Huyu 👇👇jamaa anayejigamba hapa anajitambulisha kama Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Bagamoyo. Haina shaka kuwa alikuwa "Team Mbowe..."
https://youtube.com/shorts/ozPk6U2P45k?si=SZQVYkHgEETLKsf0...
Mtoto wa kike yuko katika mazingira hatarishi ukilinganisha na mtoto wa kiume!!mtoto wa kike asipopata mahitaji muhimu atatafuta njia nyengine za kujipatia kipato ambazo ni hatarishi kwake .njia...
Utangulizi;
Katika uwanja wa siasa za Tanzania, Kasim Majaliwa amekuwa na nafasi muhimu, lakini utendaji wake unatia huruma sana. Amepewa jukumu kubwa la kuwa Waziri Mkuu, lakini miongoni mwa...
Na kwa sasa hiyo 80% ya raia inasubiri kujua ni nani hasa atakuwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA.
Na kufika mwezi wa 7, hiyo 20% ya raia inayojua, huenda ikawa imeshasahau au imeshakosa imani...
Mdomo uliponza kichwa.
Wazazi, pelekeni watoto shule. Huyu mjumbe wa mkutano mkuu, kama angekuwa amemaliza hata kidato cha nne kwa alama 31, angeelewa kwamba lile lilikuwa tu igizo.
Kikao...
Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama! kauli tata sana hii,kumekucha!!,Chadema kazi imeanza,Lissu...
1. Mara ni kitivo cha uongozi. Mwl Nyerere, Jaji Warioba, Jenerali Msuguri, IGP (Mstaafu) Sirro ndio waliopotokea.
2. Tunawakaribisha viongozi wetu hapa airport Musoma tarehe 30/03/2025. Saa 5...
Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma umeendelea kuonyesha maendeleo makubwa, huku kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ikieleza kuridhishwa na hatua zilizofikiwa...
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema Daraja la JP MAGUFULI (Kigongo-Busisi), linalounganisha mkoa wa Mwanza na Geita, linatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Februari mwaka huu.Akikagua...
Wakuu salama,
Baada ya CHADEMA kupata mwenyekiti mpya watu wamekuwa na imani kuwa huenda chadema wataitoa madarakani CCM, lakini uhalisia ni kwamba kama wananchi hawatoungana kwa pamoja CCM...
Tanzania ipo mikono salama chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Rais Samia ni Amiri Jeshi Mkuu na anahakikisha mipaka ya Tanzania ipo Salama na watanzania...
Spika wa Bunge mh.Dk.Tulia Ackson Mwansasu(PhD) Akihojiwa na Clouds kwamba anaacha alama gani Mbeya amejibu kwamba ikitokea hajaendelea kuwa mbunge basi Wana Mbeya watamkumbuka Kwa ujenzi wa...
Naibu Waziri wa Elimu wa zamani wa Serikali ya Tanzania wa Awamu ya Kwanza, Mzee Nazar Nyoni, amefariki dunia jana tarehe 19/07/2024 majira ya saa 3 asubuhi nyumbani kwake Morogoro baada ya kuugua...
Mzee Aboud Jumbe amefariki dunia muda si mrefu. Ni baada ya kuugua muda mrefu. Amefia nyumbani kwake Mjimwema Kigamboni. Marehemu alizaliwa Juni 14, 1920.
=======
UPDATE:
JamiiForums...
MAMBO MUHIMU KWA UJUMLA
1. Punguza kodi na kodi zijulikane wazi: Mlipa kodi yeyote hatakiwi kusubiri mpaka mzigo ufike bandarini kujua ni kodi gani alipe. Hii inapunguza biashara, inapunguza...
Ndugu zangu Watanzania,
Siku ya kesho ya Jumamosi natarajia kushiriki katika Maandamano Makubwa Mkoa Wa songwe ya Kumpongeza RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa...
Hatimaye Dkt.John Magufuli leo amechukua fomu za kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mambo haya yamefanyika majira ya saa kumi na moja jioni.
John Pombe Magufuli ambaye hivi...
Wapambe na chawa ndani ya CCM wamekanyaga katiba ya chama ili mtu aliyepewa ugombea mwenza kwa kubebwa kwa dhana ya viti maalum aendelee kuongoza nchi. Tulitegemea wanaCCM kupewa fursa kumpata mtu...
Leo Mzee Kingunge kaongea na Vyombo vya Habari, ameanza kwa kupinga mfumo uliotumika kuwachuja wagombea wa urais kupitia CCM.
Kingunge amesema "Kamati ya Maadili huko nyuma ilikuwa ni chombo cha...
Tanzania ni nchi yenye utajiri wa kipekee wa tamaduni, watu wake wa amani, na mazingira mazuri ya asili. Kwa mgeni yeyote, hasa kutoka nchi nyingine za Afrika kama Nigeria, uzoefu huu unaweza kuwa...