumbe wa simu unaowachafua baadhi ya wagombea wa Uraisi 2010
Mamlaka ya mawasiliano nchini Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.