Katika siku chache, Jana tarehe 24.1.2025, wakuu wa wilaya wapya wamepata nafasi ya kuteuliwa, kuongoza wilaya mbali mbali nchini.
Hata hivyo, ni muhimu kuchukua hatua za tahadhari ili...
Nilivyosikia tu, 'wanataka kunidhuru halafu wamsingizie Mhe. Mbowe....'; nikajua kazi hakuna......amekwisha. Aisee kumbe huyu Mbowe ni bonge la Mafia aisee, ukiacha zitto, wengine wote...
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Doroth Semu ameeleza kuwa hatamani kufanya kazi sehemu nyingine tofauti na kukitumikia chama chake Cha ACT Wazalendo
Na kwamba hata akipewa kazi...
Naiona Kama ni skendo inayo hitaji kutazamwa vizuri, watu tayari wangekuwa wamesha tumbuliwa, kuanzia Mawaziri hadi Makatibu, sasa hivi kungekuwa kumesha changamka muuuuda! Mtu ana wiki 2 Bongo...
Aisee hili jambo limenishangaza sana. Juzi Boni yai aliandika Tweeter kuwa alipoingia VIP room kutoa matokeo ya kura za nafasi ya mwenyekiti, eti baadhi ya watu waliokuwa na Mbowe VIP room, baada...
Wakuu
Baada ya uchaguzi wa Januari 19-20, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, ameweka wazi mbinu alizotumia kuhakikisha Tundu Lissu anapata kura za kutosha kutoka kwa wajumbe na...
Nimeuliza ili swali nipime utendaji kazi wa Lissu utakuwaje.
Pia apart from idadi ya wajumbe wa kamati kuu ya chama. Je, kamati kuu ina nguvu gani kwenye chama?
Naomba nifamishwe maana...
Nisikilizeni, Faru J ni kaka yenu haijalishi alighafirika vipi. Rasmi na wausia sasa, ni muhimu aheshimiwe na thamani yake apewe.
Usalama wa familia yetu ni muhimu kuliko magomvi yetu ya ndani...
Askofu Benson Bagonza anaandika...
"Naandika kupongeza. Sina pole za kutoa. Nawapongeza Mwenyekiti (CHADEMA taifa) Tundu Lissu na Makamu wake, mtani wangu John Heche. Hata mimi siamini kama...
Tayari baadhi ya nyumba hizo zilizotumia mabilioni ya pesa zimeanza kukamilika, Asante Mama
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama amewapongeza SUMA...
Habari ya wakati huu wadau,
Nadhani ni wakati mhafaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambna na Rushwa kushughulika na tuhuma zilizokuwa zikienezwa na baadhi ya wagombea wakati wa uchaguzi wa ndani wa...
Haya Wana Tanga, karibuni kwenye mapokezi ya kishindo ya wanetu Oddo Ummy na January;
MAHALI: Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
TAREHE: 19 Agosti 2024,
MUDA: Saa 8 Mchana.
Chakula, Vinywaji na...
Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika...
Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume baada ya picha iliyoonyesha wanaume tu wakiwa wamesimama kwenye jukwaa kuu katika mkutano uliomalizika jana Mlimani city...
1. Mwenyekiti kwa niaba ya wanachama wote tunakusihi ni busara kujiuzulu uongozi kwenye Chama umeshindwa kuongoza chama kwa yanayotokea.
2. Uchaguzi Mkuu ujao 2025 tutaangukia pua tena kama 2020...
1. Drama hii imesukwa kitengo. Mheshimiwa atapewa adhabu Kali na Kamati.
2. Kisha, atatimkia CHADEMA na nyie bila kuchunguza mtampokea na kumpa nafasi. Kama ilivyokua Kwa Sumaye, Nyalandu na...