Wanabodi,
Makala yangu kwenye Nipashe ya Jumaoili ya Leo。
Leo Tarehe 12 January 2025, imedondokea siku ile ile ya Januari 12, 1964, ilikuwa ni siku ya Jumapili. Leo Tanzania inaadhimisha miaka 61...
Wakuu,
Baada ya Shinyanga kutangaza kuwa wanamuunga mkono Tundu Lissu naona na Mwanza nao wameunga mkono juhudi
==========================================================
Wajumbe wa Baraza Kuu...
Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida wamesema wamekubaliana kumuunga mkono Tundu Lissu katika kuwania kiti cha Uenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Mwenyekiti wa chama...
Katika historia ya CHADEMA na katika kipindi chote cha miaka 20 ya chaguzi na uwepo wa Mbowe madarakani ni kwa mara ya kwanza Watanzania tunashuhudia Freeman Mbowe akipingwa karibu kila Kona ya...
Wakuu,
Mbowe kama ana akili timamu inabidi mara tu akiona clip angejiuzulu mara moja na kutangaza kutokugombea tena.
Unapata wapi nguvu ya kutaka kuingia kwenye box la kura na hali iko kama...
Kila nikimuona kabla ya vikao vya chama alikuwa maneno mengi.
Siku hizi tangu vikao vianze amekuwa bardiii sana.
AU Anahofu ndio bye bye tena kukaa meza kuu ya CHADEMA? Zaidi ya miaka 20...
My friends, ladies and gentleman,
Na huu ndio ukweli mnapaswa kufahamu na kuuelewa vyema kwamba,
Tundu Antipas Mughwai Lisu, hawezi kumshinda Freeman Aikali Mbowe kwa namna yoyote ile, hususan...
Baada ya kuendelea kwa vitendo vya utekaji na mauaji ya watu walio na mawazo mbadala kuhusu uongozi wa nchi na demokrasia kwa ujumla hata baada ya kifo cha Magufuli swali kuu ambalo wanajiuliza...
HOTUBA YA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) ALIPOFANYA ZIARA YA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UJENZI WA SHULE YA UFUNDI MWANDOYA MEATU SIMIYU TAREHE 11 JANUARI 2025...
Nakubaliani kuwa ile Route ya Mwanza to Bukoba ni hectic one. Mwaka fulani nilipita ile distance ya Mwanza to Bukoba dakika 5 niliziona ni kama Miaka 100.
Ni kama ndege ilikuwa inavutwa kwa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema ni kweli kwenye uchaguzi huu watanyukana lakini baada ya kunyukana, watakutana kwenye boksi la kura kisha baada ya...
Taasisi ya Bavicha imewahi kuongozwa na wafuatao:
1. Freeman Mbowe Kwa Sasa ndiye Boss mkuu wa Chadema
2. Zitto Kabwe Kwa Sasa Mshauri mkuu wa ACT wazalendo
3. John Heche Kwa Sasa Mgombea...
Wakuu wakati mkutano mkuu wa Bavicha ukiendelea leo, mjumbe mmoja aeleza kwa masikitiko kuwa hawajalipwa pesa za kujikimu walizohaidiwa.
"Tuliambiwa jana tutapewa pesa ya kujikimu mpaka leo...
Kwenye familia nyingi kuna watu hasa vijana wanaopitia majaribu mengi ya kimaisha wakati wakijaribu kujua na kujiuliza kwanini wapo hapa Duniani. Kwenye kipindi hiki hawa ndugu wengi wakiwa vijana...
Mwanasiasa Mkongwe Mkoani Mbeya, Ambaye amechangia Kustaafisha siasa Wanaccm wengi Mkoani humo, Mzee John Mwambigija, leo amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea uongozi wa Juu wa Baraza la Wazee la...
Hiyo ni tahadhari naitoa mapema kabla ya mkutano mkuu wa chama Chadema .
Leo imeshuhudiwa vurugu kubwa kwenye Baraza la vijana baada ya kutokuelewana juu Posho zao .
Chama kiweke wazi juu ya...
Mchungaji Msigwa ameeleza wazi kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu katika kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akizungumza kuhusu mwelekeo wa uchaguzi huo...
Kwa ushindani uliopo Chadema na Rushwa inayopenyezwa ni vema ikapigwa Kura ya Wazi
Hii itasaidia sana mbele ya safari endapo Chama kitaimarika zaidi basi 2030 Mbowe tumpe Mitano Tena
Ahsanteni...
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile picha iliyosubiriwa na wengi, kwa ajili ya kuufungua mwaka 2025, tayari imepatikana.
Picha hiyo Kabambe imepatikana Mikocheni kwenye Vikao vya Usaili vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.