Nauliza tu kwamba Fedha za Chadema na accounts zake zinatunzwa na nani?
Na Malipo ya Posho Kwa Wajumbe mbalimbali yanasimamiwa na nani?
Kwako CPA Ruge
Nimekaa pale 🐼
Taarifa za ndani kabisa zinasema mbowe anashinikiza Mhe. Tundu Lissu aenguliwe kwenye kinyanga'nyiro cha ugombea uenyekiti ili abaki peke yake.
John Mnyika asijaribu kushiriki dhambi hiyo...
Siku hizi ukitembea katika jiji la Dar es salaam, hali imekuwa si hali ni makelele mtindo mmoja. Hakuna utulivu kabisa.
Ukienda masokoni kila mwenye kibanda chake ana spika na rerding inayoita...
Hii ni mpya kabisa, haijawahi tokea, inakuwaje kesi iendeshwe bila mtuhumiwa kuwepo? Only in my country!
---
Wakili Peter Madeleka anayemwakilisha Dk. Wilbord Slaa kwenye kesi Na.993 ya mwaka...
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imemkuta na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka, Mkuu wa Mkoa wa Arusha (RC), Paul Makonda aliyeagiza mwananchi mmoja kukamatwa na kuwenda rumande...
Wakuu,
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa kwenye mahojiano na BBC amesema;
"Leo Mbowe wa 2025 nina uwezo mkubwa wa kiakili, uzoefu wa kunitosha, nguvu, lakini zaidi nina adhma, dhamira...
Kwa wasiomfahamu huyu Mzee amewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kyela na Naibu Waziri wa Kilimo, wakati wa utawala wa Nyerere, ni Mcha Mungu sana na ni miongoni mwa wazee wanaoheshimika sana Wilayani...
Wewe angalia hata Waandishi wa Habari anaofanya nao mahojiano 80% ni Makada wa CCM akina Kijakazi wa UWT Lindi
Mbowe ana nguvu za kusimamia jukwaani na kuongea kitu ambacho hata mlevi anafanya...
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Jaji mstaafu Mathew Mwaimu amesema uchunguzi dhidi ya madai ya Mbunge wa Babati (CCM), Pauline Gekul na wenzake kudaiwa kuwafanyia...
Baada ya Tume haki za Binadamu kusema wazi kuwa kwenye uchunguzi wake imeshindwa kubaini kama Mbunge wa Babati Paulin Gekul alitenda kosa la kumuingiza chupa kijana yule sehemu za siri!
Hivyo ni...
Mbunge wa jimbo la Babati mjini Pauline Gekul amefanya ibada ya kutoa shukrani kwa Mungu kwa changamoto mbalimbali alizopitia mwaka huu 2024 ikiwemo sakata la kutuhumiwa kumuingizia chupa sehemu...
Godbless Lema amepanga kuzungumza na Waandishi wa Habari Januari 14, 2025 ifikapo saa 5:00 Asubuhi Seashells Millennium Hotel.
Je, atamuunga mkono Tundu Lissu?
Wakuuu,
Wananchi wa Jimbo la Siha wameonyesha nia thabiti ya kumuunga mkono Mbunge wao, Godwin Mollel, kwa kuahidi kuhakikisha wanamchukulia fomu ya kugombea tena Ubunge katika uchaguzi mkuu wa...
Kesi ya Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa (76), imepigwa Kalenda hadi tarehe 17 Januari 2025 baada ya kufikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Januari 10, 2025 kujibu shtaka moja la...
Ndugu zangu Watanzania,
DUNIA inaendelea kuchangazwa na Maajabu yanayoendelea kufanywa Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan...
Rais wa Tanzania, John Magufuli amefanya mabadiliko ndani ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa kumteua bosi mpya wa jeshi hilo na kumhamisha aliyekuwepo.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Tanzania...
Nitarudia hili mala trilion , Tatizo la Tanzania sio kukosa upinzani imara au watu imara au Chama imara bali ni kukosa raia walio tiyali kupigania nchi, kumejaa keybord worrior tu.
Vijana wa...
Tunamuombea apatikane akiwa salama. Lakini naomba nijibiwe maswali haya:-
1. Kwa zaidi ya miaka 2 sasa amekuwa anaishi Nairobi huku akaunti zake za mitandao ya Kijamii zikishambulia mambo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.