Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wakuu, Mambo yamezidi kupamba moto CHADEMA. Kwenye Press conference ya leo amesema kuwa Lema na Lissu walikuwa wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA wakati Mbowe yuko gerezani na kwamba...
4 Reactions
56 Replies
2K Views
Kwa taarifa ya katibu mkuu wa CHADEMA, ni wazi kuwa Press ya leo ya ndugu Wenje ililenga kulaghai wanachama na wajumbe kwa lengo la kujipatia kura. Je, alitumwa na nani kufanya hivyo? Je...
3 Reactions
17 Replies
526 Views
Wakuu, Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na maswali kuhusu wapi ilienda michango ya Wanachadema waliyoitoa kwenye kampeni ya Join The Chain. Leo Ezekiel Wenje, amesema kuwa asihusishwe tena na...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bwana Mizengo Peter Pinda, ndiye Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara anayetarajiwa kutangazwa hivi karibuni. Ndugu Mizengo anatarajiwa kupigiwa...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu Kumbe na wao wamenogewa na show za FAM vs TAL 😂 == Mbunge wa Ubungo na Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amefichua kuwa mtifuano wa Tundu Lissu na Freeman Mbowe kwenye...
4 Reactions
20 Replies
926 Views
Pata picha kwa speed hii, try to figure out, how will Chato be in 2035 after this heavy investment starting now if at all he will stay in power for 10 years, i hear a talk about textile factories...
40 Reactions
342 Replies
51K Views
CHADEMA kwa sasa wapo kwenye kinyang'anyiro kikali cha kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama kati ya Mbowe na Lisu hiyo ndio demokrasia sio kuwatishia watu wasichukue fomu kwenye baadhi ya nafasi...
2 Reactions
9 Replies
230 Views
Wanabodi, Politics is a game like any other games, that people plays, it has its rules and regulations, ukikiuka unaweka pembeni. Yaani mchezo wa siasa pia ni mchezo kama mchezo mwingine wowote...
17 Reactions
173 Replies
9K Views
Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place. Nilitegemea uje na kauli za "healing"...
6 Reactions
57 Replies
1K Views
Jiji la Da resalaam limekumbwa na karhia nzio ya kukatika katika kwa umeme swali ni je Dotto Biteko anahujumiwa? Hivi ni zipi impact za elimu zao Hawa watawala vijana walio pata PhD juzii juzii...
1 Reactions
1 Replies
112 Views
Wanabodi, Baada ya kupitishwa kwa katiba mpya tuipendayo ya serikali mbili, watu wote wenye hoja za serikali tatu, ni watu wa hatari sana kwa mustakabali wa taifa hili. Mmoja wa watu hawa ni...
19 Reactions
117 Replies
23K Views
Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi,TAAMULI HURU: 4R zitumike kuponya makovu ya Mapinduzi ya Zanzibar Jumapili ya Tarehe 12 January 2025, imedondokea siku ile ile ya Mapinduzi...
2 Reactions
14 Replies
362 Views
Hebu fikiria Wenje na Boni Yai ni walimu kabisa wa Secondary schools halafu tunategemea vijana wetu wafaulu? 🐼 Hii Nchi hii Ngoja niishie hapo Mlale unono 😂😂
2 Reactions
5 Replies
183 Views
Kati ya vitu ambavyo Hayati Nyerere alivipinga sana ni pamoja na kabila kubwa kushika madaraka ya urais na hili alikuwa na sababu kubwa sana ambazo tumejidhihirisha katika kipindi cha awamu ya...
16 Reactions
103 Replies
5K Views
Wakuu Katika hali isiyokuwa ya kawaida, ugomvi wa ngumi umezuka nje ya Ukumbi wa Ubungo Plaza unapofanyika mkutano wa uchaguzi wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha). Ugomvi huo ulikuwa kati...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Huenda Dkt Mwigulu Nchemba ni unstoppable kwenye hii rarely ya Urais wa 2030. Hapa hebu msikilize Bw David David Kafulila Mkurugenzi mkuu wa PPP-Cetre anavyommwagia sifa kede kede na kumwombea...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Naunga mkono hoja za wengi hii Crown Redio iko mbele sana, Huyu Mtangazaji wa zamani wa BBC Bw Salim Kikeke anajua mambo mengi hasa ya kidunia hivyo ukienda kwenye interview kuwa makini na elewa...
13 Reactions
60 Replies
2K Views
Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa! Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni...
37 Reactions
157 Replies
3K Views
CHADEMA inachezewa na walewale wajulikanao wasiojulikana🤬🥵 . Na ili kuharibu mambo zaidi wameamua kuside na upande ambao wanaona sio radical Na ni wazi huo upande umeamua kushiriki hii dhambi...
13 Reactions
77 Replies
2K Views
Nimetenga muda sana kufuatilia hotuba ya John Heche akıtangaza nia ya kugombea umakamu mwenyekiti wa CHADEMA. Nimemsikiliza kwa makini Tundu Antipas Lisu (TAL) na kisha Ezeckiel Dibojo Wenje kabla...
2 Reactions
11 Replies
658 Views
Back
Top Bottom